Micro Loans na L-PESA

Jinsi ya kupata Micro loans na L-Pesa

Ina njia moja tu na haiitaji kujaza maform yasio eleweka. Hatua za kupata micro loans na L-Pesa ni kama zifuatazo:

1. Unasajili namba yako ya simu

ambayo utakayo itumia kupokea mkopo wako. na baada ya kuregister namba yako hapo hapo utaweza kuona kiwango ambacho unaweza ukakopa. Na kila unapo kamilisha kurudisha mkopo wajo kiwango chako cha loan kitaongezeka.

2. Changua amount/kiwango unachotaka kukopa.

na baada ya kuchagua utapewa maelezo yatakayo onyesha idadi ya week utakazo takiwa kurudisha loan yako na kiwango unachotakiwa kulipa kwa week.
Kama nilivyosema hapo awali Micro loans za L-pesa hazina process ndefu wala sio complicated kujipatia mkopo wako kirahisi. unaweza ukachukua micro loan yako ukiwa umelala kitandani ukiwa na simu yako ya mkononi.
SIGN UP/ JIUNGE NA L-PESA