JINSI YA KUPIKA KEKI YA VANILLA NA CHOCOLATE

KEKI YA VANILLA NA CHOCOLATE 


BONGOLIVES | chocolate na vanilla cake

MAHITAJI 


1)sukari (granulated sugar) 1cup
2) mayai 4
3)maziwa kikombe 1
4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe 1
5)unga wa ngano 2 cups
6)1/3 vanilla ya unga au arki ya vanilla
7)dark cocoa powder 2 tablespoon
8)baking powder 1 tablespoon.

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA 


1)Changanya sukari na mayai..tumia electric hand mixer au whisk beat kuchanganyia..hadi mchanganyiko uwe laini
2)Weka maziwa na mafuta na endelea kuchanganya hadi vichanganyike vizuri
3)Katika bakuli jengine changanya baking powder,vanilla powder na unga pamoja
4)Weka huo unga kwenye mchanganyiko wako wa mayai na sukari...changanya
5)Gawa mchanganyiko sehemu 2 sawa
6)Sehemu moja iweke pembeni na nyengine weka cocoa yako na uichanganye vizuri..
7)Mimina kwenye trey viwiko 3 vya mchanganyiko plain then weka vijiko 3 vya mchanganyiko wa cocoa...fanya hivo hadi imalizike...(usisubirie mchanganyiko usambae).
8)Weka moto 300-350° hadi iwive vizuri

TAYARI KWA KULIWA
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni
close