JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA NYAMA

MAPISHI YA CHAPATI ZA NYAMA .

MAPISHI YA CHAPATI ZA NYAMA .

Mahitaji ya kupika chapati za nyama

 Vipimo 

 •  Unga 1 ½ vikombe vya chai 
 •  Mafuta ¼ kikombe cha chai 
 •  Chumvi ½ kijiko cha chai 
 •  Maji 1 kikombe cha chai 
 •  Mafuta ½ kikombe cha chai 
 •  Mayai 6 mayai 
 •  Manda nyembamba za mraba (Spring roll pastries sheet) 6 
 •  Nyama ya kusaga ½ kilo 
 •  Kitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi 1 kijiko cha supu 
 •  Kotmiri iliyokatwakatwa ½ kikombe 
 •  Chumvi kiasi 
 •  Pilipili manga ½ kijiko cha chai 
 •  Pilipili mbichi


Chapisha Maoni

0 Maoni