JINSI YA KUMUAMSHA BABYDADY ASUBUHI AWAHI KAZINI

πŸ’–-Chukua mkono wa mumeo uueke kwenye sehemu ya mwili wako anayoipenda kama kifua, kalio au sehemu ya siri alafu ufanye kama anakupapasa vile na huku unamwambia, kwa mfano, "My love unajua ukiendelea kulala utakosa utamu wa waridi uliolipia mahari? Amka mume wangu" na maneno mengi ya mahabaπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ’–
hapo alale nani?πŸ’–πŸ’–

🍎❣❣--Mkande mabega, miguu, mikono mpaka aamke. Akishaamka anaweza kukwambia uendelee kumkanda. Mpe busu umwambie unampenda lakini anafaa kuanza kujitayarisha.πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–

πŸ’–πŸ’–πŸŽ-Mpandie kwa juu ukiwa uchi. Uwe unamsumbua sumbua kwa kumbusu au kumnong'oneza maneno matamu sikioni.πŸ’–πŸ’–πŸŽπŸŽ

πŸ’‹πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜- Busu pia linafaa. Mpige mabusu kuanzia utosini hadi miguuni ukilenga zile sehemu zenye hisia zaidi. Utaona kaamka na bwana Abdallah nae kasimama wimaπŸ€£πŸ€£πŸŽπŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–

πŸ’–πŸ’–-Unaweza kuchagua sehemu moja, kwa mfano shingo, ukampiga busu mpaka umtoe lovebite. Lazima ataamka kabla hujamaliza kumbusuπŸŽπŸŽπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’–πŸ’–

πŸŽπŸ˜˜πŸ’–πŸ’–- Kama mumeo ni mwepesi wa kuamka unaweza tu kumuita kwa sauti ya chini. Kwa mfano "mpenzi wangu sipendi kukusumbua lakini amka muda wa kwenda kazini umefika. Amka mume wangu natamani kuona unavyoniangalia"😘😘😘❤❤❤

😏😏Sio unamwambia "We babake Ali hebu amka jamani unataka jua likupige la meno ndio ujue muda wa kazi umefika"
Jamani haifai! Mhurumie na umpeti mumeo kama unavyopeti mtoto mchanga.πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œupo nyonyi Kama mumeo ana uelewa mzuri wa ndoa utaona na yeye anakuamsha kwa mahaba kama unavyomuamshaπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸŽ.
DONATE VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Your donation helps the Admin to be even more active in sharing quality blog templates. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni