$hide=mobile

Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

Asilimia kubwa ya wanawake huwa na tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona, mara nyingi hu...

Asilimia kubwa ya wanawake huwa na tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona, mara nyingi huwa wanafeki kwa kuongeza kelele za kimahaba au wengine huwa wanaongea kabisa, utawasikia “ooh baby am comming” basi hapo mwanaume atajiona dume la mbegu kumbe “hatoshi” na mara nyingine inawapa shida sana wanaume kujua kama ni kweli wamewaridhisha na kuwafikisha wake zao au wanadanganywa.

Zifuatazo ni dalili za mwanamke anayefika kileleni..
1. MISULI YA UKE WAKE ITAKUWA INAKAZA NA KUACHIA:
Akiwa anakaribia kufika kileleni,kwa ile raha atakayokuwa anasikia automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake inakaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia kufika kileleni na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake itakuwa inaongezeka.

Ninaposema misuli ya uke wake itakuwa inakaza na kuachia,namaanisha mashine yako ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia kufika kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa sekunde kadhaa kisha inaachia. (Kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia machine kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni)

2. UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIT:
Kwa maana ambayo haipo complicated sana,kusquit ni kitendo cha mwanamke kukojoa akifika kileleni wakati wa kupeana raha na utamu.G-spot ikipata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kusquit na ndio maana hiyo.Hamu ya kukojoa wanawake wengi wanaipata katikati ya tendo la kupeana raha na utamu,wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama mwanaume ataweza kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.

G-spot ikipata msisimko wa kutosha,hutoa taarifa kwa female prostate,female prostate itatengeneza hayo majimaji yakiwa tayari,utajisikia kukojoa,ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo.

Asilimia kubwa ya wanawake,wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa,wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kusquit hivyo muda mwingine kabla ya kumake love,kojoa kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe empty ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue unakaribia kusquit.kwahiyo jiachie lii uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni kwa njia ya kusquit.

Sio wanawake wote wanaweza kusquit,kama ikitokea hujaweza usijisikie vibaya,unatakiwa kujijua kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya kusquit.

3. KELELE NA MIGUNO YA KIMAHABA LAZIMA ITAZIDI:
Kama mwanamke wako ni full makelele mwanzo mpaka mwisho basi itakuwa sio rahisi kujua kama makelele ama miguno anayotoa sasa ni yanamaanisha amefika kileleni au ni sehemu tu ya kupeana raha na utamu.Lakini wanawake wengi wanadanganya kwa kutumia kipengele hiki,lakini utajua kuwa anadanganya pale makelele au miguno yake yakiwa katika mpangilio unaoeleweka kwa mfano (oooh yeah,oooh yeah,ooh yes kama cd iliyorekodiwa).

Makelele ya kufika kileleni mara nyingi yanakuwa hayaeleweki,na wala hayana mpangilio,mara nyingi yanakuwa deep yakiambatana na body language inayoendana na makelele au miguno anayotoa.tofauti na hapo ujue unadanganywa.

4. CHUCHU ZAKE ZITAZIDI KUWA NGUMU:
Kwa kawaida wakati mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya kupeana raha na utamu,Matiti yake huvimba kutokana na ongezeko la speed ya mzunguko wa damu mwilini,lakini chuchu zake zinakuwa zipo kawaida,ingawa wapo baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba (ni wachache sana sio wote).

Kwahiyo inabidi ujue mapema kabla hata tendo la kupeana raha na utamu halijafika katikati,Pale mwanzoni tu unapokuwa unapashana nae joto,ziguse au ziminye chuchu zake taratibu kama ukizikuta ni LAINI,alafu baadae katikati tendo zikabadilika zikawa ngumu,basi ujue kuna uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika lakini hakufanikiwa.

kama ukizikuta ngumu tokea mwanzoni basi haitowezekana tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa amefika kileleni au bado.

5. LUGHA YA MWILI ( BODY LANGUAGE):
Atakuwa anahema haraka kwa sababu Internal organs na Muscles zake zinahitaji oxygen zaidi ili aweze kufika kileleni salama.

Atazidisha kujikunjakunja,kujinyonganyonga au kujisogeza kwako (akiwa ametulia tu ujue bado ongeza bidii)
Mikono yake hukunja kunja au kufinya shuka.

Kama mpo kwenye staili ya kifo cha mende utashangaa ghafla ataanza kukumbatia na kukushikilia kwa nguvu kama kucha zake ndefu atakuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani na saa nyingine anaweza akashindwa kujizuia akakung’ata.

Yakitokea hayo hata usipate tabu kumuuliza tambua tu mchezo wa siku hiyo mshindi niwewe

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?
Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/11/utajuaje-mke-au-mpenzi-wako-amefika.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/11/utajuaje-mke-au-mpenzi-wako-amefika.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content