Featured Post

NDOA NI FURAHA


Darasa la mapenzi na ndoa
💕💕💕💕💕💕💕

Ndoa nyingi zipo kwa ajili tu ya kupata mtu wa kulala nae, kuamka nae, kuzaa nae, na kulea watoto na kuzeeka pamoja. Hii sio sahihi kabisa ndoa inahitaji kufurahi kati yenu wawili❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Ngoja nikumegee siri moja, sababu ya kwanza kabisa ya kuwa katika ndoa ni kuwa na mtu wa karibu ambae unaweza kufurahia nae maisha, na huyo ndio mume wako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ndoa nyingi hujikuta wanaishi bila furaha, wanazeeka tu pamoja lakini hakuna kati yao ambae anafurahia kuwepo katika ndoa hiyo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

*HEBU ANGALIA HAYA*
jiulize, ni lini Mara ya mwisho ulimbusu mumeo? Nilini mwisho ulimkumbatia kimahaba mumeo? Nilini Mara ya mwisho ulimnong'neza mumeo maneno mazuri ya mahabbah naye akatabasamu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Je, nilini ulimlisha mumeo chakula kama ishara ya mahaba? ndoa nyingi ukiona mmoja anamlisha mwenziwe basi ujue huenda mke au mume mahututi na anashindwa kula mwenyewe. Usisubiri aumwe ndio umwonyeshe upendo huu, unaweza kumfanyia hata sasa wakati ni mzima kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Usisubiri mume wako aombe chakula au penzi. Mwanamke tambua kuwa mumeo hayo ni mahitaji yake ya msingi sio mpk aombe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤sio lazima umsubiri mwenzako aumwe ndio umbebe, unaweza kufanya hivi wakati wowote na ni ishara tosha ya furaha katika ndoa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤sio lazima u subiri sherehe maalumu kumzawadia mwenzio unaweza kufanya hivyo wakati wowote na ni ishara ya kujali❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤sio lazima mkichelewa kutoka kazini ndio muoge pamoja, mnaweza kufanya hivi Muda wowote na huongeza upendo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

❤NI USHAURI.....UKIPENDA UYAFANYIE KAZI ❤❤❤❤❤❤❤❤*BY  MAMA HUDHAIFAH*
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni