Iklan Billboard 970x250

MWANAMKE UPO

MWANAMKE UPO

Kama unaisoma post hii basi nataka ujue kwamba uzuri wako na kujiremba kwako hakuwezi kufanya Ndoa Yako Idumu .

    Uzuri wako haujakufanya wewe uolewe hapana bali nikujiweka nadhifu tu .

Wewe binti nataka nikuambie wazi kuwa uzuri na kujiremba kwako hakutokufanya upate mwanaume anae faa kuwa mume hapana .

BALI NI KUWA NA TABIA NJEMA NA MWENENDO MZURI KATIKA JAMII ILIO KUZUNGUKA IKIWEMO WAZAZI WAKO.

Ukiwa na tabia nzuri ndivyo nae Mungu atakavyo kujaalia mume bora wakujua Thamani yako wewe kama mwanamke .
  Tambua kuwa sio wote wanaojua thamani ya Mwanamke niwachache sana wanaojua Thamani hiyo.
  TABIA YAKO NDIO NDOA YAKO.
Related Posts
SHARE
Subscribe to get free updates

Related Posts

Chapisha Maoni

Post Central Advertising