LEO NAONGEA NA WABABA MPOO

🍓KIPINDI CHA WANAUME 🍓


🔹LEO NAONGEA NA WABABA MPOO 🔹


🔹KUNA baadhi ya wanaume Wana tabia moja mbaya sana udhalilishaji kwa wake zao 🔹

🔹Mume anamwambia mke Kwamba watu km ninyi wamejaa Tele..... Nitakutoa niingize mwingine.... Wanawake wamejaa wa nataka ndoa hauko peke yako 🔹


🔹HUU NI udhalilishaji Hata km wako Wengi wako tofauti... Huyu si yule... Wapo wengi lkn hawafanani... Allah kasema kaeni nao kwa wema au achaneni kwa wema 🔹


🔹Unaweza kuoa huyo ukakuta sio utabaki kujuta na kumkumbuka yule wa mwanzo na ukabaki mtu wa kuoa na kuacha. 🔹

            ✍Ni ushauri ✍
DONATE VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Your donation helps the Admin to be even more active in sharing quality blog templates. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni