Featured Post

KWANINI ZAMINOCAL MUHIMU SANA KWA WANAWAKE

Hii bidhaa inaitwa *ZAMINOCAL* inaundwa na madini muhimu kama vile zinc na calcium.

 *KAZI YA CALCIUM(ca) KWA MWANAMKE* 

↔Calcium; Inasaidia sana sana kwenye kujenga na kuimarisha mifupa

↔ Calcium inakaa kwenye damu 
Hivyo ukipoteza damu unapoteza na Calcium
 hapo hapo

↔Sasa kwa kila mwanamke anayebleed kila mwezi means anapoteza Calcium kila mwezi hivyo kupunguza store iliyoko mwilini

↔ Na ukibeba mimba unapoteza calcium zaidi maana inatumika kujenga mifupa ya mtoto tumboni 

↔Wakati wa kujifungua kuna damu inapotea sana so Calcium inapotea tena

↔Ikiwa unanyonyesha pia mtoto anatumia Calcium Yako yote

↔ So mwisho wa siku ndo maana wamama wengi wanakuwa wanaumwa migongo,magoti na kuonekana wazee kuliko wenza wao(waume zao)

Lakini Zinc iliyopo kwenye zaminocal nayo inamsaidia sana mwanamke hasa kwenye kukuza na kutoa yai.Ndio maana ukiongelea mambo ya uzazi lazima zaminocal ihusike.

Hivyo hivyo mwanaume hii Zinc inamsaidia kwenye kupevusha yai, nguvu za kiume na kurutubisha mbegu za kiume. Mwanaume huwa anatoa mg 5 za zinc kila anapofika kileleni. Ndio maana mwanaume anatakiwa apate zinc ya mg 11 kwa siku nzima ktk milo yake. Na mwanamke anatakiwa apate zinc gram 8 kwa siku nzima. Na kwenye Calcium mwanamke ndio anatakiwa apate nyingi. Mg 1200-2500 kwa mwanamke na mg 1000-1200 kwa mwanaume.pia watoto na wazee wanatakiwa calcium nyingi sana maana wanaihitaji mno

 *KWANINI UTUMIE ZAMINOCAL??* 
Sababu kubwa kutumia zaminocal ni :

↔Bidhaa pekee yenye madini ya zinc na calcium ndani ya kidonge kimoja

↔Inaufanya mwili uweze kunyonya madini haya ya zinc na calcium kwa 90% hata kama mwili haukuwa na uwezo huo wa kunyonya madini haya.


DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni