JINSI YA KUPIKA ROUND DONUTS

🍩 HAYA MAMBO YA ROUND DONUTS 😘


round donuts


MAHITAJI YA KUPIKA ROUND DONUTS

1. UNGA WAGANO MUGI 2 NA NUSU
2. SIAGI VIJIKO 2 KULA 
3. CUSTARD KIJIKO 1 KULA 
4. ARKI KIJIKO 1 CHAI 
5. HAMIRA VIJIKO 1 KULA 
6. CHUMVI ROBO KIJIKO CHAI 
7. YAYI 1
8. SUKARI NUSU MUGI 
9. MAZIWA YA MAJI MUGI 1 

JINSI YAKUTAYARISHA 

1. KWENYE SUFURIA TIA SIAGI IYAYUSHE KISHA TOWA KWANYE JIKO TIA MAZIWA , ARKI , SUKARI KIJIKO 2 KULA , YAYI , HAMIRA NA CHUMVI KOROGA KWA MCHAPO KISHA WACHA KWA DAKIKA 2. 

2. KWENYE HUO MCHANGAYIKO TIA UNGA WAGANO NA CUSTARD KOROGA KWA MWIKO HALAFU NAMKONO FUNIKA WACHA UMUKE.

3. UKISHA UMUKA UKANDE TENA KISHA UFUNIKE TENA KAMA DAKIKA 10.

4. FUNUWA UKANDE TENA FANYA VIDONGE VIDOGO VYA SAIZI KAMA HAPO KWENYE PICTURE SOKOTA KWA UREFU NA KUNJA MARA MBILI NA KISHA ZI TWIST ZOTE WACHA TENA ZI UMUKE KIDOGO.

5. TAYARISHA MAFUTA NA ZI CHOMA WACHA ZIPOWE KIDOGO HALAFU ZITIE KWENYE SUKARI ZI PEPETE ZIKOLE SUKARI KISHA TAYARI KULIWA KWA KAHAWA AMA UNACHO PENDA 

BY PEACH HASSAN
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni
close