Featured Post

JINSI YA KUMTULIZA MWANAUME KICHECHE

πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“
 πŸ’‘ mwanamke ndiyo dira ya mwanaume .ukiona mumeo hatulii mwanaume wako anakuwa na hulka ya kurukaruka jiangalie mwenyewe Mara mbili πŸ‘Œ

πŸ’žkatika kila uhusiano wenye migogoro ukiuchunguza kwa makini unabaini uwepo wa upungufu mkubwa wa mwanamke katika kumhendo mwanaume wakeπŸ‘ŒπŸ‘Œ
❣ shoga yangu nataka kuanzia Leo utambue kuwa mwanaume si malaika kwa maana hiyo unatakiwa ujue jinsi ya kucheza naye kama binadamu πŸ‘Œ
πŸ’‹mambo ya kuacha unapotaka mumeo atulie  
  
🌺 KIBURI  
Kuna baadhi ya wanawake wana viburi kwa waume zao .ujue shoga wangu mwanaume afanyiwi kiburi mwanaume ni kama mtoto unatakiwa umpe heshima ya kiume shoga jishushe siku ipite ingawa wengine wanaume mtihan ila ww jua namna ya kumushika ili kulinda ndoa yako usifanye kiburi 

 πŸŒΊ DHARAU 
binadamu yeyote hapendi kudharauliwa sasa shoga ukimdharau mmeo ndio unampa chance ya kutafuta mwanamke atakaempa heshima zote kama mume kwako atakua anarudi tu kutimiza wajibu wa mume lakin uanaume wake wote atauacha nyumba ndogo upoooπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ’˜πŸ’˜ usizubae msome vizur kisha mpatie atatulia tu mikononi kwako ❤❤

🌺shost kumbuka kuwa unatakiwa kumbembeleza mumeo kwa njia yoyote mpaka atulie . mwanaume hauzwi dukani ,supermarket wala hana bei ingekuwa anauzwa na bei yake inajulikana . kila mtu angekuwa naye angetumia jeuri ya fedha kumpata anayemtaka upoooπŸ‘ŒπŸ‘Œ
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni