JINSI YA KUDUMISHA AFYA NJEMA

" *JINSI YA KUDUMISHA AFYA NJEMA ' ITAKAYO KUWEZESHA KUISHI KWA AMANI MUDA WOTE - NA KUYAFIKIA MALENGO YAKO KWA WEPESI ZAIDI"* 

Katika hali ya kawaida, hakuna mtu ambaye ana uhakika mkubwa wa maisha yake kwamba ni lazima afike kesho na Kuishi na Kuwa na Afya Njema Vyote ni Mpango wa Mungu , Na haipingiki KuwaBinaadamu Yoyote , Muda na dakika yoyote ile anaweza Kuachana na Mwili Wako na Ukafa - Swala la Kufika Kesho au kutofika huwa ni Siri Ya Muumba Wako na Litabaki mikononi mwa Mungu mwenyewe.

Pamoja na kwamba binadamu huyo hana uwezo wa kujua kesho yupo au hayupo, lakini upo uwezekano Binaadamu akafurahia Kipindi Chake Cha Uwepo Wake hapa Duniani Kama Lilivyo Kusudio la Muumba Wako na Upo Uwezekano wa Kujiweka Katika Mazingira Magumu Kiafya Kutokana na Kwenda Kinyume na Mipango au Makusudio ya Mungu Huyo Huyo . 

👉 Inawezekana Tayari naanza kujiuliza maswali hilo linawezekana vipi? Tulia usiwe na wasiwasi nitakwambia.

Kwa mujibu wa Wataalamu wa afya Wanakubaliana kwamba , Ikiwa Binaadamu ataishi maisha yake ya kawaida bila kupata changamoto Nyingine za nje yake kama Kugongwa na gari au namna yoyote ile ya Kukatisha uhai wake au Kumsababishia Ulemavu wa Kudumu , Basi Upo Uwezekano wa Kuishi Katika Umri Wake Wote wa Maisha Yake akiwa Mwenye Furaha Bila Changamoto za Maradhi Labda Iwe Yale tu Yanayoletwa Kwake Kama Majaribu ili apate Kutambua Kusudi la Kuletwa Kwake Duniani.

 👉 Viashisria Vya Kuishi Kwa amani - Soma hapa : Hivi Ndivyo Vashiria ambavyo Vinaonyesha Kuwa , Kama Ukiishi hivyo ni lazima Uishi Kwa amani Katika Muda wa Uhai Wako Uliopangiwa Kuishi hapa Duniani - Mambo hayo au viashiria hivi ni matokeo ya utafiti yaliyofanywa hasa kwa watu walioishi miaka 100 na kuendelea.

1. Watu Wanaokula vyakula vyenye mafuta kidogo, watu hawa wao waliishi maisha ya muda mrefu. Mara nyingi ni kweli unapokula vyakula vya mafuta kidogo hiyo inakusaidia sana katika swala zima la mwili wako kutopata magonjwa hovyo hasa Yanayotokana na Uzito Mkubwa au Wingi wa Mafuta Mwilini .

2. Watu Wanaokula vyakula vyenye wingi wa protini : Hawa afya zao ziliimarika zaidi na kupelekea kuwa na maisha marefu Yasiyokuwa na Bughudha na Misuguano ya Mara Kwa Mara ya Kiafya Kama Vile Matatizo Ya Mifupa , Upungufu wa Nguvu Mwilini na Magonjwa Yanayotokana na Kinga Mwili Kushuka - Vyakula hivyo ni kama samaki, dagaa, maharage, nyama ana vinginevyo.

3 . Watu wanaofanya mazoezi kila siku : Wao walionyeshwa kwamba wanauwezo wa kuishi maisha ya muda mrefu wakiwa na Nguvu , Uimara na Utimamu wa Mwili na Akili lakini Pia Ni Uchangamfu Katika Muda Wao Wote wa Maisha yao - Hii ni kutokana na mazoezi huweza kuimarisha afya na kupunguza baadhi ya magonjwa na hali za kunenepeana hovyo.

Hivyo utaona, vyakula visivyo na mafuta sana, vyakula vyenye protini na kufanya mazoezi ni mambo ambayo yanatajwa Mara Kwa Mara na wataalamu wa Afya Kutokana na Umuhimu Wake Kwa Afya ya Binaadamu - Haya Yanapotajwa Yanamaanisha Kuwa Yana Umuhimu Mkubwa na yanaweza kuboresha afya yako na kupelekea kuwa na uwezekano mkubwa sana wa kuishi maisha marefu.

 Yapo Mambo Kadhaa Yanafanya tuikaribie Hatari Bila Ridhaa Yetu : - Kwa Bahati Mbaya .

Kwa Mfano : 

1. Mfumo wa Sasa wa Maisha Umekuwa Kichocheo Kikubwa Cha Maradhi Ya Mara Kwa Mara Kutokana na Uzalishaji wa Vyakula Unavyofanya , Vyakula Vingi Sana hutumia Kemikali Katika Uzalishaji wake na Hivyo Kufanya Mlaji Kukosa Vitu Viliyokusudiwa Kutoka Kwenye Vyakula Husika na Kumsababishia Maradhi .

 2. Ubora wa Miundombinu Ya Usafiri na Usafirishaji , Kadiri Unavyozidi Kuimarika Unafanya Watu Wakose Muda wa Kufanya Matembezi ya Miguu ambayo Yangetosha Kuwa Mazoezi Kwa Wale ambao Hawana Utamaduni wa Kupenda Kufanya Mazoezi .

3. Kingine ni Kupanda Kwa Ghalama za Maisha na Ukosefu wa Ajira na Lenyewe ni tatizo lingine linalopelekea Kukosekana Kwa Kipato Cha Kutosha Kuwezesha Jamii Kuifikia " LISHE BORA " Na Kula Kilichopo au Kinachopatikana Badala ya Kinachotakikana .

Kumbuka siku zote, afya ni kitu cha muhimu sana katika maisha yako na safari yako ya mafanikio kwa ujumla. Kama Ukiwa huna afya njema hakuna utakachokifanikisha kwenye hii dunia. Ni muhimu sana kutunza afya yako kwa ajili ya mafanikio yako .

*NINI UFANYE SASA KWA WEWE AMBAYE TAYARI NI MUHANGA WA MOJAWAPO KATI YA HAYO ..?*

  "SULUHISHO "

 Usisumbuke : Tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Program hii ni ya Virutubisho Vitokanavyo na Matunda na Mimea Vilivyoandaliwa Kitaalamu Bila Kutumia Kemikali ; Siyo dawa wala miti shamba itasaidia Kurejesha afya yako Katika hali ya Kawaida.

 *Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha Afya yake Jiunge kwenye WhatsApp group la bongolife
DONATE VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Your donation helps the Admin to be even more active in sharing quality blog templates. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni