Hawa wanaume watatuua na presha.

Ushaur anataka dada etu

wanaume wa hivi mnaishije nao?mimi Mr tupo mikoa tofauti nimetoka huko weekend tu lkn siku ile nimefika tu kanipokea vizr ananiambie nitangulie kuna sehem anapitia..amerudi saa tano mi likuwa nimeshalala nichoka na safari alafu ni mama k.
amerudi kazua ugomvi usioelewka..kachukua shuka kageuzia kichwa chini kalala😡😡 ameendelea kulala hivyo mpaka nimerudi mkoani.nimefika home ananiandikaia sms "nakupenda mke wangu" sikumjibu nikaendelea na shughuli zangu akinioigia napokea tunaongea vizur tu.basi akakaa siku tatu akanitumia laki tano kwenye account nikamshukuru lkn moyoni bado nina hasira.(huyu mtu ni msaliti ni miezi miwili hata aijapita tumetoka kusuluhisha ugomvi kwa ajili ulevi na umalaya nimemkamata zaidi ya mara 4 na sms za michps ndoa ina miaka minne)
mi nikaendelea kuwa kimya..
sasa leo kanipigia cm amesaliamia tu kaweka cm kumbe hajakata naskia wanabembelezana nawnamke inaonekana wapo faragha.nimeawsikilizaaa mwisho nikakata nikamuandikia sms"usisahau kutumia kondom"amekaa baada ya nusu saa amenipigia anaimbia ninambo ya kijinga.nikamwabia asnte.
moyo Wangu umechoka jamani na akiudhi ukikaa kimya na yeye anakaa kimya.naomba wamama mnisaidie mawazo tafadhali.
DONATE VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Your donation helps the Admin to be even more active in sharing quality blog templates. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni