UNA UCHI?πŸ˜‚

πŸ˜‚Jamaa mmoja akagonga hodi na
mwanamke
kafungua.
Jamaa kwa hasira akauliza, “una uchi?”
Mwanamke akabamiza mlango kwa hasira.Jamaa
likaondoka.
Siku ya pili jamaa likarudi tena. Hodi?
Karibu.
Likauliza tena, “una uchi?” mwanamke
kwa hasira tena akafyonza na kubamiza mlango,
jamaa likaondoka. Mwanamke uvumilivu
ukamshinda, alipokuja mume wake,
akamueleza,
“Baby, kuna jitu moja limekuja hapa
mara mbili,na kuniuliza swali la ajabu. Swali gani
honey? Aliuliza
husband kwa sauti ya upole na upendo.
Baby
akajibu, huwa linaniuliza kama nina uchi!
Huwa sipendi honey. Husband akasema sasa
mke wangu,
ngoja tufanye kitu kimoja. Kesho ni
mapumziko
sitakwenda kazini.
Sasa akija tena mie ntabana nyuma ya mlango na
akikuuliza tena, mwambie unao ili tuone
anataka
aufanyie nini, halafu tumshughulikie.
Basi jamaa likaja kweli siku ya tatu.
Hodi hapa! Karibu. Una uchi? Ndiyo ninao,
mwanamke akajibu wakati huo husband
yuko
nyuma ya mlango.
Jamaa likasema, “ sasa nakwambia hivi,
mwambie mumeo atumie huo na aachane na mke
wangu”. Akiendelea atajua kitakachompata!!``` ..Mpaka Leo Jamaa yupo nyuma ya mlango.
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni
close