PENZI LA MME WA MAMA SEHEMU YA 03 | BongoLife

$hide=mobile

PENZI LA MME WA MAMA SEHEMU YA 03

PENZI LA MME WA MAMA
(Sehemu 03)


ILIPOISHIA :
“We Mwaija .
“Abee .”
“Wakati unamhudumia baba yako chai ulivaa hivyo?”
“Ndiyo mama .”
“Ha ! Ha ! Haaa! Yaani kweli unavaa hivyo mbele ya baba yako Mwaija ? Hebu jiangalie kwanza Ona! Hii mikalio yako ulitaka aione siyo?”
“Hapana mama , lakini.. .”
“Iakini nini ? Au unataka baba yako aingiwe na ibilisi juu yako siyo ?”

TAMBAA NAYO ...
Hapana mama , mimi sikujua kama kwa kuvaa hivi baba anaweza kuingiwa na ibilisi ,We hivyo ulivyovaa unaona ni sawa siyo?” Ulivyoniambia ndiyo nimegundua si sawa sasa .”

Mama alimwangalia bintiye kwa macho makali kwa karibu dakika moja nzima huku Mwaija naye akishindwa kuondoka na kusimama palepale.. .

“Nisamehe mama.”
“Usirudie tena, sawa ?”
“Sawa mama .”
“Haya , kaendelee na kazi zako .”
*

Shughuli zilikuwa haziendi sawa kwa Masilinde. Kila baada ta muda alivuta picha ya Mwaija. ..Yule binti, daa ! Ni shida kwelikweli. Au kuishi mbali na mama ndiyo kawa vile ? Sasa ni kuvaa
gani vile mbele ya baba ’ake ?”
*

Jioni Masilinde aliporudi nyumbani alimkuta Mwaija, mama yake alikwenda kudai pesa zake kwa watu aliowakopesha vitenge .. .

“Shikamoo baba.”
“Marhaba Mwaija , mzima ?”
“Mi mzima baba, pole sana kwa kazi.”
“Nimepoa . Mama yuko wapi?” aliuliza baba mtu
huyo huku akikaa kwenye sofa...
“Alisema anakwenda kudai madeni ya vitenge sijui.”
“Ooo! Ni ile biashara yake.”
“Nikupikie chakula baba?”
“Hapana, kama kuna juisi naombeni. ”
“Ipo ,” alisema Mwaija huku akienda kuifuata hiyo juisi...

“Mh !” aliguna Masilinde akimwangalia Mwaija alivyovaa jioni hiyo. Alivaa gauni fupi , magoti yote
yalikuwa nje huku miguu yenye umbile la chupa za bia ikionekana vizuri sana na kumfanya baba’ake azidi kung’ata ulimi .

“Karibu juisi baba .”
“Asante sana mama. ”
Wakati Mwaija anaondoka kwenda kuendelea na shughuli zake , Masilinde alimtolea macho. huku akitingisha kichwa . ..

“We Mwaija .”
“Abee baba .”
“Njoo hapa. ”
Mwaija alirudi haraka ...
“Hebu kaa hapo Mwaija alikaa...
“Hivi hizo nguo zako za ajabuajabu unazovaa hapa kwangu una maanisha nini?

Nani kakwambia hapa ni hosteli ?”
“Samahani baba, sikujua kama nitakukwaza ,Mara mama yake aliingia ...
“Afadhali umekuja mama Mwaija ... ”
“Nini tena ? Halafu wee Mwaija ...”
Kabla mama’ake hajamaliza kusema, Masilinde aliendelea...

“Nilikuwa namuonya mwanao na hivi viguo vyake... ”
“Na ndiyo nilichotoka kumwambia na mimi .Asubuhi nimemsema sana, akabadili . Nashangaa
saa hizi namkuta hivi tena. ”
“Nisameheni sana.”
“Tukusamehe kwani we mwenyewe huoni ?Kama utaendelea hivyo hapa nyumbani kwangu utahama haraka sana alikuja juu Masilinde.

“Na kweli utahama hapa. Nilishakwambia tangu unakuja kwamba hayo mavazi yako mimi
sikubaliani nayo lakini nahisi kama hunielewi vile. ”
“Nimewaelewa. ”
“Haya kabadili haraka sana ,” alisema Masilinde.

Mwaija alisimama kwenda kubadili nguo Wakati anatembea macho ya Masilinde yalikuwa kwake huku akisema kimoyo moyo .. .( wewe sikuachi nakuvutia mda tu)

Mwaija alianza kukata tamaa ya kuendelea kuishi kwenye nyumba ile kwani mavazi ya ajabu yanayopigwa vita ndiyo zake . Hakuwa na nguo
ye heshima hata moja.

“Sasa itabidi kila gauni nivae na kanga juu ,alisema moyoni huku akilitungua gauni jingine na kulivaa, akatupia na kanga moja juu yake akatoka...

“Si hivyo sasa, ulikuwa unashindiwa nini tangu mwanzo?” alihoji Masilinde huku akiachia tabasamu pana! Mwaija alipoona baba huyo anatabasamu na
yeye akaachia la kwake, wakatabasamu wote ...

Hapo sasa unaonekana binti mzuri, uliyelelewa kwa maadili ya wazazi wako , si kama saa zile .
“Asante baba .”

Mwaija aliondoka kwenda nje . Wakati anakwenda macho ya Masilinde yakamsindikiza , akashtuka ...
“Mamaaaa. ..kumbe ishu si viguo vifupi , ishu ni kwamba amejaaliwa makalio. Ona. ..eee . ..laaa!”alisema moyoni huku akisimama kumwangalia vizuri binti huyo .

Japokuwa alivaa kanga juu ya gauni lakini wowowo lake lilionekana wazi na kutingisha kwa kadiri mguu mmoja ulipokuwa unakwenda mbele
na kuacha mwingine nyuma. ..
“Haiwezekani ! Hivi kweli mama yake ni huyu mke wangu au alipewa mwingine siku anajifungua?”

Hapo mama Mwaija alikuwa chumbani kwake ...We Mwaija ,” aliita Masilinde lakini kwa sauti ambayo kama hakutaka mkewe asikie kule chumbani.
“Abee baba .”

itaendeleaaa.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : PENZI LA MME WA MAMA SEHEMU YA 03
PENZI LA MME WA MAMA SEHEMU YA 03
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/10/penzi-la-mme-wa-mama-sehemu-ya-03.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/10/penzi-la-mme-wa-mama-sehemu-ya-03.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy