MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO | BongoLife

MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO

(1) *KITANDA*

_Mwanamke jitahidi kitanda chako kiwe vizuri NA cha kuvutui kipambe vizuri,kwa mashuka mazuri yenye nakshi,na shuka inyooke vizuri,sio kitanda kinakuwa kama vile stoo ya nguo chafu._

(2) *MANUKATO*

_Katika chumba chako jitahidi sana,kiwe kinanukia kila Mara mumeo anapo rudi akiingia chumbani akutane na harufu nzuri, .sio chumba chanuka jasho._

(3) *USAFI*

_Hili ni jambo LA muhimu sana maana utakuta chumbani kuna vichupi vya wiki nzima, hazijafuliwa mataulo chini,masidiria,mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue kuna mwengine atamchukua._

(4) *Usafi wa mwili*
 
_Pia Usafi wa mwili mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe._

(5) *Mapokezi mazuri*

_Wanaume wanapenda sana kupokelewa vizuri,kwa mahaba tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahidi yawe ya mahaba,legeza macho, mwili,yaani ili mradi tu umchanganye mwanaume Siyo umeshupaa kama mwanajeshi kwenye paredi._

(6) *CHAKULA*

_Jitahidi mwanamke kujua kupika sio tu kupika michakula kama ya jela michukuchuku mibaya,mamchuzi chururu kama watoto wanapika matipwi._

 (7) *MITEGO*

_Hii ni njia ambayo watakiwa uwe mjanja ukimuona mumeo kakaa sebleni basi vaa hata shumizi jipitishe huku ukijitingisha Mara kwa Mara,ujue lazima atakutizama tu tena kwa mwendo nzuri wa maringo._

(8) *MAPENZI*

_Mapenzi ya kumpenda mume pamoja na ndugu zake sio wanapokuja ndugu wa mume unaanza kuvimba kama andazi la kuongezwa

(9) *UKARIMU NA KUJIPENDEKEZA*

_Hata kama kwenu ulizoea kuwa na domo kama bakuli la togwa jitahidi kuchunga mdomo ukiona huwezi mumeo ngoja aondoke ufunge mlango ubwatuke peke yako kaa chizi,akirudi funga upuuzi wako zungumza maneno mazuri mnyenyekee._

 (10) *MAKELELE*

_WANAUME wengi huwa hawapendi makelele wanapenda wakirudi nyumbani kuwe kumetulia isiwe kama choo cha umma,WANAUME wanapenda ukimya mahala panapokuwa kimya huzidisha mapenzi._

(11) *ZAWADI*

_Jitahidi kumnunulia vizawadi pindi unapokwenda sokoni au dukani mwanaume hujisikia faraja pale ukimpatia zawadi._

(12) *MAVAZI*

_Pendelea kumchagulia mavazi TIZAMA rangi ya mwili wake kisha mchagulie nguo inayoendana na rangi yake ya mwili siyo mume mweusi waende kumvisha nguo nyekundu kama anaenda kupunga madogoli mamaa._  

*MTUNZE MUMEO MAMA USIPOMTUNZA WAPO WATAKAO KUTUNZIA*

COMMENTS

BLOGGER

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO
MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/10/mwanamke-jua-mambo-yanayo-hamasisha.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/10/mwanamke-jua-mambo-yanayo-hamasisha.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content