Featured Post

MWALIMU MKUU SEHEMU YA 01

MWALIMU MKUU
SEHEMU YA 1
WHATSAPP 0655585220
ZANZIBAR
“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni
sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee
“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA SIMJUI ALIE KUPA MIMBAA???”aliuliza mama chausiku kwa taabu
“NIKWERI MAMA UMJUI KWENYE HII MIMBA NI MZEE MMOJA ANAITWA ALINANI YUKO UGANDA APA NILIKUTANA NAE SOKONI NAJUTA MAMA ANGU KUPOTEZA KALAMU MKONONI NA UYO MWANAUME AJAWAI ATA KUNIPA SETI YA ELA ATA MOJA”alizungumzaa chausiku kwa huzunii
“EEEE MUNGU NINA MIKOSI GANI MIMI ATA MIMI NIMEBEBA MIMBA YA CHAUSIKU MWANAUME KANIKIMBIA NA MWANANGU NAE KAKIMBIWAA CHAUSIKU MWANANGU NAKUOMBEA UJE UZAE MTOTO WA KIUME AJEE KUKUKOMBOA MWANANGU”alizungumza mama chausikuu
“MAMA ATA MTOTO WA KIKE NAE MKOMBOZII KWA UWEZO WA MUNGU NAKUPENDA MAMA ANGU”alitamka chausikuu kwa tabasamu.
***********
Hatimae siku zilisonga mbele mama chausiku alipata uweni kidogo ila kulima alishindwa na uku chausiku tumbo lake likizidi kukuwa na kisha akienda shamba uku akimuacha mama ake nyumbanii. Chausiku alijitahidi kulima ili kupata chakula cha kujkiimu ye na mama ake ambae ni mgonjwa wa presha na mapavu kubana, kuna siku chausiku alirudi nyumbani na mboga ya matembele alifika kisha akamkuta mama ake bado kalala alichambua yale matembele kisha alichukua ndoo ya maji na kuwelekea kisimanii alienda alikutana na shoga ake aitwae devo walizidiana miaka mitatu devo mkubwa chausiku mdogo ila walikuwa malafiki kama pete na kidole.
“EEEE CHAUSIKUU VP SHOGA??”aliuliza devo shoga wa chausiku
“PW DEVOO UNAENDA WAPII???”aliuliza chausikuu
“WEZAKOO TUMEPEWA SHAMBA LA KULIMA NA TAJIRI MMOJA TUMLIMIE MAHINDI NA MPUNGA KASEMA TUWE KUMI TUU TUNAPEWA ELA SHOGA TWENDE NA WW”alitamka devo kwa furaha
“DEVOTA SHOGA ANGU NA MIMBA HII NIKALIME MAHINDI UNATAKA NIFE MIEE??”aliuliza chausiku kwa msikitikoo
“ACHA UWOGA SHOGA TWENDE UKISHINDWA MI NITAKUSAIDIA ILI UPATE ELA YA KULAA SAWA”alizungumza devo kwa upole ili.asimuuzi shoga ake.
Chausiku alikubari kwenda ili apate ela ya kula yeye na mama alikumbuka tangu asubui ajara akaona afazarii akalime ili apate ela ya kula.
Alimwambia shoga ake yuko tayari waende walienda adi lilipo shamba waliiwakuta watu kama saba wakipangiwa sehemu yao ya kulima na mzee mmoja alie pewa kazi ya kusimamia hayo mashamba. Chausiku na devo nao walipangiwa mashamba yao ya kulima chausiku alishangaa kuona shamba eka moja “mmmmh nitaweza pekee yangu mie”akiwaza chausiku moyonii
“JAMANI KILA MTU KASHAPANGIWA SEHEMU YAKE KWAIYO KESHO SAA KUMI NA MOJA AFRAJIRI TUWE TUSHAFIKA ADI SAA NANE TUMEMALIZA KULIMA AYA KWAERINII”alitamka mzee wa usimamizi kisha nae akaondoka.
*******
Chausiku alipitia maji kisha akaagana na devo kisha kila mtu alipita njia yake, chausiku alifika kwao na akaanza kuwasha moto kwenye jiko la kuni alipika ugarii na matembele ya kushemzmsha kwasababu ya kukosa mafuta na nyanya alipika kisha wakala na walishiba “ASANTE MJUKUU WANGU KWA TEMBELE TAMU “alitamka mama chausiku uku akilishika tumbo la mwanae
“AAAAA MAMA NAE”alizungumza chausiku uku akiachia kicheko
chausiku alimsimulia mama ake kuhusu kazi ya kulima
“MMNNH MWANANGU UTAWEZA KWERI NA KITUMBO ICHOO!!!!??”aliuliza mama chausiku kwa mshangao.
“SALA ZAKO TUU MAMA NIOMBEE”alizungumza chausiku kwa uwoga
“AMEEN MWAMANGU NITAKUOMBEA”alitamka mama chausiku kisha akamkumbatia mwanae kwa furaha.
Walipiga story nyingi mwishowe walienda kulala.
hatimae chausiku alidamka saa kumina moja kasoro alinawa uso na kuchukua jembe lao kuuu na kidumu cha maji kisha aka muaga mama ake
“MAMA MI NAENDA TUTAONANA”alitamka chausiku uku akimchumu mama akee
“AYA MWANANGU KAZI NJEMAA”alizungumza mama chausiku kwa furaha, kisha chausiku alitoka kisha akaelekea shamba bila kujali kigizaa cha muda huo.
*******
Hatimae chausiku alifika alikuta devo ajafika aliwakuta wengine aliwasalimia kisha aka weka kidumu nchini na kuaza kulima ktk sehemu yake na kuaza kulima.
*********
Upande wa mama chausiku aliamka ili akajisaidie aja ndogo ile anatoka alistuka akipigwa na kitu kizito kichwani alipiga kelele na kudondoka nchini alihisi kizunguzungu kisha akazimia. Kumbe kuna vijana walimvamia na kujeruhiwa, wale vibaka waliingia ndani kwa mama chausiku walipekua bila kupata kitu walikasirika “Haaa inamaana hii nyumba aina kitu chochote mmmh??”aliuliza mkuu wa wale vijana
“Bila shaka mkuu tum bakeni maana katutia hasira sana”alitamka kijana mmoja bila uruma kama yule sawa na mama akee mzazi kisha walimuingilia mama chausiku uku ajitambui walimaliza aja zao kisha wakatokomea kusikojulikana.
***********
Mama chausiku alikuwa bado ajapata fahamu, alikuja kustuka alihisi maumivu kichwani na sehemu za sirii “MUNGU KWANN MIMI”aliuliza mama chausiku uku akijiunua alishindwa kujiinua mala pumu zikaaza kumpana aliangaika uku akishikilia mbavu zakee kwa maumivu uku akilia kwa maumivuu makalii pumu ilimpana kwa lisaa limoja bila kupata msaada wowote.
Mama chausiku mwishowe alikata tamaa ya kuishii kisha akasali sala zake za mwisho.
“EEEE MUNGU NIMEKATA TAMAA YA KUISHI MIMI MJA KWAKO KUTOKANA NA UGONJWA HUU WA PUMU KWA MIAKA MINNE LEO NAONA KIFO KINANIKABILI NAOMBA POKEA ROHO YANGU, NA CHAUSIKU MWANANGU PAMBANA NA MAISHA MWANANGU ILOVE YOU CHAUSIKU WANGU MUNGU AKULINDE NA SHIDA ZA MAISHAA AMEEN”alitamka mama chausiku kwa shida kutokana na kubanwa kwa pumu alikohoa na kutokwa damu mdomoni na puani kisha alifuta pumzi ya mwisho alitapatapa na akakata rohoo.
*********
Palipokucha mwili wa mama chausiku ulikuwa pale pale kando ya mlangoni kwake uku mlango ukiwa wazi ili kuwa saa kumi na mbiri na nusu tayari kigiza kiliondolewa na mwanga, wasamalia wema walipita kuwelekea shamba walistuka kumkuta mama chausiku ajitambui uku akitokwa damu puani walimsogelea na kumgusa kifuani walishangaa kusikia mapigo ya moyo ayaendi walim beba na kumpereka zahanati ya kijiji tanga walifika kisha mama chausiku alifanyiwa vipimo na kugundulika alifariki muda tuu ile taalifa iliwafikia wale wasamaria wema walisikitika kwa huzuni kisha waliondoka kuludi kule kwa marehemu mama chausiku kutoa taalifa kwa majiranii.
Walifika kisha walisambaza ile habari majirani walilia na wengine walimtafuta chausiku bila kujua aliko.
**********
Upande wa chausiku akujua kitu chochote nyumbani kwao alilima kisha alijisikia vibaya na kwenda kunywa maji kwenye kidumu chake alichokuja nacho alikunywa lakini wapi bado alihisi vibaya alienda kwa msimamizi wa shamba na kumwambia tatizo lake msimamizi alimuhurumia na kwenda kuangaria sehemu aliyo lima alilizika kisha alimpatia elfu 30
“Pole sana chukua ela hii ikusaidie kwa matumizi saw”akitamka yule msimamizi uku akimbizi chausiku ile ela “ASANTE SANA MUNGU ATAKULIPAA”alitamka chausiku kwa furaha kisha akamuaga devo na kuondoka.
Chausiku alitembea kilometa 10 kutoka shambani na nyumbani kwao alikalibia nyumbani kwao alistuka kuona watu wakijazana alishangaa kusikia vilio “mmmmh kuna nn tena?!'”alijiuliza chausiku kwa mshangao mala alisikia sauti ya shoga wa mama akee aitwae fatma alimuona chausiku alimkimbilia uku akilia
“MAMA CHAUSIKU SHOGA ANGU KWANN UMEKUFA BILA KUTUAGAA”alilia fatma kwa huzuni
Chausiku alistuka kusikia mama ake-amefarikii alidondoka na kuzimiaa.
Watu walistuka kumuona chausiku kadondoka walimkimbilia na kumfikia walimgusa walisikia mapigo ya moyo yaki sikika kwa mbarii “mungu wangu chausiku jamanii nn kimekupataa???!
!!”aliuliza fatma kwa mshangao
“JAMANI TUM BEBENI TUKAMPE FIRT AID KIT (huduma ya kwanza)”alitamka mzee wa kijiji.
Kisha chausiku alibebwa na kuingizwa ndani tayari kwa kupatiwa huduma ya kwanza waombelezo ambao majirani wa kina chausiku walijitahidi kumpa chausiku huduma ya kwanza, chausiku alipatiwa huduma ya kwanza kisha aliachwa apumzike na apate hewa saafi uku watu wengine walikaa nae kwa ilikumpa hurizii
Waombolezo waliendelea kuomboleza uku chausiku bado ajapata fahahamuu.
Chausiku alizinduka aliangaza macho uku na uku alikumbuka mama akee amekufa “mama mamaaaa umeniacha na nani mimi ooooooh mama, mama,”alilia chausiku kwa uchungu
“Chausiku usilie unapaswa kujikaza na ww mjamzito upo ktk atarii punguza hasiraaa jamanii”alitamka jirani yake chausiku aitwae mama loly
“Mama loly mama angu ndiyo nguzo ya maisha yangu mimi, mama kwanini umeondoka mapema umeniacha na nani mimi sina wa kumtegemea mama amka uniambie nn kimekusababishia kifooooo mama????”aliuliza chausiku kwa kilio
Adi kila mtu pale msibani alitokwa na machozii hakika msomaji ata ww ungekuwepo lazima chozi likutokee tuachane na hayoo, chausiku alikubari matokeo kuwa atomuona tena mama akeee alinyamaza ili ajue utaratibu wa msiba.
“JAMANI WAOMBELEZAJI WENZANGU TUPO APA KTK MSIBA WA MAMA CHAUSIKU AMBAE NI JIRANI YETU ANA NGUDU YUPO MTOTO WAKE TUPO NAE APA KWA MAOMBOLEZO KWAIYO KESHO NDO TUKAMPUMZISHE MAREHEHEMU KTK NYUMBA YAKE YA MILELE NAZANI MMENIELEWA, ”
********
Hatimae mama chausiku alipumzishwa ktk nyumba yake ya milele chausiku alikuwa bado anamkumbuka mama akee “DAAAH MAMA INAMAANA SITOKUONA TENA”alitamka chausiku kwa huzuni.
********Baada ya mienzi minne***
Hatimae chausiku aliishi pekee yake uku ujauzito wake ukisonga mbele alibakiza siku mbiri ajifungue alikuwa akifanya biashara shuleni alikuwa anauza uji wa mchele kila siku anapata elfu tatu hakika chausiku aliifurahia ile biashara kwa kumuingizia kipato kuzurii “EEEE MUNGU NAOMBA NISONGE MBELEE AMEEN”yalikuwa ni maombezi ya chausiku alikuwa kashamaliza biashala yake ilikuwa saa sita na nusu mchana alikuwa akielekea nyumbani aliamua kupitia sokoni akanunue chenga kwa ajiri ya uji kwa kesho alifika alistuka kumuona tajiri mzee alinani aliempa mimba “MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusoma
Mzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.
Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia denge mzee alinani walikutana macho kwa macho
“MPUMBAVU MKUBWA WEE UNATA KUNIKIMBIA ILI IWEJEE?? ANALIA HII MIMBA YAKO MTOTO AKIZALIWA NAMPELEKEA MKE WAKO PALE SHEEZI WEEE UNAJUA KUJAZA MIMBA VITOTO VIDOGO SAWA NA WAJUKUU ZAKOO SASA SIKILIZA NIKIJIFUNGUA TUU NAMLETA MTOTO KWA MKE WAKOO,”alizungumza chausiku kwa ukalii.
ITAENDELEA………………………………….
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni