JINSI YA KUTUMIA KONDOM YA KIKE | BongoLife

JINSI YA KUTUMIA KONDOM YA KIKE

Tumia kondom mpya kila mara unapofanya mapenzi. Kondom ya kike inaweza kuwekwa ndani ya uke mara tu kabla ya kufanya mapenzi, au hadi masaa 6 kabla ya kufanya mapenzi.

Jitahidi kutokugusa sehemu za siri za mpenzi wako (au osha mikono yako) kabla ya kugusa sehemu zako za siri.

Tazama paketi ya kondom ambayo bado haijafunguliwa.
Hakikisha haijaharibika au kupasuka.

Angalia tarehe ya mwisho ya matumizi ya kondom hii, ambayo itakuwa imechapishwa sehemu ya nje ya paketi ya kondom kuhakikisha tarehe haijafika. Kama tarehe imeishafika na kupita, tumia kondom nyingine.

Fikicha kwa upole paketi ili kuhakikisha majimaji yaliyomo yanasambaa kote kwenye kondom.
Fungua paketi kwa uangalifu kwenye sehemu yenye makucha kama msumeno, ili kuhakikisha kondom haiharibiki.

Usitumie makucha au meno kufungua paketi kwa sababu yanaweza kuchana kondom.

Unapogusa kondom, iwe na utelezi kidogo. Kama kondom haina utelezi, imeharibika, kwa hiyo usiitumie. Sehemu ya nje ya kondom huwa na majimaji yanayo-rahisisha kufanya mapenzi.

Ni rahisi zaidi kuingiza kondom ukeni kama unachuchumaa, kupandisha mguu mmoja juu ya kiti, au kulala kitandani ukiwa umekunja magoti wakati umepanua miguu yako wazi kabisa.
Minya kondom kwa nje, ukiminya sehemu mbili za mviringo mdogo wa ndani kwa pamoja kama ilivyooneshwa kwenye picha. Muundo huu hurahisisha kuingiza kondom ukeni.
Wakati umeendelea kushikilia sehemu ya nje ya kondom namna hii, pole pole ingiza mduara mdogo wa ndani ukeni ukitumia kidole cha shahada.
Ili kuhakikisha kondom imekaa vizuri, unaweza kuingiza dole lako la shahada au dole la kati ndani ya kondom na kusukuma mduara wa ndani mpaka mwisho wa kidole chako. Hakikisha kutokuharibu kondom na makucha yako.
Hakikisha mduara wa nje wa kondom unaishia kwenye mlango wa uke: usiingie ndani ya uke. Mduara wa nje utafunika mlango wa uke wakati wa kufanya mapenzi.
Usitumie Vaseline, losheni au aina nyingine yeyote ya mafuta kuongeza utelezi wa kondom zaidi. Mafuta ya aina hii huongeza uwezekano wa kondom kupasuka. Kama unahitaji utelezi zaidi, tumia mate au majimaji maalum yaitwayo KY-Jelly, yanayopatikana katika duka ya madawa.
Fanya mapenzi ndani ya muda wa masaa 6 baada ya kuvaa kondom.

Tumia mikono yako kuongoza uume ndani ya kondom, ili kuhakikisha kuwa uume unaingia ndani ya kondom na siyo kando.

Baada ya kufanya mapenzi, viringisha mduara wa nje wa kondom mara moja ili kuzuia shahawa kumwagika.
Kisha toa kondom ukeni polepole.

Funga kondom kwenye karatasi au kwenye paketi yake ya mwanzo.
Tupa kondom kwenye choo cha shimo, au ichome moto.
Nawa mikono yako na maji na sabuni.

TUMIA KONDOM MPYA KILA UNAPOFANYA MAPENZI

COMMENTS

BLOGGER

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : JINSI YA KUTUMIA KONDOM YA KIKE
JINSI YA KUTUMIA KONDOM YA KIKE
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/10/jinsi-ya-kutumia-kondom-ya-kike.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/10/jinsi-ya-kutumia-kondom-ya-kike.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content