BLACK AMERICA SEHEMU YA 11 | BongoLife

BLACK AMERICA SEHEMU YA 11

RIWAYA:BLACK AMERICA
        (Mmarekani Mweusi)
MTUNZI:NELSON KIMOY
SIMU:0758638391
SIMU2:0625293917

{{ SEHEMU YA 11 }}
#Endelea_nayoo==>Ilinibidi nitoke chumbani kwangu nielekee kwenye chumba cha baba.......
Lahaulaaa!!! Baba yangu mzazi aliamua kujipiga na risasi ya kichwa nililia kwa uchungu sana huku nikimuita baba lakini hakuamka nilipotupa jicho mezani niliona kitu kama karatasi nilinyanyua na kuisoma ilikuwa ikisomeka hivi

"Lissa binti yangu nisamehe kwa kukuacha peke yako lakini nimeamua kuchukua uamuzi huu ili kumfuata mama yako pesa,magari pamoja na nyumba ni mali zako na havitapotea hata kama ukiwa mbali ila kwa sasa nakushauri uende Tanzania Mkoa wa Tabora katika wilaya ya Igunga kijiji cha Igogo ukifika ulizia jina la 
Minza Malembeka ukaishi huko na bibi yako swala la kunizika usijali we nenda Tanzania maana General Brown atakumaliza kwa kuwa hakukupenda wewe na mama yako wako baba yako kipenzi 
Jensen Brown"

Niliumia sana ilinibidi nikubaliane na hali halisi pamoja na maneno ya baba aliyoyaandika swala la kutokupendwa na babu yangu nilikuwa nalijua sana nilichukua nguo zangu chache.....
Nikaelekea guest kulala asubuhi palipokucha nilijiandaa nikaenda uwanja wa ndege 
Nilifanyiwa ukaguzi ....Nilipomaliza nikaingia ndani ya ndege nikiwa tayari kwa ajili ya safari baada ya robo saa nzima ndege ikaanza kuchemsha injini ili iweze kuruka.........
Niliweza kufika Dar es salaam Tanzania nchi yenye kisiwa cha amani kwa kuwa nilikuwa na pesa nilikodi tax iliyonipeleka mpaka GLANDVILLA HOTEL & GUEST.....
Siku moja nikiwa napunga upepo kwenye hoteli nilikumbuka kuwa ile barua iliyoandikwa na baba sikuisoma mpaka mwisho kwahiyo niliingia chumbani kuitoa barua kwenye begi na kuanza kuirudia kuisoma niliweza kuona namba kitu ambacho sikukiona siku ambayo baba alipojipiga na bastola na hiyo yote ni kwasababu nilikuwa na simanzi niliichukua namba hiyo kisha nikaipiga simu iliita kwa muda kisha ikapokelewa 

"haloo?"
"bibi shikamoo"
"mmmh marhaba we nani?"

Nilianza kumuelezea bibi kwa lugha ya kiswahili kwani niliwahi kufundishwa na mama yangu mzazi
Na sikusita kumwambia kuwa nipo Tanzania bibi alinielewa na akanipa maelekezo........ 
Baada ya masaa kumi na mbili niliweza kufika 
Igunga Tabora nikapokelewa vizuri tu na bibi yangu kisha tukakodi gari likatupeleka mpaka kijijini ambapo ni Igogo nikaona ni mahali pazuri pa kujificha.Lakini hivi sasa nimebaki mkiwa kwani bibi yangu alifariki na ndio maana mpaka leo nipo humu porini nasubiri miaka isonge babu yangu General Browni afe ndiyo nirudi America ni story ndefu sana lakini nimekupa kwa ufupi tu......
Lisa alimaliza kusimulia story yake  
E bhanaaa eeeh nadhani tunapoelekea moto utalipuka we unajua nini
kiliendelea basi usikose Muendelezo wa riwaya hii....

COMMENTS

BLOGGER

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : BLACK AMERICA SEHEMU YA 11
BLACK AMERICA SEHEMU YA 11
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/10/black-america-sehemu-ya-11.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/10/black-america-sehemu-ya-11.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content