USITHUBUTU KUNYOA NYWELE ZA SIRI | BongoLife

USITHUBUTU KUNYOA NYWELE ZA SIRI

Haya ndio madhara ya kunyoa nywele za siri na kwanini hautakiwi kuzunyoa

USITHUBUTU KUNYOA NYWELE ZA SIRI (namaanisha za nyuma zinazozunguuka shimo la haja kubwa...(anus).

Tuliza akili yako kwanza, kisha soma kwa makini na kwa kuelewa.JUA USICHOKIJUA

Faida ya kwanza ya kuziacha nywele hizo; unapokuwa chooni ukifanya shughuli yako,kuna mvuke hutoka ndani ya tundu la choo, kazi ya nwele hizo ni kuzuia mvuke huo usikuingie tumboni kwa urahisi kupitia duara lako (anus) ambalo litakuwa wazi sana kwa vile umelinyoa.

Mvuke huo ukikuingia husababisha madhara kama vile minyoo,fangasi,vipele vidogovidogo vitavozunguuka anus yako,pia husababisha kuweka weusi pembeni ya duara lako(anus).

Faida ya pili kutonyoa nywele hizo; kuna bakteria wanaotunzwa na nywele hizo ambao wana sumu Kali sana,kazi ya bakteria hawa ni kupambana na aina yoyote ya bakteria wa maradhi wanaosababishwa na huo mvuke wa shimo la choo,

Na ndio maana hata uislamu umenyamazia nywele hizo za nyuma kutosema zinyolewe.

Na ndio maana hata kimaumbile hayakubali,yaani Muumba hakuweka wepesi juu ya kunyoa nywele hizo, na ndio maana ukilazimisha kuzinyoa,basi itakugharimu sana kutafuta style mbali mbali za mikao ili uweze kuzifikia nywele hizo, hatimaye utajikuta umejikunja kama DAGAA KAMBA MKAVU 😷

Hapa inawahusu wote,kina baba na kina mama.

Hakuna Tusi Hapo Ndio Ukweli Tuusemeni.

COMMENTS

BLOGGER

BIASHARA MTANDAONI $type=blogging$cate=2$count=4

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,134,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,150,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,104,FIFA.com - Latest News,7,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,158,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : USITHUBUTU KUNYOA NYWELE ZA SIRI
USITHUBUTU KUNYOA NYWELE ZA SIRI
Haya ndio madhara ya kunyoa nywele za siri na kwanini hautakiwi kuzunyoa
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/09/usithubutu-kunyoa-nywele-za-siri.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/09/usithubutu-kunyoa-nywele-za-siri.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy