Ushauri kwa wanaume kuhusu wanawake

LEO NAWASHAURI WANAUME

🌹🌹🌹🌹🌹🌳😍πŸ₯°
1. Mwanamke sio rula iliyonyooka kwamba hakosei, bali anapokosea adhabu yake si ngumi bali ni mawaidha.
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
2). Usihuzunike mkeo hapendezi au hanukii hali ya kuwa hujanunua nguo wala perfume ,wewe ndiye ulaumiwe.
🌹🌹🌹🌹🌹🌴🌴
3). Usifichue udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mkeo, naye ni mlinzi wako.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌴
4). Usimkataze mkeo kushika simu yako baada ya kuita kwa kuiwahi wewe kabla hajaona anayekupigia, unachokichukulia tahadhari kikigundulika ndoa yenu itapata mitikisiko.
🌴🌴🌴🌴🌴🌾🌿
5). Usiogope kuchekwa kwa kumsaidia mkeo shughuli za ndani, mke si mtumwa isipokuwa ni msaada kwako.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
6). Usipendepende kusifu wanawake wengine mbele yake, hujui maisha yao halisi yalivyo. Ukiibomoa hadhi yake, upendo wake kwako utashuka.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
7). Usimgombeshe mkeo kwa kutoweza kupika vyakula unavyovipenda ,kwao hakukua na chuo cha upishi alipika kulingana na kinachopatikana, bora ni kumfundisha.
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
8). Usimpe mtu mwingine fursa ya kumhudumia mkeo, watu wanawaweza kufanya mambo mengine, lakini huduma za mkeo ni jukumu lako mwenyewe.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
9). Hakuna mwanamke ambaye atamvumilia mwanaume dhaifu kitandani ,tumia kiwiliwili chako vizuri.
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳
10). Peracetamol na dicloper isiwe ndio tiba ya kila ugonjwa anaoumwa mkeo ,suala la kumtibu ni lako usilikwepe.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
11). Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mkeo.
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳
12). Usimlinganishe mkeo na wanawake wa nje hao hawajui thamani yako ,ukiendelea na hilo mapenzi ndani yatapungua.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
13). Muheshimu mkeo hata kama wewe ndio mkuu wa familia kwani heshima ndio msingi wa ndoa yenu.
🌹🌹🌹🌹🌹🌳🌳
14). Usiwe mume mwenye dhana potovu juu ya mke ,uwaminifu ndidi ya mkeo ndiyo chanda njema.
🌹🌹🌹🌹🌹🌾🌾
15). Usimkosoe mkeo hadharani anapokosea ,hakuna anayekubali kukosolewa hadharani ,matoke ya hilo siku zote huwa hasi.
☘☘☘☘☘☘☘
17). Maamkizi mema yapambanishwe na kugusana miili yenu ,jambo hilo huondoa madoa yaliyo katika nafsi zenu.
🌹🌹🌹🌹🌹🌾🌾🌿
18). Neno "nakupenda" litawale kumwambia mkeo kwani mwanamke hufurahi kuambiwa neno hilo.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
19). Penda kumshirikisha mkeo katika mipango ya kimaendeleo, mwanamke ni mshauri mzuri.
🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾
20). Watoto ni watoaji nje kila habari iliyo ndani kwenu, hivyo sehemu ya kumkosoa ni chumbani si mbele ya watoto.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
21). Usimlaumu mkeo kwa kumkuta akiwa hayuko katika hali ya usafi, sms pia ingetosha kumjulisha kwamba unakuja ili ajiandae.
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳
22). Wazazi unatakiwa kuwafanyia wema lakini usijisahau kiasi cha kusahau wajibu wako kwa mkeo ,uadilifu wako ndio utakaofanya wawili hawa waishi kwa upendo.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹😍😍
23). Usisahau kuwa mke anahitaji mtu anayemakinika naye na kumsikiliza vizuri, hivyo unapozungumza naye usiwe kama kamanda wa polisi, Mawasiliano yenye utulivu ndiyo msingi wa nyumba yenye furaha.
🌹🌹🌹🌹🌹πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
24). Iwapo mawazo yeke hayakufanikisha jambo kuliko mawazo yako, usimpuuze Bali ishini na mfanye kazi kama timu.
πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
25). Maskani na vibaraza sio katika misingi ya ndoa ,kaa na mkeo ,mwanamke hupenda kumuona mwenza wake mara kwa mara.
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
26). Mfanyie suprise mkeo hata kwa chokolate ,hilo litaamsha hisia zake na kujiona unamjali.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
27). Usisuhubiane na wanaume wenye mtazamo hasi na wa kimakosa kuhusu ndoa, kwani wavurugaji wa ndoa za watu ni binadamu wa kawaida,ulinzi wa ndoa yako ni jukumu lako.
☘☘☘☘☘☘☘☘
28). Kumuoa wewe mkeo sikuvunja udugu wao panapo haja mpe ruhusa akawasamilie ndugu zake.
🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴
29). Umri au kuoa mke mwingine isiwe kikwazo cha kuwa na ushawishi kwenye nyumba yako. Kamwe usipunguze kiwango cha huduma kwa familia yako kwa hali yoyote ile. Ifanye huduma yako kuwa yenye kujaa ubunifu maridhawa.
🌳🌳🌳🌳🌳🌳
30). Wewe ndiye utakwenda kuulizwa mbele ya Mola muumba ,usimamizi wa ibada katika familia ni jumu lako.🌹🌹🌹🌹LEO NAWASHAURI WANAUME

30). Wewe ndiye utakwenda kuulizwa mbele ya Mola muumba ,usimamizi wa ibada katika familia ni jumu lako

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Ushauri kwa wanaume kuhusu wanawake
Ushauri kwa wanaume kuhusu wanawake
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/09/ushauri-kwa-wanaume-kuhusu-wanawake.html
https://www.bongolives.com/

true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content