UKIWA UMEOA AU KUOLEWA NASAHA HIZI ZINAKUHUSU | BongoLife

$hide=mobile

UKIWA UMEOA AU KUOLEWA NASAHA HIZI ZINAKUHUSU

Nasaha kwa wale wote ambao tayari wapo kwenye ndoa

💞
Ewe mwanandoa....

💞💞

1.Amueni kupendana hata katika nyakati za changamoto. Upendo ni kushikamana na mwenzako, sio hisia tu.

💞💞

2. Daima pokea simu ya mumeo/mkeo anapokupigia na ikiwezekana izime simu yako au ondoa mlio unapokuwa pamoja naye.

💞💞

3. Upe kipaumbele Muda wa kukaa naye. Fanya utaratibu wa kuwa na USIKU WA MUME/MKE kama tulivyofundisha hapo awali hivyo wekeza Muda kwenye ndoa yako Hakikisha uwekezaji wako unakuwa endelevu .

💞💞

4. Shikamana na marafiki watakaoifanya ndoa yako iwe imara, achana na wale watakaokufanya uwe na MTAZAMO HASI.

💞💞

5. Lifanye tabasamu na kicheko kuwa ala ya yenu. Furahini pamoja, na hata katika nyakati ngumu tafuteni sababu ya kufurahi na kucheka. Wale wanaocheka pamoja,hudumu pamoja.

💞💞

6. Katika kila mabishano, kumbuka kuwa hakuna "mshindi"na "mshindwa" Nyinyi ni washirika katika kila kitu, hivyo nyote mtakuwa washindi au nyote mtashindwa. Unganeni kutafuta suluhisho la tatizo.

💞💞

Kumbuka kuwa ndoa imara ni nadra kuwa na watu wawili imara kwa wakati mmoja. Utakuta mume na mke wanapeana zamu ya kuwa imara pindi mmoja wao anapokuwa dhaifu.

💞💞

8. Yape kipaumbele maisha ya kitandani. Ili kuwa na ndoa imara unahitaji zaidi ya tendo la ndoa, lakni ni vigumu kujenga ndoa imara bila tendo la ndoa.

💞💞

9.Kumbuka kuwa ndoa sio 50-50 talaka ni 50-50. Ndoa inatakiwa kuwa 100-100. Ndoa sio kugawa kila kitu nusu kwa nusu,bali kila mmoja anatakiwa kila kitu kwa mwenzake.

💞💞

Mpe mwenza wako kitu bora kabisa, sio mabaki baada ya kumpa kizuri mtu mwingine.

💞💞

Jifunze kutoka kwa watu wengine, lakini usiyalinganishe maisha yako au ndoa yako na watu wengine. Kila mtu ana maisha yake ya kipekee kabisa.

💞💞

12. Usiipe likizo ndoa yako wakati ukiwalea watoto wako, vinginevyo unaweza kutoka kapa.

💞💞

13. Msifichane mambo ya msingi Usiri ni adui wa mahabba ya kweli.

💞💞

14. Msiongopeane. Urongo huvunja uaminifu na uaminifu ndio msingi wa ndoa imara.

💞💞

15. Unapofanya kosa, kubali na uombe msamaha kwa njia nzuri. Unatakiwa kufanya haraka kusema:"Nilikosa. Kumradhi. Tafadhali nisamehe."

💞💞

Mumeo/mkeo anapokukosea,fanya haraka kumsamehe.Hilo litakupatia tiba ya moyo na kutengeneza fursa ya kujenga upya upendo wenu. Fanya haraka kusema: "Ninakupenda. Tusonge mbele."

💞💞

17. Vumilianeni wewe na Mwenzawako daima ni muhimu zaidi kuliko ratiba zako.

💞💞

18. Tengeza ndoa ambayo itawafanya watoto wako wa kiume wapende kuwa waume wazuri na mabinti zako wapende kuwa wake wazuri.

💞💞

19. Unatakiwa kuwa mhamasishaji mkuu wa mwenzawako, badala ya kuwa mkosoaji wake mkuu. Unatakiwa kuwa mwenye kumfuta machozi badala ya kuwa mwenye kumsababishia machozi.

💞💞

Kamwe usimzungumzie vibaya mwenza wako kwa watu wengine au kumtia kasoro au kumkosoa hadharani au mtandaoni. Mlinde mwenzawako nyakati zote na mahala popote.

💞💞

Mnatakiwa kusali pamoja. Ndoa huwa imara zaidi pindi mnapokuwa karibu na mwenyezimungu.

💞💞

22.Usifikirie talaka kama chaguo lako. Kumbuka kuwa "ndoa bora"hutengezenezwa na watu wawili ambao sio wakamilifu na ambao hawapo tayari kuachana.

💞💞💞💞

KWA LEO NAISHIA HAPO

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : UKIWA UMEOA AU KUOLEWA NASAHA HIZI ZINAKUHUSU
UKIWA UMEOA AU KUOLEWA NASAHA HIZI ZINAKUHUSU
Nasaha kwa wale wote ambao tayari wapo kwenye ndoa
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/09/ukiwa-umeoa-au-kuolewa-nasaha-hizi.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/09/ukiwa-umeoa-au-kuolewa-nasaha-hizi.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy