NAMNA SAHIHI YA KUPIGA MSWAKI | BongoLife

$hide=mobile

NAMNA SAHIHI YA KUPIGA MSWAKI

Njia sahihi unazotakiwa kuzifuata wakati unspiga mswaki

YA KUPIGA MSWAKI

JINSI YA KUPIGA MSWAKI


  • Piga mswaki angalau mara mbili kwa siku baada ya chai na baada ya chakula cha usiku
  • Tumia dawa ya meno yenye madini ya fluoride
  • Badili mswaki kila baada ya miezi mitatu
  • Muone daktari wa meno mara kwa mara kwa uchunguzi na matibabu ya mapema

HATUA ZA KUPIGA MSWAKI.


  1. Weka mswaki wako katika degree 45 na meno yako ili mswaki wako ugusane na meno yako pamoja na fizi.
  2. Sugua sehemu ya nje ya meno yako 2-3 taratibu bila kutumia nguvu kwa mwendo wa kuzungusha kisha sogea kwenye meno mengine 2-3 na rudia ivo ivo
  3. Endelea vile vile kwa meno ya ndani, mswaki ukiwa kwenye degree 45 na meno yako kwa mwendo wa kuzungusha mbele na nyuma kwenye meno na fizi zote.
  4. Geuza mswaki wako nyuma ya meno ya mbele kisha kwa mwendo wa kwenda juu na chini safisha meno hayo vizuri.
  5. Weka mswaki wako kwenye sehemu ya meno ya kutafunia na kwa taratibu safisha sehemu hizo kwa mwendo wa kwenda nyuma na mbele.
  6. Malizia kwa kusafisha ulimi vizuri.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : NAMNA SAHIHI YA KUPIGA MSWAKI
NAMNA SAHIHI YA KUPIGA MSWAKI
Njia sahihi unazotakiwa kuzifuata wakati unspiga mswaki
https://1.bp.blogspot.com/-m7jJX96fKwk/XXqwzgNq0HI/AAAAAAAACzg/dIA2ezRO2H8VFFSbw-rFBfgyUK5UCrAsQCLcBGAsYHQ/s320/YA%2BKUPIGA%2BMSWAKI.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-m7jJX96fKwk/XXqwzgNq0HI/AAAAAAAACzg/dIA2ezRO2H8VFFSbw-rFBfgyUK5UCrAsQCLcBGAsYHQ/s72-c/YA%2BKUPIGA%2BMSWAKI.jpg
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/09/namna-sahihi-ya-kupiga-mswaki.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/09/namna-sahihi-ya-kupiga-mswaki.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy