Featured Post

MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA

pelvic inflammatory disease


P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI??

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk  . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.
Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ????

DALILI ZA P.I.D


 • 👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
 • 👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
 • 👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
 • 👉Maumivu wakati wa kukojoa
 • 👉Kutapika na homa
 • 👉Uchovu
 • 👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
 • 👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
 • 👉Kukojoa mara kwa mara

FIBROIDS NI NINI??

FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje kama una fibroids?? Hebu angalia dalili zake

DALILI ZA FIBROIDS


 • 👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
 • 👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
 • 👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
 • 👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
 • 👉Hedhi zisizikua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpk kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
 • 👉Maumivu wakati wa tendi la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
 • 👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation)
 • 👉Maumivu wakati wa kukojoa
 • 👉Kukojoa mara kwa mara
 • 👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
 • 👉Mimba kutoka mara kwa mara

KWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS????


JIBU: 

 • 👉Ni kwa sababu wanawake wengi wakiona dalili kama kutokwa uchafu wanahisi ni FANGAS tu 
 • 👉 Wakiona mimba zinatoka mara kwa mara wengi hukimbilia kusema ni ushirikina au muhusika alikua anatoa mimba sana siku za nyuma wakati labda sio hivyo
 • 👉Kingine mwanaume akiona mkewe hataki tendo la ndoa anahisi mkewe anamsaliti kumbe mwenzie anaumwa
 • 👉 Lakini kubwa zaidi nimeeleza haya yote sababu dalili za magonjwa haya mawili yanafanana kwa ukaribu sana sana. 

#TIBA_YAKE_NI_GANODERMA_LUCIDIUM_ZAMINOL_NA_REFINED_ESSENCE NA - FEMICARE

Unaweza kwenda google ukasoma jinsi uyoga Wa lucidium unavyofanya kazi- 
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni