FAHAMU KUHUSU KINGA ZA MWILI WAKO NA JINSI YA KUBORESHA KINGA KUPITIA UYOGA MWEKUNDU

Kwa kawaida kinga ya mwili ndiyo kila kitu kinachouendesha mwili hasa katika kuulinda usishambuliwe na magonjwa ya aina mbalimbali.
Mara zote kinga ya mwili inapokuwa juu basi siyo rahisi mtu kuugua hasa magonjwa madogo madogo na hata makubwa pia.

JE, NITAJUAJE KAMA KINGA YA MWILI WANGU IMESHUKA?


Watu wengi huwa wamekariri kuwa mtu ambaye kinga ya mwili wake imeshuka ni mgonjwa wa muathirika Ukimwi, Hii dhana siyo ya kweli kabisa, sasa leo kupitia makala hii utajua mtu ambaye kinga yake ya mwili imeshuka anakuwaje.
Kwa kifupi ni watu wengi sana ambao kinga yao ya mwili imeshuka ila hawajitambui lakini wanaishia kulalamika kuwa wanaumwa matatizo mbalimbali.

Sasa ukiwa na matatizo au dalili zifuatazo basi tambua kabisa kuwa kinga yako ya mwili imeshuka na unaweza kuchukua tahadhari mapema.

Dalili za upungufu wa kinga mwilini:


 1. Ukiwa unaugua mara kwa mara hata kama ni mafua au homa yoyote basi jua kuwa kinga yako ya mwili ipo chini.
 2. Mwili kuwa na uchovu au kujisikia kuchoka mara kwa mara
 3. Maumivu ya kiuno na mgongo mara kwa mara.
 4. Kukosa usingizi hadi kufikia hatua ya kumeza vidonge vya usingizi ndipo unalala.
 5. Kuwa na Ugonjwa wa Kisukari. Mgonjwa yeyote wa Kisukari kinga yake ya huwa ipo chini na ndo maana mtu yeyote mwenye tatizo hili huweza kuandamwa na magonjwa mengi sana.
 6. Kwenda Hospitali ukiwa unaumwa lakini ukifanyiwa vipimo unaambiwa huna ugonjwa wowote japo wewe unajisikia kuumwa.

Na matatizo mengi yanayoambatana na hayo ikiwemo Wanaume wengi kuishiwa nguvu za kiume, Wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa, wanawake/wasichana wengi Kuugua magonjwa ya njia za mkojo kwa muda mrefu(UTI sugu).

MAMBO YA KUZINGATIA

-Epuka ulaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi, vyakula vilivyokaangwa, vilivyokobolewa, vyakula vya kwenye makopo(vyakula vinavyotengenezwa viwandani), uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe, ulaji wa chips mara kwa mara, upigaji punyeto kwa wanaume n.k

Pia kula sana mboga za majani, matunda, samaki, nyama nyeupe, fanya mazoezi ya mwili, ugali wa dona, kunywa maji mengi, kula chakula kwa mpangilio kwa kuzingatia Lishe.

Hivyo basi, endapo tayari una hizo baadhi ya dalili za kupungukiwa kinga mwilini, tunakushauri usihangaike kutumia dawa zingine zozote, kwani tiba yako wewe ni kutumia uyoga mwekundu. Uyoga huu ambao wataalamu wanasema tangu zamani ulikuwa ukitumika katika matibabu ya kupunguza uzito, lakini utafiti wa sasa unaonyesha kuwa Uyoga huo ni mzuri mno katika *KUREFUSHA MAISHA* . Na maisha yanarefushwa na kutumia kinga imara.
Utafiti huo kuhusu Uyoga mwekundu ni kwa mujibu wa watafiti wa Chuo Kikuu cha Chang Gung.

KAZI MUHIMU ZA UYOGA MWEKUNDU

Ganoderma inaonyesha matokeo mazuri katika kupunguza kiwango cha kolestro (lehemu) na kupunguza matatizo yanayotokana na mizio.
Utumiaji wa mara kwa mara wa virutubisho vya kuongeza kinga kwa watu wenye saratani, uyoga mwekundu (ganoderma) umeonyesha kuimarisha kinga ya mwili kwa haraka zaidi na vile vile kupambana na uzalishwaji wa seli zinazosababisha saratani na virusi.

Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebainisha kuwa matumizi ya mara kwa mara ya bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia uyoga mwekundu (ganoderma) yanaweza kuongeza kiwango cha utoaji sumu mwilini na kuulinda mwili dhidi ya magonjwa na kuzeeka. Aidha uyoga huu pia umeonyesha matokeo mazuri katika kupambana na maambukizi katika njia ya mkojo, na magonjwa yote ambayo ni sugu.
inawezekana kwako ikawa ngumu kuupata uyoga wenyewe katika eneo lako, bado unayo nafasi ya kuupata ukiwa katika mfumo wa vidonge vilivyotengenezwa kwa teknolojia bora na ya kisasa zaidi nchini Marekani ili kuwezesha upatikanaji wake dunia nzima.

Vidonge hivi havijaongezwa kemikali yoyote, ni vya asili kabisa. Viko vidonge 30 ambavyo vinatumika kwa siku 15. Vidonge hivi vinatumiwa na mtu yeyote anayependa kuboresha afya yake.
Hizi ni baadhi ya faida za vidonge vilivyotengenezwa na uyoga mwekundu (Ganoderma):

 • Ni rahisi kuyeyuka kwa 100%
 • Inaondoa uchovu
 • Inapandisha CD4 katika damu hivyo kusaidia wenye *HIV* / *AIDS* 
 • Inaongeza kinga ya mwili
 • inasaidia matatizo yote ambayo ni sugu
 • Inapunguza madhara ya mionzi (chemotherapy)
 • Inaongeza hamu ya kula
 • Inaboresha mzunguuko wa damu katika mishipa mikubwa.
 • Tiba ya Tezi Dume
 • Inazuia matatizo ya moyo.
 • Inaponya mishipa ya fahamu.
 • Inasaidia mfumo wa upumuaji.
 • Inasaidia mfumo wa ngozi na kuondoa mizio (allergy).
 • Inalinda na kusaidia figo na kufanya ifanye kazi vizuri.
 • Ni imara kushindana na virusi, fungus, bacteria na wadudu wengine mwilini
 • Inaondoa Uvimbe wa aina yoyote ile 
 • Inasaidia kuondoa sukari, inafanya damu iloganda iyeyuke na inaondoa sumu mwilini.
 • Inasaidia wenye matatizo ya upungufu wa damu.
 • Inaweka sawa afya ya mwili.
 • Ni nzuri Kwa kuzuia *kansa* kusambaa mwilini (Metastasis)

Kila mtu atumie hii na family yake👪

DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni
close