CITY LIGHT SEHEMU YA 3 NA 4

Story :CITY LIGHT
BY: mogy shine
Mahali: dar
No.;0659746098
///////////////
CITY LIGHT SEHEMU YA 3 NA 4

EPISOD YA 3 | CITY LIGHT

Latifa baada ya kupanda kwenye piki piki masikini alianza kuwaza .nasikiaga ubungo kuna magari mengi mabasi pia watu wengi pia siku ile nilivyokuja dar sikufika hadi ubungo nilishushiwa njiani sehemu wanaita kimara mwisho ,
Sasa ubungo pakoje ? Nitafanikiwa kupata mabasi ya kwenda singida kweli ,eee mungu nisaidie nifike singida salama ,ni maneno ambayo alikuwa anajiwazia bibie latifa .
Wakati huo mtanashati anajiwazia na yeye moyoni mwake ..yaani we binti kweli bwege unaniamini sikujui hunijui nyie ndo mnatufanya sisi tupate pesa yakula ..wakati kijana mtanashati anajiwazia dereva wa ile boda boda alipiga krosi vichochoro hadi wakatokeza eneo moja lilikuwa tulivu mno na palionekanika si rahisi watu kupita maeneo hayo .palikuwa kimya na palikuwa na nyumba tatu ambazo zote zilikuwa hazijamalizika ujenzi na zilikuwa pana nyasi kubwa

Dereva alipaki piki piki na kumwambia yule kijana mtanashati haya tushafika nipe pesa yangu ,,yule kijana mtanashati wala hakubisha aliingiza mkono kwenye mfuko wake wa shati na kutoa noti ya elfu mbili alimpatia mwenye boda boda ndipo mwenye boda boda aligeuza na kuondoka upesi

Sasa walibaki wawili yule kijana mtanashati na latifa" kijana mtanashati aliuliza we dada unaitwa nani vile na unaenda wapi "latifa akiwa hana wasi wasi alimwambia mimi naitwa latifa ..naenda singida "kijana mtanashati aliwaza kisha akamwambia sasa sikia hapa tuko eneo la ubungo si unaona huu uchochoro ukinyoka nayo unaenda kutokea moja kwa moja ubungo ndani na kabla hujafika getini utakutana na mkaka kavaa shati la blue la mikono mirefu ndio atakupa tiketi ya kusafiri kesho ,,, hivyo mimi nitaongea nae kwenye simu nipe hio nauli .. maana ukiingia ndani utaweza ukaibiwa bure
Nauli ni shilingi elfu 35 kwa sasa nauli zimepanda ."nimaneno aliyoongea yule mtanashati pasina kuweka nukta ama kupumzika .kwa yale maelezo yalimwingia bibie latifa na kujikuta anamwamini alianza kujitetea kaka mimi sina hio hela ninaelfu 26 tu nisaidie ninashida ,..yule kijana mtanashati hakuwa na haraka kuipokea ile pesa ya latifa ,aliweka simu sikioni na kujifanya kwamba anaongea na mtu kweli kumbe alikuwa anazuga

"Halo ni mimi jacksoni nina abiria hapa anataka tiketi ya kwenda singida sasa anapesa ndogo anashilingi elfu 26 .anaomba umsaidie vipi hapo ofisini watakubali ? Au tufanyeje ,mara akadakia tena aongeze elfu moja iwe 27 ee okay sawa namwambia "alijiongelesha mwenyewe kisha akajifanya anakata simu.

"Alimaliza kuongea na kujifanya kwamba anakata simu kumbe alikuwa haongei na mtu yeyote zilikuwa ni njiza za kumtapeli latifa .aliweka simu yake mfukoni aliangalia kulia na kushoto kisha akamwambia latifa .."we dada sikia nimeongea nao ofisini wamesema kwa sasa nauli zimepanda hivyo wanataka shilingi elfu 27 fanya upesi maana ninakazi pia utachelewa tiketi ujue

Latifa alimwangalia yule kijana kisha akautazama ule uchochoro ambayo aliambiwa akiufuata anaenda kutokea kwenye geti la kuingia stendi ya ubungo ,na yeye ni mgeni wala hajui stendi ya ubungo inafananaje ,aliwaza mungu wangu nisije nikawa natapeliwa ,mmmh ila huyu mbona kijana anaonekanika anaroho nzuri halafu masafi matanashati atakuwa mwaminifu ,hayo yalikuwa mawazo ambayo alikuwa akiwaza latifa kabla hajatoa hio pesa .

Mara yule kijana mtanashati aliongea kwq kusisitiza "we dada hutaki kusafiri au unataka mbona unachelewesha muda mimi naondoka alijifanya kama anaondoka ndipo bibie latifa alimwambia kaka usiondoke wakati huo ashatoa pesa na anayo mkononi ,alimwambia sina elfu moja nina hiii hii elfu 26 na hapa unaponiona sijala kaka yangu nisaidie tu nipate kufika nyumbani ,yule kijana wala hakupenda kupoteza mda aliipokea ile hela akatia mfukoni mwake kisha akaweka tena simu sikioni

Baada ya muda akajifanya kama anaongea na mtu " halo hapo ofisini "yaa huyu mdada ashatoa shilinge elfu 27 hivyo namwelekeza njia hadi hapo ofisini ili mmpe tiketi sawa ?
Kisha akakata simu alimwangalia latifa na kumwambia

We dada nyoosha na huu uchochoro ukifika mbele utaweza kuona geti la kuingia na hapo ndipo utamwona kijana kavalia shati la blue atakupa tiketi na atakuonesha mahali liliko basi la kwenda singida ,ila usimwambie kama umenipa elfu 26 mwambie umenipa elfu 27 hio elfu moja mie nitaongezea sawa ee
Jamaa aliongea na kugeuza huku akimwacha latifa akinyoosha na ule uchochoro .

Ki ukweli tapeli huwa haangalii sura wala hali ya mtu ,kutokana na mwonekano aliokuwa nao latif wala asinge thubutu kufanya vile ,yule kijana aliingilia uchochoro mwingine na kujisemea we dada utajijua hio ndo inaitwa karibu dar es salaam sasa sisi tukale wapi kama ninyi washamba hamji dar .

Wakati huo bibie latifa anatembea kwa umakini huku mawazo yake na moyo wake yuko anaomba aweze kufika singida mapema maana hili jiji hata lisahau hasa akikumbuka mateso ambayo alikuwa akiyapata pindi alivyokuwa anafanya kazi za ndani basi hakutamani tena kubaki dar.

Hatimae alifika hadi mwisho wa ule uchochoro aliangalia hakuona geti ,alikutana na kundi la vijana wanne wakicheza karata wamekaa chini ya mti .
" we boya cheza bana acha kuangalia mtoto wa kike ,mimi nishacheza jembe ,wewe pandia na kisu ,halafu rama piga kopa .ni maneno yaliyosikika ya wale vijana ambao walikuwa wakicheza karata .

Kijana mmoja alikuwa anacheza karata huku sigara ipo mdomoni mwingine kavaa kaushi mwingine kavaa tisheti kabadilisha wengine wamevua mashati ,walikuwa wakiendelea na mchezo wao wa kucheza karata tu tena bila hata ya wasi wasi lakini walimwona binti kaja eneo lile huku anazunguka zunguka anaangalia angalia vitu .

"Latifa aliwaza mungu wangu hivi hapa sijatapeliwa kweli ,mbona sioni stendi naona vijumba ,khaa sasa huyo kaka ambaye niliambiwa atanipa tiketi sasa yuko wapi mbona simuoni?
Latifa alianza kupata hofu na kusema wacha niwaulizie wale vijana ambao wanacheza karata

Latifa alianza kupiga hatua kuelekea walipo alifika na kuwasalimia shikamooni ,kwanza wale vijana walimwangalia latifaa ,kisha wakakaa kimya kila mmoja alianza kuwaza inamana huyu binti ni chizi au anawaletea shobo tu

rama alitupa karata kisha akaweka sigara yake chini na kuikanyaga na mguu na kusema kwa sauti ya ubabe , we demu mbona mizinguo haya sema unashida gani wewe ,latifa aliwaangalia na kusema samahani kaka nilikuwa naulizia ,kuna mkaka mmoja kanieleza nije nipewe tiketi ya basi la kwenda singinda na kaniambia nikifika hapa nitaona geti la ubungo pia nitamwona kijana mmoja kavalia shati la blue atanipa hio tiketi sasa nilikuwa nakuulizeni ni hapa ama sehemu nyingine ?.

Wale vijana kila mmoja alicheka na kumwambia we dada unazingua ushatapeliwa tayari hapa tuko sinza na ubungo ni mbali kwahio hapa umetapeliwa pole sana ila kama unapesa nyingine tupatie ili tuweze kukupeleka ubungo .

Yale maneno aliyoambiwa latifa ,alihisi tumbo kama linauma machozi yalimdondoka kibaya zaidi kinachomuumiza alijua ashapata msaada na anaondoka kwenye jiji la dar kumbe bado ndio kwanza katapeliwa ,alianza kulia huku alielekea kwenye ule uchochoro ili akamtafute yule kijana aliyemtapeli

Rama na kundi lake walijadili upesi maana tayari kagiza kalikuwa kameshaanza kuingia
.we vany na chidi sikilizeni huyu demu sasa hivi katapeliwa sasa tusimwache kizembe kajileta masikani peke yake kama vipi twendeni tukaruke nae pale kempu yetu tukapige mashooo dadeki ,"rama aliongea na kuchukua shati lake akavaa kisha wakaongozana na kundi lake akina vany ,chidi na ben ,

Rama alikuwa kaweka panga kwenye suruali yake waliondoka upesi na kumfuatilia latifa kwenye ule uchochoro kutokana na latifa alikuwa analia sana hakuweza kutembea haraka walifika na kumzingira kwenye ule uchochoro ,rama alitoa upanga na kumwambia

"Halafu we demu kama wapenda uwe salama piga kimya halafu tusikilize kile kitu tunataka lasivyo tunakuchinja sisi ndo mabaharia wa mtaa hatupatagi mademu hivyo tunawachukuaga kwa nguvu ,piga kimya ,vany na chidi bebeni huyu tumpeleke kempu tukajilie tunda tam

Masikini latifa akakamatwa akafugwa mdomo asiweze kulia wala kupiga kelele walimubeba juu juu na kukatiza chochoro zao walifika kwenye nyumba moja hivi walifungua mlango kisha wakaingia ndani
.kutokana na njaa aliyokuwa nayo latifa hakuwa na nguvu za kujitetea ama kujinasua kwenye mikono ya wale vijana ,wale vijana hawakuwa hata na chembe ya huruma walimvua gauni lake tena wakawa wanalichana chana walimkaba mikono na miguu ,walimvua nguo zote akabaki mtupu kabisa
Kiongozi wao rama alianza kumwingilia kimwili naweza sema kumubaka ,halivyotosheka aliwaachia na wenzake hadi walivyohisi wametosheka basi walimvalisha nguo latifa akiwa kalegea mwili mzima .

Tambua latifa hakula chakula kwa siku mbili sasa kaja kapigwa mzunguko wa wanaume wanne hadi wakatosheka kibaya zaidi yule binti ndio ilikuwa mara ya kwanza kuingiliwa kimwili ,hivyo damu nyingi zilimtoka walimfunga macho na kitambaa kisha wakamfunga na miguu pamoja na mikono

Walimubeba juu kwa juu hadi barabarani kwa kuwa ilikuwa na usiku mnamo saa tano ,barabara zote za mtaani zilikuwa kimya sasa walienda kumuweka kati kati ya bara kisha wao wakaondoka zao

Latifa alikuwa kalegea mwili sana ,kibaya zaidi walimfunga mikono na miguu pamoja na macho nayo waliyafunga latifa hakuweza kabisa kufanya chochote ,kilikuwa kipindi cha mvua na bara bara ilikuwa na matope mno. sasa walimuweka sehemu yenye matope wala hawakujali walimubwaga pale .

Pia hio bara bara haikuwa nzuri sana ilikuwa na madibwi ya maji matope basi ndio barabara zetu za mitaani tulizo zizoea , latifa akiwa amelala na hana tumaini tena ,la msaada alikata tamaa kabisa lakini kwa mbali kuliiuwa na gari linakuja kwa kasi mahali aliko yeye .

Kwenye lile gari kulikuwa na watu wawili baba akiwa na mwane mkubwa tu ,na waliendelea kupiga story zao taratibu
,baba hivi kile mbele ni kinini kwenye yale matope ni mtu au gogo ,maana majambazi wa mtaa huu wanapenda kuweka magogo barabarani na ukijifanya tu unapunguza mwendo wa gari basi unatekwa ,hivyo aliyekuwa anaendesha gari aliongeza kasi na aliwaza kama ni gogo atalipitia juuu ,maana wanahofia wakisema washuke walitoe yawezekana ukawa mtego wa majambazi kwakuwa ilikuwa ni usiku walijua fika hao watakuwa ni majambazi wasijue kuwa ule ni mwili wa binadamu umetupwa pale na kutekelezwa.

Kwakuwa ulikuwa umechafuka mno na matope ilikuwa si rabisi kuutambua ukiwa mbali
,mara gari likafika pale ,gari ilitaka kupita juu ya latifa lakini baba alishika usukani na kukwepesha hawakumgonga yule mtu ,
Latifa alivyosikia mgurumo wa gari alijaribu walau kubiringita ili apate msaada ,

"Mudy mwanangu ,yule ni mtu sijui kapatwa na nini hebu paki gari tumwone ,aaa dady hebu twende bana utakuja kuingia mikononi mwa watu wa baya baba twende huo ni mtego wa majambazi ,
Baba aliongea kwa ukali ,mudy nimesema paki gari tuweze kujua yule ni nani? Na kama majambazi wanataka kutuibia gari waibe tu kwanza namagari mengi ,yule mzee aliongea huku akimwomba mwanae mudy aweze kupaki gari aweze kutambua yule ni nani kalala kwenye matope ,

Mudy hakutaka kubishana na baba yake aliamua kupaki gari pembeni ,kisha akamwambia baba mimi si shuki nenda peke yako kamcheki huyo mtu ,mudy alilaza siti kisha miguu akaweka kwenye dashibodi kisha akatoa simu na kuanza kubonyeza bonyeza ,

Mzee alimwangalia mwanae kisha akashuka na kuwasha tochi ya simu ,yuke mzee alikuwa kavalia suti kapiga na moka safi wala hakujali alikanyaga matope ya barabarani kisha akafika mahali aliko latifa
,kutokana na sura ya latifa kuchafuka na matope ilikuwa si rahisi kumtambua ,mzee alimulika na kuona kweli huyu si mwanamke kwanini kafanyiwa unyama huu ,wakati huo latifa kalala kifudi fudi mzee aliona yule mtu ni mwanamke na amefugwa kamba ,
Mzee alizifungua zile kamba ,kisha akamwinua yule binti

Mwili wa latifa ulikuwa uko katika hali mbaya lakini latifa alijikaza na kumwangalia nani kampa msaada , walikutanisha nyuso zao lakini yule mzee hakumfahamu yule binti ,lakini latifa alimfahamu , na kujikuta akibaki mdomo wazi alinyanyua mdomo ili kumuita jina lake lakini kabla hajaita jina ,...kundi la akina rama ambao ndio wamemubaka na na kumfunga kamba na kumtupa pale tayari washatia timu waliwazunguka

We mzee mwachie huyo binti upesi kabla hatujakutenganisha kichwa na miguu ,...latifa alivyowaona alishituka na kujikuta anapoteza fahamu kwa mshituko.....
Je nini kitaendelea.?

EPISOD YA 4 | CITY LIGHT

Tulipo ishia jana baada ya yule mzee kumfungulia latifa lakini kabla hata hajafahamiana na mtu ambae kamfungulia kamba ,akina rama ambao ndio walio mtendea unyama latifa walifika na kumzunguka mzee ,latifa alipowaona alishituka na kujikuta akidondoka kwenye matope na kupoteza fahamu
,
Mzee yule alikuwa anajiamini aliwauliza vijana kuna nini tena usiku huu mbona tunazungukana , chidi alidakia na kumwambia rama ,oya huyu manzi tungeua sasa akija kwenda hospitalini halafu wataambiwa lazima wapite polisi wakachukue vipimo ,sasa akikutaja itakuwa balaa lingine ,kwanza tumpige huyu mzee halafu tumtenganishe kichwa huyu binti ,

Wakati rama anatoa panga ili amkate yule mzee ambae ndio alitoa msaada wa kufungua kamba kwa bibie ,walisikia mlio wa risasi ukipigwa hewani ,wale vijana walikuwa wepesi mno walikimbia na kuwaacha mzee pamoja na bibie latifa akiwa kapoteza fahamu haikupita dakika moja tayari polisi washafika

Kwanza walimwambia mzee hapo ulipo upo chini ya ulinzi nyoosha mikono yako juu,mzee hakuwa na kipingamizi aliinua mikono yake kisha akatii kila kitu wanachomwambia wakati huo asikari wengine walikuwa wamezunguka ile gari ,
Mudy alifungua mlango na kumwita baba ,twende nyumbani hao askari mimi nimewaita hivyo kazi hao ni kumwangalia huyo mtu ambae ulitaka umpe msaada hivyo wewe twende nyumbani ,

Mzee kwanza alishangaa hakujua msaada wa polisi umetoka wapi kumbe yeye alivyoshuka na kwenda kwa latifa ,tayari mudy alijuwa huenda ile ni mbinu ya majambazi wanataka kuwapora gari ndipo aliamua kuwapigia cm ,ili waje watoe msaada ,na kweli isingekuwa hivyo huenda mzee yaani baba yake mudy angeingia kwenye matatizo ,polisi walianza kuchukua maelezo ,walianza kumhoji baba yake na mudy

"Ehe mzee kwa majina yako unaitwa nani tafadhali na huyu binti umemkuta katika hali ," gani? Mzee alianza kujiweka sawa kisha akajibu "naitwa lisu lisuuu ,tulikuwa tunapita hapa tumeshangaa kumkuta huyu binti katupwa hapa na alikuwa amefugwa na kamba nimemfungulia na alikuwa mzima ,lakini kuna vijana walikuja na mapanga walitaka kutuvamia ndipo ninyi mlivyojitokeza walikimbia ,sasa huyu binti alivyowaona alishituka na kujikuta anapoteza fahamu ,

Mzee alimaliza kuwaelezea ndipo alipewa ruhusa aende nyumbani ila kesho awasili kituoni kwa maelezo zaidi , mzee lisu aliondoka na kupanda kwenye gari yake na kumkuta mwanae mudy kakaa katulia ,mudy aliwasha gari na kumwambia baba yake
"Baba nilikuambia huo mtego wa majambazi ,hivi baba mfano nisingepata wazo la kuwapigia polisi wale vijana si wangekuua ?
Mzee alimwangalia mwanae na kusema ,ni kweli mwanangu unachokisema ni sahihi ila mimi nilifanya ubinadamu kumsaidia yule ,bint lakini ile sura ya huyo binti kama si ngeni machoni mwangu ila sikumbuki nilimwona , wapi ,

"Ki ukweli latifa ndio yule aliyemsaidia asubuhi kumpeleka hospitali ila alishidwa kumgundua yote sababu ya uso wa latifa kuwa na matope mengi pia macho yake yalivimba baada ya kulia sana hasa wakati alikuwa akiingiliwa kimwili na kundi la akina rama ,
Polisi walimchukua latifa na kumpeleka kituoni kwa ajili ya kumhoji na kugundua amepatwa na nini ,walimpakia kwenye gari yao hadi hospitali ya pale pale sinza karihu na kituo cha mabatini ,kwa kuwa latifa alikuwa kapotezq fahamu madaktari walimpokea na kuanza kumfanyia vipimo usiku ule ule ,hadi ilivyofika saa nane usiku ,latifa alizinduka na kujikuta yupo hospitali tena na nguo zishabadilishwa ,

Daktari aliyemfanyia vipimo latifa alimwita askari ambae alikuwa anahusika na hio kazi alimwelezea kuwa huyu binti ionaonesha alifanya mapenzi na wanaume zaidi ya watatu na kibaya zaidi sehem zake za siri zinaonesha kuchubuka ila kwa sasa hatuwezi kufanya vipimo vingine kama kama mimba ,
Ila tumepima magonjwa mengine yuko sawa ,
Askari aliyapokea yale majibu na kumwambia daktari amuruhusu huyo binti ili waende kituoni kwa ajili ya maelezo zaidi ,kweli dokta alimruhusu latifa alichukuliwa na asikari hadi kituoni

" samahani unanipeleka wapi sasa hivi usiku? Ni swali ambalo aliuliza latifa huku akilia" askari alimwangalia latifa na kumwambia sio muda wa kulia twende kituoni ,hapakuwa mbali walifika kisha latifa alianza kuhojiwa
"Ilikuwaje hadi tukakukuta katika lile eneo ukiwa umetupwa na kufugwa kamba" lile swali la askari alilo muuliza latifa lilimfanya latifa akumbuke kila jambo alilofanyiwa na wale vijana ,latifa alianza kuongea ,afande kwanza mimi ni mgeni ,nilikuwa naenda ubungo nilitapeliwa pesa wakati namtafuta aliyenitapeli hela yangu ,walikuja vijana wanne walinikamata na kuninyanyua walienda kunipeleka kwenye nyumba moja hivi ambayo mimi sipajui na hayo mazingira kwangu yalikuwa mapya waliniingilia kimwili hadi nikapoteza faham ndipo nikaja kuzinduka nipo bara barani ,

WAKATI "latifa anaeleza askari aliandika kila kitu ndipo alimwomba , latifa alale pale kwenye bechi hadi asubuhi kwani kuna kunamtu alisema atakuja kumchukua ,kabla askari hajaondoka alimuuliza latifa ,eti kwa hapa dar unaishi wapi na unakaa na nani?

Ki ukweli lile swali lilikuwa gumu kujibu ,latifa aliwaza alikokuwa akifanya kazi za ndani alitoroka kutokana na mateso na hapajui ,alijikaza na kusema mimi nakaa kimara ,nakaa na bibi yangu, latifa aliamua kudanganya ,askari alimwagalia latifa jinsi alivyoumbika kisha akawaza

We binti ni halali kubakwa kwakweli jinsi ulivyoumbika ingekuwa hujabakwa nisingekuacha ningekuonja tu ,tena usiku waleo ungepita vizuri ,askari aliwaza huku akiangalia kifua cha latifa ambacho maziwa yake yalikuwa yamesimama dede ,askari alitikisa kichwa na kuondoka zake
Asubuhi palipambazuka ,jua lioichomoza ndipo mzee lisu alitimba kituoni alienda moja kwa moja hadi mapokezi ndipo alikutana na askari akiwa anafungua fungua mafaili yake

"Oooh mr lisu karibu sana mzee wangu ni maneno aliyeongea askari mmoja akiwa anamsalimia lisu inaonekana wanafahamiana ,lisu aliitikia na kuweka miwani yake vizuri ,
"Askari aliuliza ,umekuja kumwona yule binti uliyemsaidia jana usiku? Ama umekuja na kesi nyingine ,,hapana nimekuja kumwona kwani alifanyeje? Na amepona? Huyu bint
Askari alimweleza kila kitu lisu ndipo lisu aliomba aonane na huyo binti ,

Askari alienda moja kwa moja hadi kwenye vioo alimwita we binti nifuate ,latifa aliacha kudeki vyioo ,kiukweli hakuwa na kosa ila alidekishwa kituo kizima ,pia aliambiwa adeki na vyioo ,kibaya zaidi vyioo vilikuwa vichafu mno masikini latifa alivisafisha

"Alipelekwa moja kwa moja hadi kwa mzee lisu ,askari aliita lisuu ,binti kwenyewe ndio huyu ,hapa .."lisu aligeuka ilikumwangalia ,lisu akajikuta anabaki mdomo wazi huku latifa nae akishituka na kujikuta anafunika mdomo wake na mkono ,

Askari aliwaangalia lisu pamoja na latifa na kuwauliza ninyi vipi mbona mmeshituka ,eti lisu unamjua huyu binti? ,lisu kabla hajajibu alikumbuka kwa mara ya mwisho waliagana ja huyu binti jana mbezi na ndiye aliyemletea bahasha ,
Lisu aliitikia na kusema "askari huyu binti namjua ni jirani yangu lisu aliamua kudanganya ili kumtoa latifa kituoni na apate kujua kwa nini hadi amemkuta katika hali ile ,
Askari alimwangalia latifa na kumwambia we binti muongo kumbe unaishi hapa hapa sinza halafu ulisema kwenu ni kimara na unaishi na bibi ,

Kabla latifa hajaongea chochote ,lisu alidakia na kusema ,ndio anabibi yake kimara na ndio alikuwa anakaa nae hivyo hamna shida ngoja nimpeleke nyumbani tyu,askari alitoa faili alimpa lisu asaini ili aondoke na latifa ,ukweli alifanikiwa kuondoka nae na mzee lisu aligundua fika huyu binti hana mahala pa kuishi na amefanya hivyo ili kumwokoa

Alimwambia apande gari ,latifa alipanda gari huku kichwa chake kikiwa na maswali mengi ,akiwaza mzee lisu anampeleka wapi
,lisu aliwasha gari safari ya kuelekea kwake ilianza
Wakiwa wanaelekea nyumbani kwa mzee lisu
Njiani kulikuwa na mama mmoja anamwita kijana mmoja msukuma mkokoteni ,

We kijana kwenye mkokoteni pita na huku uje ubebe taka taka ,zimejaa ,yule kijana ambae anakokota mkokoteni alijibu nakuja mama anna nakuja nakuja ,inaonekanika wanajuana ,baada ya dakika chache yule kijana alifika akiwa na mkokoteni wake huku kavua shati na kubaki ja kifua tu huku jasho jingi likimtiririka

Yule kijana alisalimia ,mazaa shikamoo ,"mama anna alimwangalia yule kijana maeneo ya kifua na kusema mmmmm hii dunia bana kijana mzuri unakifua kilichojazia vyema lakini unafanya kazi hata haziendani na sura yako yaani kweli ulivyomzuri hivyo ndo unafanya kazi ya kusukuma mataka taka na mauchafu yote mmm ,aliwaza kisha akaitikia marhabaa

Hivi we kijana unaitwa nani ,maana mimi nakuitaga msukuma mkokoteni ," ha ha ha yule kijana alicheka kisha akajipangusa jasho kwenye shingo mkono wake uliokamaa kwa kusukuma huo mkokoteni kisha akasema ,."mama anna ,mi niite jija lolote iwe mzoa taka taka au msukuma mkokoteni yote fresh ila jina langu naitwa mogy
Mama anna alimwangalia na kutabasamu huku akinyanyua dera lake na kusema "haya mogy mauchafu ndio haya ila kwaleo sina hela mme wangu kaondoka kaenda kazini hajaniachia pesa ya kutosha hivyo na hii elfu mbili nibebee uchafu wote huu nisijepigwa faini na serikali za mtaa bure
Mogy aliipokea ile buku mbili na kusema ,"sema nini mazaa ,hii buku mbili unaua sana maana si unajua mkokoteni kuukokota na kazi halafu sehemu ya kwenda kutupa haya mataka taka ni mbali kishenzi yani , hivyo kesho ntapitia buku mbili nyingine au vip

"Mama anna alimwangalia tena mogy kifuani hadi akajikuta anaguna asiiiiiii ,kisha akasema mogy sawa kesho ukija nitakupa zaidi ya hio buku mbili ,mama anna aliondoka na kuelekea ndani na kumwacha mogy akiendelea kupakia mauchafu kwenye mkokoteni wake ,
Mama anna aliwaza jamani ,mungu nae bana ,huwa anawanyima riziki wanaume wazuri na kuwapa riziki wanaume wabaya ,hivi kwa mfano huyu mogy angekuwa na pesa akawa ananunua nguo nzuri ,hivi hapa mjini si wadada wangemgombania hadi kuuana maana hapa yenyewe mchafu mchafu lakini ukimtizama mtu unasisimka mmmmmh

Mama anna aliendelea kujiwazia huku akiosha vyombo vyake pale nje ,mogy alimaliza kupakia mauchafu yake kisha alianza kusukuma mkokoteni kuelekea sehemu anakotupaga mauchafu hayo

Tukirudi kwa mzee lisu alienda na bibie latifa hadi nyumbani kwake ,ki ukweli ilikuwa nyumba ya kifahari yenye madhari nzuri na ya kuvutia ,we binti ingia hadi ndani ,lisu alisema huku nae akiingia na kukaa kwenye sofa moja la pale sebuleni , mzee lisu alimwamuru latifa akalie kwenye sofa ili wazungumze kidogo ,
Wakati huo mudy alikuwa nae anaingia ndani huku kavalia headphone masikioni akisikiliza mziki wake ,ki ukweli mudy alikuwa ndio mtoto wa kishua na anaringa sana na mali za baba yake ,

Ile latifa anataka kukaa kwenye sofa ,alishangaa anadakwa mkono ,latifa kuinua macho alikutana na kijana amemwangalia ,pale pale mudy kwa jeuri alimwambia
"We dada unajua bei ya hii sofa ,? Unaona nguo zako zinastahili kukalia hizi sofaa? Kaa chini usikalie sofa ,mudy aliongea na kumwachia mkono latifa mudy aliondoka na kupandisha kwenda kwenye gorofa ya juu,

Baba yake na mudy alimwangalia mwanae kisha alitaka kuongea na akasita ,kuongea ,wakati huo latifa masikini alikaa chini kwenye kapeti huku akiendelea kushangaa kwenye lile jumba ,
Mzee kabla hajaongea na latifa simu yake iliita ,aliitoa mfukoni na kupokea ,
"Haloo mzee omari vip hali yako "upande wa pili "(mimi niko poa nakuomba uwahi ofisini uje usaini hapa upesi )
Simu ilikatwa ,
"Mzee lisu alimwambia latifa" we binti nisubiri hapa usiondoke narudi mda si mrefu ,halafu tutaongea "

Mzee lisu aliondoka na kuingia kwenye gari moja kwa moja safari ya kuelekea ofisini mwake ,ile anaondoka ,mudy na mama yake walikwa wanashuka ngazi huku wakipiga mastory

Mama yake na mudy alifika sebuleni kwanza akafunika pua zake na kusema "we binti nani kakuruhusu kuingia kwenye hii nyumba? ,"nauliza kwa mara ya pili we kijyago ni nani kakuingiza kwenye hii nyumba?

Latifa kabla hajajibu huku akizidi kuandamwa na maswali alishangaa mudy anafika na kushika ile gauni yake kisha akafanya kumwinua ili aondoke kutokana na gauni la latifa kufubaa alivyolishika na kufanya kama anavuta kwa juu
Gauni lilichanika na kufanya maziwa ya latita kutokeza kwa nje ,

Huku mama mudy akipiga makelele na kusema we sijui yatima sijui umeokotwa wapi na huyu mzee toka nasema toka toka

Latifa akainuliwa na kufukuzwa kama mbwaa wala hakubisha kwakuwa alikuwa bado hajatambulishwa hakuwa na kipingamizi aliondoka ,ile anatoka getini

Ndio wakapishana na mogy akiwa amekokota mkokoteni wake ukiwa umejaa mataka taka ,latita akiwa hajui aelekee wapi na wala pale alikuwa hapajui panaitwaje alisimama getini wakati huo mogy anasongo mbele na kukokota mkokoteni wake

Mogy alipiga hatua mbili mara tairi ya mkokoteni wake ikabasti puuuu!!!!!! Kile kishindo cha kubasti kwa tairi kulimfanya latifa ageuke upesi na kuangalia nini hicho kimebasti ,tambua muda ule walikwa tayari washapishana na mogy

Mogy nae aligeuka upesi na kuangalia nini kimesababisha tairi ikabasti ,lakini mogy kabla hajaangalia tairi moja kwa moja alimwona latifa akiwa kashikilia gauni lake kifuani
Pale pale mogy akakumbuka huyu binti anae mwona kwenye macho yake ndio alimuokoa kwenye maji maeneo ya madale
Kwa mara nyingine wamekutana
Mogy aliwa ameloa jasho ,na latifa kashikilia gauni lake mahali lilikochanika ili kusitiri maziwa yake yasioneoanike

J e nini kitaendelea?

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : CITY LIGHT SEHEMU YA 3 NA 4
CITY LIGHT SEHEMU YA 3 NA 4
https://1.bp.blogspot.com/-p__ftK8D2fQ/XXDKO3doaHI/AAAAAAAACxw/pYuYs9kGpYY-0YsbUvL0BRhjDLS9jQBfgCLcBGAs/s1600/CITY%2BLIGHT.jpeg
https://1.bp.blogspot.com/-p__ftK8D2fQ/XXDKO3doaHI/AAAAAAAACxw/pYuYs9kGpYY-0YsbUvL0BRhjDLS9jQBfgCLcBGAs/s72-c/CITY%2BLIGHT.jpeg
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/09/city-light-sehemu-ya-3-na-4.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/09/city-light-sehemu-ya-3-na-4.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content