Admitad Affiliate network

Admitad

Admitad Affiliate network

Linapokuja suala la online marketing kuna njia nyingi mtu anaweza kutumia kama vile matangazo au mabango au kutumia njia ya yenye faida zaid ya affiliate marketing. Na ukiongelea swala la affiliate marketing uwezi acha kuzitaja affiliate networks ambazo zimekuwa zikiwasaidia publishers na advertisers kuja pamoja na kushirikiana kwa urahisi zaidi. Na miongone mwa affiliate networks ambazo zinaongoza iwezi acha kuitaja Admitad.

Admitad Affiliate network imeaanza kufanya kazi mnamo mwaka 2009. na ilianza kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kuanza kufikia full capacity ilipofikia march 2010. Na hivi sasa inajulikana kama miongone mwa affiliate network zinazoongoza duniani.

Hata hvyo kampuni hiyo imelenga kuendeleza market base yake pamoja na kuongeza faida kwa publishers na advertisers wake. Japo Advertisers wengi wa sasa wanapendelea kutumia affiliate marketing strategies za kisasa kama zilizoko kwenye admittad kwakuwa inawaongezea faida wanayopata.

Hivi ni kati ya vitu ambavyo vinaifanya admitad kupendwa zaidi:

  1. Urahisi wa kujiunga na kuitumia. Hata kama ndio mara yako ya kwanza kufanya affiliate marketing admittad imekuwa rahisi sana kutumia na kufanya set up imekuwa ni rahisi sana na huchukua muda mfupi sana kuanza kufanya promotion ya products.
  2. Kuwepo kwa mobile App ya admittad ambay unaweza download playstore na kuanza kuitumia kwenye simu yako popote pale unapokuwepo.
  3. Uwezo wa kuconnect account tano (5) kwnye mobile app ya admittad. Hii inamaanisha unapo switch account moja kwenda nyingine sio lazima kulogin and out kila ufanyavyo hivyo inakupeleka kwenye account husika directly.
  4. Admitad inakupa daily reports kwenye account yako
  5. Kuwepo kwa 24 hours Customer service support amabyo unaweza kuipata popote na kwa mda wowote hata kwenye monile App yao.
Kati ya vitu vinavyo Ifanya Admittad kupendwa na watu sana kama affiliate marketing network ni kwa jinsi wanavyo wapromote publishers wake na ndio faida utakayo ipata pale utakapo amua kuiunga na Admitad.

Publisher Requirements za kujiunga na Admittad

Publisher terms: 

Admittad wanazo publisher terms ambazo kama utajiunga kama publisher unapaswa kuzifuata.
 Admittad awana minimum taffic. Hii ndio inaifanya admittad kuwafaa beginners katika online marketing. so kama una blog, youtube channel au page ya facebook hawaitaji uwe na view, like au subscribers kiasi flani ili uweze kujiunga nao.

Publisher language requirements: 

Ili uweze kutumia Admittad unaitajika kujua angalau kusoma kingereza kwasababu hiyo ndio lugha wanayoiyumia katika website ya na application yao.

Njia za malipo zinazotumiwa na Admittad

Njia amabzo zinatumia na Admittad katika kufanya malipo ni pamoja na njia Ya bank, Paypal, Webmoney na Epayments.

So, Ili kuweza kupokea malipo kama publisher au kufanya malipo kama advertiser unaitajika uwe umejiunga na moja wapo wa hizo huduma za malipo.

Maoni na experience yangu na Admitad

Experience yangu niliyon nayo katika kufanya affiliate marketing nimekuwa na affiliate network nyingi mabazo niliweza kuzitumia katika blog yangu na nilipata shida kupata affiliate network ambayo itaendana vizuri na blog ya ngu kwakuwa ipo katika lugha ya kiswahili so watu wengi wanyoisoma wanatokea east africa na atleast wanajua kiswahili. but nilianza kupata mafanikio makubwa pale nilipoanza kutumia admittad kwakuwa offer zao zilikuwa na coverage kubwa in term ya country ukilinganisha na offer ambazo zilikuwa kwenye kampuni kama CPAleads ambayo inataget blog ambazo zimeandikwa kwa kingereza.

Admittad wamekuwa na tools nyingi ambazo nimekuwa nikizitumia katika blog yangu na moja ya tools zao ninazo zipenda ni ya matangozo (banners) ambayo naweza kuyaweka kwa blog ya yangu kwa kweka javascript code ambayo admittad awainipa na kui-copy na kui-paste kokote napotaka matangazo ya offer nazo zipromote kwenye admittad kuweza kuonekana.

Pia, Nkiongelea swala la offer zilizoko ndani ya admittad, Imekuwa ni rahisi sana kupata offer amabzo ni nzuri kwa viewers wangu kwakuwa napenda watu wanotembelea blog yangu kupata kile kilicho bora kutokana na mahali walipo so, siwezi watafutia offer ambazo azitoweza kuwasaidia wanafamilai wa bongolife

Unaweza ukajiung na Admittad mada wowote na kama unataka maelekezo au kama unaswali usisite kutuuliza na wana bongolife tutakujibu.


Chapisha Maoni

0 Maoni