.SUBIRA UVUTA KHERI.
Hancy kumbilo
0715364116.
Sehemu 6.
Akiwa anatokwq na machozi ya uchungu.
Enderea.
Mda ulifika na watu waliludi makabuli.
Hassani alienda kwa mama ake nakumuangukia miguuni akiwa anaomba radhi uenda yeye ni sababu ya kifo cha baba ake.
Mama alimuinua mwanae nakumuambia maneno yaliyo mtia nguvu kijana wake.
Usijali baba nakumbuka sisi ni waislamu anapo fariki mtu moja kwa moja imani yetu tunasema mungu ndie aliepanga wala usiwe na wasi wasi wewe sie chanzo baba . Ila hasani nakuomba sana muangalie asma ni msichana wa pekee karne hii nilie mshuhudia nakuomba msiachane.
Asma mama nakuomba na wewe kwa kila jambo gumu au liwe jepesi vumilianeni wanangu.
Sawa mama kila mmoja aliitikia huku wakilala kwenye mapaja ya mama yao.
Baada ya dakika asma na hassani walitoka.
Mpenzi kwahiyo safali hii ya wapi tena?
Asam laazizi inaniladhimu tu niludi kituoni kulinda ugali wa kamanda KAMBONA.
Hassani usiwe mjinga baby tukimbie mbali tukaishi mimi sikubaliani na wewe juu ya swala la kuludi kituoni.
Sasa mpenz kwann tukimbie na ili iweje tukaishi kwa shida wakati kwetu kupo.
Mimi na wewe tukikimbia vipi kuhusu wazee wetu.
Pia vipi kuhusu mzee alie niamini nije kumzika baba angu.
Kubwa zaidi watu wataamini kama kweri nimefanya hiko kitendo.
*HIVI afande ulichokifanya hiki leo una uwakika upotezi ajira*
*afande maku namuamini sana kijana HASSANI na nna imani kuwa hii kesi ajaifanya*
*Sawa afande ila ata mimi kama kijana ataludi hapa nntaamini hivyo na inabidi tumsaidie kulitatua tatizo lake*
Baada kuongea hayo walimuona kijana hassani akiwa mlangoni akiludi kituoni akiwa na mpenzi wake asma.
Hassani alimuomba asma aludi nyumbani pia asisahau kitu alicho muambia njiani.
Asma alimsikiliza mpenzi wake nakuludi.
Afande maku na kambona walishangaa kumuona kijana kaludi na kwa pamoja waliuliza swali hili .
*HASSANI NI KWELI UMEBAKA?*
Upande wa yule mama mgonjwa baada ya siku kupita alipata fahamu kisha akaamka.
Akiwa anaona kichwa kizito ila alisikia kwa mlangoni watu wakizungumza na aliku mzee sanadi mkewe na aisha mtoto yao.
Baba ujue mimi nampenda sana hasani na ndoto yangu ni kuishi na yeye.
Usijali bint yetu bila shaka kwa sasq ata kua kituoni na sisi tunachotaka ili atoke kwenye kesi hii mzee tope ana plan ambayo itatusaidia.
Lakini swali ni kwamba ni kweri alibaka.
Amna baba mimi nilishuhudia kila kitu na wakati mama wa kambo anaomba msaada mimi na mama tulikua tukitazama tu na adi anafika HASSANI.
sasa kwanini musimsaidie.?
Mme wangu na wewe umesahau kampeni yetu juu ya uyo mgumba wako.
Mala wakasikia kikombe kimeanguka ndani alipo lala mgonjwa.
Itaenderea

COMMENTS