SITO ISAHAU SEHEMU YA 07

*SITO ISAHAU*
  HANCY KUMBILO 
   0715364116.
 SEHEMU YA SABA

ILIPO ISHIA..
 
Unasemaje..!! .

Enderea... 
Familia nnzima ya mzee robbat iliuliza kwa mshangao hasa mama alvin. 

Alvin alimuuluza baba ake mdogo ni nani na yuko wapi..?

Mimi pia sifahamu ila ukweri ndo huo tena huyo mtoto ndo anaishi na mama yenu mzazi.

Mama mzazi...!!!

Ummy kila baada ya mda kusogea ndipo na yeye alikua akiwa mwingi wa uoga juu ya maneno aliyo yaongea.

Kidogo alisikia maneno kutoka kwenye mdomo wa mumewe kwa mbali sana akisema *ummy baba ako ummy baba ako*
*Mama alvin atatuua.*.

Watu wa maeneo hayo gumzo na story kwa siku hiyo ilikua ni juu ya msiba wa mzee robbat.
Na visa vilivyo tokea kubwa ni kukutwa AziZi kwenye kabuli la mr robbat. 

Ndio mama enu mzazi ni hili swala ata mama salome analijua.

Mama alvin alisimama nakuanza kua mkali . 
Hata kama najua kuhusu huyo mtoto lakini mali hizi mimi ndo msimamizi na ndie nntakae panga lolote. 
Kisha akanaondoka. 

Nakuacha sinto fahamu kwa watoto pia baba mdogo wa hao watoto .
Alvini alimuomba maria na salome wapishe waongee na mzee.

Sasa baba niambie vizuli juu ya hilo swala.

Iko hivi alvin baba ennu alioa mwanamke ambae ni muislamu. Na wakati huo alikua anafosiwa na ndugu ili amuoe uyu mama enu alie ondoka hapa.

Ndoa na mama huyo wa kiislamu ilikua kama siri.
Na familia nnzima ni mimi tu na shangaz yenu wa dar ndo tulikua twajua.

Sasa alifanikia kuzaa watoto watatu ambao ni kaka ako wewe na dada enu.

Siku moja mama enu mzazi aligombana na robbat kweni huku kwetu ilisha pangwa amuoe mama salome na siku ya harusi ndio mama enu mzazi alikuja kujua na kushuhudia iyo harusi.

Wakati kafika kwenye harusi wewe na maria mlikua hospital lakini uyo kaka enu atukujua yuko wapi.

Sasa mama enu alifanya sana fujo ila kwa ajabu alianguka chini na akaanza kudata kiakili. Na ilisemekana pale pale kanisani alilogwa ila atujui na nani ivyo ndo kiufupi cha stori.

Daah sasa baba mdogo mbona kama mama yetu huyu tuna fahamu kama ni mama mzazi ilikuaje?. Tutaongea kesho ngoja tupumzike.

Ilivyo fika mida ya usiku sana tena ni mida ya wanga. Mama salome aliitwa na mmzee mnyako na walikutana kwenye mmbuyu mkubwa na kuongea.

Mkuu bila shaka leo ndo siku ya kula nyama ya mume wangu na mimi niko tayali.

Sawa ila leo ni ijumaa tungojee kesho ili iwe siku moja ya kula na mtoto wa yule mama jeuri.

Sawa sasa mbona umeniita huku peke yangu.
.

Umesahau nimekuambia mchana kwamba inabidi tumuoneshe cha mtema kuni yule bint emmy.

Oooh nilisahau maana nna mambo mawili sasa nilieka akilini moja nataka nimfanyie vibweka na mdogo wa mume wangu.

Sasa kule tuna watuma watu wakamfanyie hivyo vibweka.

Sisi tuna enda kwa emmy tena mda huu mimi kanikera pale msibani.

Basi safari wala aikua ndefu sana walifanya kupaka unga kisha kuyayuka na walivyo futa unga walikua tayali wapo chumbani kwa ummy na azizi na waliwaona wamelala. 

Sasa mama alvin toa ile sindano . Alitoa mama alvin mchome kwenye nyayo kwanza azizi.

Sawa mkuu alitoa sindano nakumuingizi azizi unyayoni iliingia ila ajabu ilio kubwa maumivu alikua akisikia yeye mama alvin chini ya nyayo zake aliitoa haraka. 

Mkuu naumia mimi baada kumchoma azizi alivyo inua mguu aliona damu chini ya mguu wake.

Sinto fahamu ikatanda.

Basi achana na maliki unaumia kwa kua tume weka nia juu ya ummy na sie azizi.

Embu mkabe shingo uyo mwana haramu ummy.

Alianza fanya kama alivyo ambiwa ila baada ya kukalibia kumshika tu shingo alikushwa kama kapigwa na shoti na mkono wake aliona una toa moshi.

    Usikose SEHEMU 08.
SITO ISAHAU SEHEMU YA 07 Bongo Life 5 of 5
*SITO ISAHAU*   HANCY KUMBILO     0715364116.  SEHEMU YA SABA ILIPO ISHIA..   Unasemaje..!! . Enderea...  Familia nnzima ya mzee robbat iliu...
SITO ISAHAU SEHEMU YA 07

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SITO ISAHAU SEHEMU YA 07
SITO ISAHAU SEHEMU YA 07
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/08/sito-isahau-sehemu-ya-07.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/08/sito-isahau-sehemu-ya-07.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy