NAMNA YA KUISHI ZAIDI YA MIAKA 50 NA VIRUSI VYA H.I.V | BongoLife

NAMNA YA KUISHI ZAIDI YA MIAKA 50 NA VIRUSI VYA H.I.V

By Jiguwi Emmanuel:
+255 688426300

Tarehe 1 desemba kila mwaka, ni siku ya ukimwi duniani.Ukimwi na magonjwa mengine makubwa yamepewa siku rasmi kila mwaka ili kuikumbusha jamii juu ya mapambano dhidi ya magonjwa hayo. Katika siku hizo pia hutolewa matokeo ya tafiti mbalimbali zinazohusu magonjwa husika.

Juzi tumeambiwa kuwa kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi kimeshuka kutoka 5.7% hadi 5.1%. Ndio kusema katika kundi la watanzania ishirini, mmoja ameambukuzwa virusi vya ukimwi. Swali, je! Mtanzania huyo mmoja kati ya ishirini ameelimishwa vya kutosha juu ya njia za kuishi na maambukizi hayo?

Namna ya kuishi na maabukizi ya ukimwi.
Virusi vya ukimwi vina nguvu za kipekee sana, pamoja na mwili kuwa na kinga yake ya asili ya kupambana na virusi hivyo lakini mara nyingi kinga hiyo hushindwa na kumfanya mwathirika apate anguko la kiafya. Kuna mbinu kadhaa ambazo mwathirika anaweza kuzitumia ili kuongezea kinga yake nguvu ya kupambana na virusi.

Mwathirika afanye nini anapogundua hali yake ?
Mara tu baada ya kugundua kuwa umeambukuzwa virusi vya ukimwi ni vema kutafuta mtaalamu wa afya akuelekeze mambo kadhaa pamoja na ushauri na nasaha. Pia mtaalamu hujenga saikolojia ya mwathirika na kumuondolea uwezekano wa msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo ni hatari kwa kuwa hupelekea mwili kuzalisha homoni aina ya steroids ambazo hupunguza kinga ya asili ya mwili, na hivyo kuvipa virusi nafasi kubwa ya ushindi.

Mwathirika ajijengee tabia gani?
Ni vema mwathirika wa virusi vya ukimwi ajenge tabia ambazo zitamletea furaha muda mwingi. Kwa mfano michezo, kusoma hadithi za kuvutia, kushiriki matamasha ya burudani, kusikiliza muziki mzuri na hata kufanya kazi ndogondogo za mikono. Mambo haya hujenga afya kubwa ya kisaikolojia ambayo hupelekea kinga ya mwili kuimarika.

Vyakula na vitu vingine visivyofaa kwa mwathirika wa VVU?
Vyakula hujenga mwili na ladha yake huleta furaha, Hata hivyo ni vema kwa baadhi ya waathirika kupunguza au kuacha kutumia baadhi ya vyakula. Mfano NYAMA NYEKUDU, itokanayo na Mbuzi, Ngombe, kondoo nk. Nyama hizi zina kiasi kikubwa cha lehemu(cholesterol) ambayo huganda ndani ya mirija ya damu na kupunguza ufanisi wa mzunguko wa damu. Pia Nyama hizi ni ngumu kiasi cha kuhitaji nguvu nyingi ili ziweze kumeng’enywa mwilini.

 *KAHAWA NA CHAI* , zina kemikali aina ya nicotine na caffeine ambazo huzuia baadhi ya virutubishona vitamini kufanaya kazi mwilini.

Vyakula vya viwandani vyenye sukari na kemikali nyingi, huweza kusababisha kitambi (obesity) na Mgandamizo mkubwa wa damu (Hypertension). Matatizo haya huweza kupelekea mwili kupoteza uwezo wa kupamabana vema na VVU kwani huathiri mzunguko wa damu na kupunguza ufanisi wa kusambaza virutubisho mwilini. Pia baadhi ya ogani kama figo, ini na moyo vinaweza kuzidiwa uwezo na kusabaisha madhara zaidi.

 *SIGARA* si jambo la kupunguza, bali kuacha kabisa kwani huharakisha uwezekano wa kupata TB. Mwathirika wa VVU akipata na TB anakuwa katika hatari ya kupoteza maisha kwa haraka. Kwa bahati mbaya katika Tanzania, asilimia kubwa sana ya waathirika wa VVU waanaugua piaTB. Sigara pia huweza kusababisha kansa na magonywa mengine mengi ya mapafu na nje ya mapafu.

 *POMBE* ni vema kupunguza au kuacha kabisa. 
Pombe kupita kiasi pamoja na sigara huzuia baadhi ya virutubisho kufanya kazi mwilini. Pia pombe hupunguza ufanisi wa ini kuweza kusafisha damu na zaidi hupunguza hamu ya kula. Mambo hayo ni hatari kwa mwathirika was VVU ambaye anahitaji chakula bora ch kutosha.

KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE VILIVYOTENGENEZWA KWA UYOGA MWEKUNDU..

Kwa zaidi ya miaka 5000 iliyopita Uyoga mwekundu umekuwa ukitumika na familia za kifalme kutoka barani Asia hasa uchina kama mmea ambao una uwezo wa kurudisha na kiamrisha afya maradufu hivyo kupelekea kuishi miaka mingi na kurithishana koo za kifalme..

UYOGA MWEKUNDU..AU GARNODEMA MAARUFU KAMA KING OF HERBAL..
Unafanya kazi zaidi ya 50 mwilini kwa ajili ya kuimarisha afya 

SHARE NA WATU WENGI UTABARIKIWA

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,156,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,13,biashara mtandaoni,3,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,118,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,229,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : NAMNA YA KUISHI ZAIDI YA MIAKA 50 NA VIRUSI VYA H.I.V
NAMNA YA KUISHI ZAIDI YA MIAKA 50 NA VIRUSI VYA H.I.V
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/08/namna-ya-kuishi-zaidi-ya-miaka-50-na.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/08/namna-ya-kuishi-zaidi-ya-miaka-50-na.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content