MIGUU KUWAKA MOTO NA KUFA GANZI

Tatizo la miguu kuwaka moto na kufa ganzi

Ni hali ya kuhisi miguu kuwa ya moto na inauma, hali hii huweza kuwa ya maumivu madogo au makali na wakati mwingine unaweza ukakosa usingizi kabisa wakati wa usiku kwa sababu ya maumivu. Baadhi ya visababishi vya miguu kuwaka moto huweza kuambatana na moja kuhisi miguu inachoma kama sindano au mwiba na mbili kupata ganzi au vyote viwili.
Ingawa uchovu au maambukizi kwenye ngozi huweza kusababisha miguu kuwaka moto kwa mda mfupi na kubadilika mwonekano wake wa kawaida(rangi), kuumia kwa mishipa ya fahamu ya neva huwa ni sababu kuu ya kusababisha miguu kuwaka moto.

Kuumia kwa neva huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama kisukari, ulevi wa pombe wa kupindukia, sumu aina fulani, upungufu wa madini na vitamin (vitamin B), au maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Vifuatavyo ni visababishi vya miguu kuwaka moto kwa undani zaidi;


Visababishi vya miguu kuwaka moto ni

Ulevi wa kupindukia(pombe)-( ugonjwa wa kutumia pombe)
Maambukizi ya fangas kwenye miguu
Ugonjwa wa Charcot marie tooth
Kutumia dawa za kutibu saratani
Magonjwa sugu ya figo
Udhaifu wa mishipa ya fahamu
Matumizi ya madawa
Ugonjwa wa mishipa ya fahamu kutokana na kisukari
Upungufu wa kinga mwilini(UKIMWI) au maambukizi ya VVU
Upungufu wa homoni (thyroid) ya tezi shingo
Upungufu wa vitamin mwilini(kama vile vitamin B)

Wakati gani umwone daktari?


Mwone daktari endapo
Maumivu ya miguu yamekuja ghafla
Maumivu hayo hayaishi licha ya kujipatia tiba nyumbani
Kama una kidonda mguuni ambacho kina dalili ya kupata maambukizi
Kama unapoteza fahamu kwenye miguu
Au endapo maumivu yanaendelea kupanda juu zaidi.

Matibabu ya miguu kuwaka moto


Matibabu ya miguu kuwaka moto hutegemea kisababishi, kila kisababishi kina aina yake ya matibabu. Kitu cha kwanza kabisa ni kufahamu nini kilichosababisha maumivu hayo ili uweze kupata matibabu sahihi. Utahitaji kuchukuliwa historia ya tatizo lako na kufanyiwa vipimo hospitali ili kutambua kisababishi kipi haswa kinachosabaisha miguu yako kuwaka moto.Endapo unahitaji kujua zaidi kuhusu matibabu husika basi endelea kusoma kwenye kila kipengele cha visababishi.

Tiba lishe ya tatizo la miguu kuwaka moto na kufa ganzi

[lock]
 *Kama unasumbuliwa na tatizo hilo kwa muda mrefu wasilina nami nikutibie kwa tibalishe zilizoandaliwa kitaalamu kutokana* na virutubisho kutoka kwenye mimea na matunda
 *0688426300*
[/lock]

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MIGUU KUWAKA MOTO NA KUFA GANZI
MIGUU KUWAKA MOTO NA KUFA GANZI
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/08/miguu-kuwaka-moto-na-kufa-ganzi.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/08/miguu-kuwaka-moto-na-kufa-ganzi.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content