HOUSE GIRL WA DADA SEHEMU YA 08

HOUSE GIRL WA DADA
SEHEMU YA 8
WHATSAPP 0623132416
** MWISHO **
ZANZIBAR
Dada aliitikia na kusema kesho ataondok hapa simtaki tena maana na ticket nimeshamkatia ,
Mme wake alidkia na kusema msamehe tu maana alikuwa hajui alitendalo akurudia tens ndio utamfukuza sawa mama!
Nami nilimtetes na kusema msamehe hata kama amekosea kias gani na ameshakili kosa nikumsakehe na kuanza maombi ya kila siku!
Alice alizid kumpigia magoti dada yangu huku machozi yakimtoka kitu ambacho kilimfanya asamehewe aliongea neno moja alisema ‘ Sawa dada unanifukuza kwa kukukosea nimefany mengi ya kukukera au kuwakela wote humu ndani lakin naomba ukumbuke nikienda huko nyumbani unategemea nitakuwa nani?
Maana maisha magumu sana ya kijijini nakuomba dada yangu nitafanya kazi at a kama hunilipi tafadhali dada nisamesh
Hapo dada yangu alisimama na kumshika mkono alice na kusema nimekusamehe naomba uendelee kuishi hapa mimi nitakufanyia kila kitu na.utakuwa unaenda kuombewa kila sik ili kuzifutilia mbali nguvu hizo nakupenda sana Alice walikumbatiana na maisha ya kaanza upya tena!
Pale myumbana maisha yalianza kutawaliwa na furaha maana wote tulianza kuingia kusali na alice alikuwa serious na Mungu maana alikuwa anakaa anaomba mungu aisaidie familia yake iondokane na mambo ya kichawi
na baada ya maombi ya muda mrefu sana Mama yake alipona na kurudi katika hali yake na baba yake alipata. Pigo la kupalalaizi upande mmoja na yeye hadi leo hafanyi kazi yoyote ni mtu wa kukaa nje na kulishwa chakula hana nguvu kabisa:
Na sasa alice anamchumba wake na mwezi wa 11 tarhe nne ataolewa shuhuli nzima ya harusi yake iko chin ya familia yetu karibun sana kwa wale wa Dar-es- salaam maeneo ya uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere maeneo ya kipawa karibia na chuo cha ufundi veta ili muweze kushuhudia harusi hio na kuweza kuamini maana alice alikuwa mmoja wa familia yetu!
by Ahmad Mdowe
** MWISHO **
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni
close