Featured Post

HOUSE GIRL WA DADA SEHEMU YA 03

HOUSE GIRL WA DADA
SEHEMU YA 3
WHATSAPP 0623132416
ZANZIBAR
Baada ya kuona Alice amejigawa Mara tatu sikuamimi macho yangu niliamua kurudi ndani na kumkuta bado anadeki bila wasiwasi wowote nilimuuliz mbona uko hivi leo aliniangalia kwa jicho ambalo niliogopa baada ya muda kidogo niliona anaingia chumbani na aalirudi ameshajiunga sehemu moja.
Ndio pale wazo likanijia itabidi nimuambie Dada maana hii nihatari na yeye nimjamzito huenda atakuja amuuwe Dada yangu huy sio mtu wa kawaida ni jini nilijisemea.
Wakati najisemea hivyo nilisikia sauti ya kicheko ndani na sauti za ajabu ahahahahahaha, ahahahahahah; jaribu useme uone nitakuuwa,ulijileta mwenyew na kulala na mimi duuuuuuu ilibakia sasa ni Vita ya mimi na alice kwa muda ule.
Nilikimbia nyumba na kwenda kuzulula ili kupunguza mawazo vinginevyo ningekuwa kichaa .
Dada alirudi nyumbani jioni hakuweza kunikuta alimuuliza nilikoelekea na alimwambia nilipo kumbe alice alikuwa hata hajui.
Nililudi usiku kidogo na kumwambia Dada nataka nirudi nyumbani aliniuliza kwa nini mapema hivyo nikasema nimemkumbuka tu mama maana nilikuwa naishi na mama yangu tu .
Dada alinijibu hakuna kuondoka mdogo wangu we kaa hapa kwa muda huo nilitaka kumwambia ile ni meanza dada kuna kitu nataka mikwambke nilizibwa mdomo na kuwa kama bubu hapo ndipo sikuweza kuongea chochote kwa muda huo alice alininyoshea kidole tu,
Dada alibaki ananiambia mdogo wangu niambie lakin sikuweza kutoa sauti kwa muda huo!!
Usiku huo tulienda kulala mim nilielekea chumbani kwangu nililala hapo ndipo niliamua kulala na upanga kama atakuja kunichukua nimpige nalo maana ilikuwa imeshakuwa shida kwangu.
Kwa bahati mbaya nilipitiwa na usingizi ilivyofika usiku sana nilihiasi kama nanyanyuliwa na mtu lakin sikuweza kuamka usingiz ulikuwa mzito.
Tuliweza kupaa kwa usiku huo huku alice akiwa uchi wa mnyama na mimi nilikuwa nimevaa tu bukta na vest nyeupe tulifika sehemu tulitua na kuwakuta watu wengine wakubwa kwa watoto wakiwa wamekaa na kula nyama mbichi na kunywa damu
Aiseee sikuamini niliwekwa katikati na yule Bibi alikuja alinichukia na kunihamisha eneo lile usiku ule alinipeleka eneo la hospital moja kubwa na kushuhudia watoto wamavyozaliwa na kuchukuliw na wao!
Kiufupi mwanmke anapokuwa anajifungua huwa wamesubiria ili kuchukua mtoto yule lakn kuna baadhi ya kina mama hujifungua huku moto mkali ukiwa umewazunguka tulitembelea wodi nyingi siku hio hapo tulikuna nawachawi wengine wakiwa wanasubiria watoto pia,
Bibi yule kwa muda wote hakuweza kuzungumza na mimi baada ya kumaliza tulipaaa na kurudi tulipokuwa tuliwakuta wakiwa bado wanakul na kunywa nilikalishwa tena katikati na kuambuwa kijanaaaaaaaaa ahahahahahaha unataka kufaaaaaaaa unataka kufaaAaaaaaaaa ulitaka umwambie Dada yako
Tutamuuwaaaaaaaa tumesuburia ajifungue tuchukue mtoto wetu ndio maana alice hawez kuondoka kwenye nyumba ileeeeee alimaliza kuongea na nililurupuka kutoka usingizin na kumuita dadaaaaaaaa kwa usiku huo aliweza kusikia na alikuja chumbani kwangu .
Na kuniuliza kuna nini baada ya kuniangalia vizuri aliona damu kweny vest yangu na kuniuliza na hizi damu umezitoa wapi nilianza kumwambua wakati naendelea kusema alice alikuj kimiujiza Dada hakueweza, kumuon.
Alininyoshea mkono na alitoa miele iliyo kama radi aliweza kunifunga mdomo nisiseme Dada alibaki kushangaaa na hakuweza kunielewa nilichokuwa namuonesha mtu lakini yeye alikuwa hamuoni.
Hapo ndipo alihisi mimi nimekuwa kichaa alinichukua na kunipeleka sebuleni nilitulia na kurudi kulala ten nilikaa kitandani kama dakika tano.
Alice alikuja akiwa katika umbo la kibinadam nilomuogopa sana nilangalia panga langu liko wapi chaa ajabu alibaki kunicheka sikuweza kuliona hapo alisema Clifford nakupenda laiti ningelikuwa sikupendi ningekuwa nimeshakua mapema sana Siku ya kwanza tu ulivyofika.
Alipanda kitandani na kuanza kunichezea lakin rungu langu halikuweza kusimama na alinishika kichwani woga wote uliisha na alishika rungu lilianza kusimama hapo sikuweza kukumbuka kitu alice alibaki anajiingiza dudu langu kwenye kitumbua chake mi namuangali tu
Alijikakitia mimi ata sikuwa na mbwembwe zozote maan nilikuwa sijitambui baada ya yeye kunishika kichwani alinyonya rungu langu na alijiwekea mara nyingi ndani ya kitumbua chake alimwaga bao lake na alivyomaliza aliinuka na kuvaa
Wakati amemaliza kujiwekea rungu langu na kulikatikia mwenyewe alinishika ten kichwani hapo niliweza kujitambua tena nilbaki nalia tu mwenyew kwa nini naendelea kulala na alice wakati ni mchawi kiasi kile lakin alifanya vyote hivyo mimi bila kujitambua.
Niliinuka na kwenda kuoga alice aliandaa chai na kuja kuniita wakati ananiita niende kunywa chain niliikataa na kusema sitaki chai yako nitapik ya kwangu mchawi wew sikupendi wew!
Duuuu alice alikasilika sana macho yake yalibadirika na kuwa kama ya pake gafla niliona meno yanamtoma na kuwa marefu duuuuuuu nilitoka na kukimbia ili kusalimisha maisha yangu!!
Niliongea maneno makali kwa Alice yalimsababisha akasirike alichukia kiasi kwamba alianza kuota meno marefu hapo nilijua nimekufa maana ya nilikuwa sina sehemu ya kukimbilia milango yote ilikuwa imefungwa na alisimama mlango wa kutokea nje sikuweza kuwa na nguvu za kukimbia tena nilibaki namuangalia tu
Baada ya kukaa na kuona kama ananisogelea nilianza kusogeasogea ili kumkwepa aisinikamate baada ya kumzungusha mle sebuleni nyuma ya TV niliona bible nikaifuata maana kwa muda ule alikuwa ananitisha hakuwa na nia ya kunidhuru nilichukua ile bible na kuishika mkononi tu.
Bila kusema chochote lakin nilianza kumuona kama anaogopa hivi nikaanza kujipa moyo nilimsogelea na bible ile lak mimi nilikuwa sijui kuomba kusema ukweli alinipisha njia na kunipa nafasi ya kutoka nilitoka mbio sio za nchi hii sikuwa na kituo maalam cha kupumzika nilienda moja kwa moja kwa Dada yangu alikokuwa anafanyia biashara sake.
Alinishangaa nilikuwa napumua kwa kas na kutokwa na jasho mwili mzima nilitaka kumuelezea nilimuona alice amesimama mbele yangu na kuninyoshea kidole .
Dada alibaki kuduwaaa kuna nini mdogo wangu ? Aliniuliza sikuweza kuongea maana nilikuwa kama bubu baada ya alice kunifuata kimiujiza.
Dada yangu alikuwa hamuoni lakin mimi namuona anavyoninyoshea kidole nilikuwa bubu kwa mara nyingine tena.
Dada yangu alizidi kuchanganyikiwa na watu walianza kunizunguka na kuniuliza kuliloni?
Nilibaki kuwanyooshea mkono kuwaelekeza kuwa alice yuko pale walinishika na kuniingiza kwenye gari ya dada yangu na kunirudisha nyumbani wakati tuko kwenye gari alice aliweza kuingia pia na kukaa karibu na dereva.
Nilimuona na alitaka kusababisha ajali lakin nilimuomba asifanye hivyo alitaka kumtoa derva kimiujiza lakin nilimpigia sana fujo alice aliniangalia na kuninyoshea kidole ishara ya kunikataza misiseme kitu.
Tulivyokaribia kufika nyumbani alice alitoka haraka na kuyeyuka baada ya muda tulifika na tulimkuta alice akiwa anapika chakula
Dada alimuita na kumuuliza mbona clifford ametoka huku anakimbia kuna nini?
Alice alijibu bila woga na kusema nilikuwa niko busy sikumuona wakati anatoka na nilikuwa napika jikoni
Mmmmmh!! Mdogo wangu umepatwa na nini? Nilitaka kumjibu alice alininyosehea tena kidole kwa ishara ili nisiseme nilikaa kimya na nilitulia sana sikuongea chochote.
Usiku ulifika na nilimuomba dada tuombe kabla ya kwenda kulala dada yangu hakujali nilimshika na kumuomba dada tuombe alikataa na niliamua kuchukua Bible na kwenda nayo chumbani kwangu
Usiku saa sita dada yangu alipatwa na uchungu wa kujifungua aliwez kuniita nikamtoa ndani na kumuingiza ndani ya gari na kuondoka hospital sikuweza kusahau bible yangu nilichukua na kuiweka pembeni yangu!
Niliendesha gari na kuelekea hospital tulifika na nurses walimchukua na kumuingiza ndani nilikuwa busy na kusahau ile bible ndani ya gari tulifika mlangoni nilimuona alice alikuwa ameshika mtoto mdogo na yule bibi nilimuona wamemzunguka dada yangu nilianza kulia sana na kumuomba alice asifanye anachotaka kufanya.
Maana alitaka kumuuwa mama ili achukue mtoto nilimpigia magoti sana yule Bibi na alice kiasi kwamba hospital waliniona nimechizika.
Doctor alitoka ndani na kuniita wew ndio ndugu wa huyu mama.
Nikasema ndio,
Kuzaa kwa kawaida haitowezekana inabidi afanyiwe operation
Mama yanguuuu weeeee doctor kweli!.
Ndio,
.
Nilitoka nje na kumpigia shemeji simu kuwa dada haliyake sio nzuri na doctor amesema kujifungua kawaida haiwezekani hivyo itabidi afanyiwe operation.
Shemeji aliomba ruhusa kama kesho alianza safari ya kuja nyumbani alifika na kuja moja kwa moja hospital alikubali na dada yangu alienda kufanyiwa operation na nilichukua gari na kurudi nyumbani
Nilimkuta alice nyumbani nilimpigia magoti na nakusema naomba unitese mimi dada yangu hana kosa mwenye makosa ni mimi nakuomba alice muachie dada yangu ajifungue salama.
Fanya yote muachie dada yangu ajifungue kumbuka ule ndio uzao wake wa kwanza nakuomba nililia na kumuangukia alice baada ya muda alikubali na kunipa sherit moja tu alisema namuachia Dada yako ajifungue lakin Leo utalala na mimi
Sikuwa na jinsi na nilikubali ili kuokoa maisha ya dada yangu na mtoto baada ya dakika kadhaa shemeji alinipigia na kusema Dada yako amejifungua mtoto wa kike bila operation japo walikuwa wamejianda kuanza kumfanyia!
Kwa muda huo dada yangu hakuweza kuruhusiwa kuja nyumbani na nilibakia mimi na alice maana shemeji ilibidi achukue chumba guest kwa ajili ya kukaa karibu na mgonjwa usiku ulifika na alice alienda kulala kwake na mimi kwangu baada muda aliniita na kwenda chumbani kwake niliingia na kumkuta alice amegeuka kuwa nyoka!
Je Nini Kitaendelea......?
by Ahmad Mdowe
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni