Featured Post

HOUSE GIRL WA DADA SEHEMU YA 02

HOUSE GIRL WA DADA
SEHEMU YA 2
WHATSAPP 0623132416
ZANZIBAR
Baada ya Dada yangu kuondoka niliweza kufanya vile alivyoniagiza nifanya pale nyumbani kwa siku hio nilianza kumuogopa alice lakin Alice alikuja nilipokaa na kuniuliza Clifford mbona Leo hauna raha nani amekuudhi.
Nilimuangalia vizuri kwa jicho Kali bila kumjibu kitu nilianza kuona anainama kama vile nimegundua kitu na aliinuka na kuondoka kwa siku hio sikuweza kuongea nae siku nzima hata chakula sikuweza kula pale nilienda mgahawani na kula huko.
Nilivyorudi nilimkuta anaangalia movie nilpita pale sebuleni hadi chumbani kwangu alice alianza kuhisi kitu na alinifuata kuniuliza Clifford mbona Leo uko hivo niambie au unaogopa nilivyokimbia usiku tulipokiwa wote!.
Hapo mi sikumjibu kitu nilimuangalia kwa umakini mzuri sana kwa mbali macho yake yalikuwa yanabadilika rangi yanakuwa meusi na nyekundu hapo sikusita nilimuuliza mbona uko hivo hayo macho yako?
Alianza kuogopa sana na kuwa mtu mwenye woga mno aliniambia iko siku utajua kilichonikuta baada ya pale alinuka na kuvua nguo zake zote mbele yangu baada ya kuvua nguo nilimuangalia sana uchi wake alivyoona namuangalia sana alipuliza upepo kutoka mdomi mwake na kufanya nisahau kila kitu nilistukia rungu langu linaamka na kumvamia na kufanya nae mapenzi nilimaliza na yeye akavaaa na kuondok nimekaa Kama nusu saa sijajua kwa nn nimemfanya alice.
Niliinuka pale kitandani na kumfuata sebuleni aliniangalia na kuanza kucheka huku akisema unarungu tam aisee usiku uje chumbani kwangu unisugue tena
sikumjibu kitu nilikuwa Kama bubu usiku uliingia na tulikula na kwenda kulala niliweza kusinzia ata sikuwa na wazo tena la kufanya Mapenz na Alice ilivyofika usiku wa manane.
Kama kawaida yangu nilistuka kutoka usingizini nilitulia na kusikiliza tena kama nitaweza kusikia sauti za watoto tena chumbani kwa Alice lakin sikuweza kuzisikia niliwaza sana kwa nini alice yuko hivi?
Nilipata wazo la kuamka na kwenda kufungua mlango wa chumba cha Alice nilivyosukuma bahati nzuri mlango ulikuwa haujafungwa niliingia moja kwa moja chumbani kwake na kuwasha taa.
Nilichokikuta chumbani kwake sitoweza kusahau kamwe nilikuta kibuyu kiko kitandani kimefungwa vitu vya rangi tofauti kama hilizi na vitambaa vitatu vya rangi tofauti cheusi, chekundu na nyeupe
Vilikuwa vimetandikwa kitandani kwa Alice nilivyoana vibuyu na hali ilivyokuwa mle chumbani kwake niliogopa na jasho lilianza kunitoka maana nilijua moja kwa moja alice ni mchawi na muwangaji maana sikumkuta chumbani kwake wakati bado nazubaa nilitaka kufungua mlango na kutona nje gafla alice alitokea akiwa ameshika mtoto mdogo sana alikuwa amebadilika na kuwa na sura nyingine .
Aiseeee nilianguka chini na kuita kwa ajili ya msaada lakin hawakuweza kunisikia maana sauti ilikuwa haitoki nilifungua mlango na kutaka kutoka chumbani kwake lakini aliufunga kimiujiza na sikuweza kuufungua ule mlango nilibaki mle chumbani kwake nililowa jasho mwili mzima.
Alice alianza kucheka kwa cheko la kichawi ahaaaa ha aha ahahaaaa haaaa ha huku akinizunguka akiwa na yule mtoto mdogo alinipiga na mkia aliokuwa ameushika hapo sikuweza kujua niko wapi nilihisi nasafirishwa kutoka pale nilipo na kuelekea kuzimu.
baada ya kupigwa na ule mkia kichwani na kunizunguka Mara tatu niliweza kuhisi nasafilishwa kutoka sehemu ile na kuelekea sehemu nyingine ambayo nilikuwa siijui na nilikuwa sijitambui nilikuwa napelekwa tu nilikuwa nahisi tunazama kwenda chini.
Tulifika sehem niliona geti likifunguliwa tuliingia ndani humo kulikuwa na watu wengi sana na walikuwa wa aina tofautitofauti kiasi kwamba sikuweza kuwatambua niliweza kusilka tu sauti zao mlete huku, mlete huku alice kwa muda huo alikuwa bado amemshikiria mtoto yule.
Lakin baada ya muda kidogo alikuja bibi mmoja mzee sana ambaye alivalia mavazi meusi na mekundu na kusema mchukue huyu na mlete huku alice alinipeleka hadi chumba kile wakati naingia chumbani kwa bibi ulivumaa upepo wa ajabu sana sikuwez kujua tena tumepitia wapi na nitatokea wapi maana chumba kile kilikuwa yai na mimi nilijiona Niko ndani ya yai ambalo halina mlango wala dirisha kwa muda huo niliachwa peke yangu alice alikuwa ameshaondoka zake
Bibi aliingia tena na sikujua anetokea wapi mle ndami kwa muda ule sikuona kiti cha kukalia wala meza lakin Mara baada ya bibi kuingia alibonyeza tu sehemu moja ukutani na viti vikaja na niliambiwa nikae kwenye kiti kile.
Bibi kizee alianza kuniambia umezini na mwanangu inamanisha anakupenda na unampenda hivyo yakupasa ukubaliane na masharti ya huku kwetu na huyo ndio atakae kuwa mkeo maana anakupenda na huku kwetu kazi yetu kubwa ni kutafuta watoto wachanga kuchukua damu zao kuanzia sasa utakuwa katika jukumu la kuzunguka mahospitalini na kuchukua watoto wachanga sawaaaaaaaa aliongea huku amenikazia macho na alikuwa anabadilikabadilika kiufupi alikuwa hana umbo maalumu kwa upande wangu sikuweza kujitambua na mashart yale niliona magumu kwangu nilimuwekea ngumu kukubali kuweza kua!
Tulibishana pale na yule bibi kwa dakika kadhaa na alivyoona nimezidi aliniziba mdomo na sikuweza kuongea tena kwa muda ule nilikaa kimya na alianza kunipaka vitu vyake na kuniambia binti yangu anakupenda na alowe wako useme kuwa ni mchawi nitakuua.
Alimaliza kuongea aliweza kunyoosha mkono na mlango ulionekana nilichukuliwa kama upepo kutoka mle ndani aiseee usiku huo sikuweza kulala nyumbani kabisa yan baada ya kutolewa mle ndani nilipelekwa sehemu ya kutolea adhabu na sehem ya kutunzia dam duuuuuuu damu zilikuwa nyingi sana na sehemu ya adhab alikuwepo nyoka mkubwa mno.
Nilizungushwa maeneo mengi huku bado nikiwa bubu siongei chochote muda wa kurudi duniani uliwadia maana asubuhi ilikuwa imekaribia kwenye saa kumi moja asubuhi.
Alice alirudi na kunichukua hadi nyumbani tulitokezea chumbani kwake palepale aliponipigia mkia wake alinipiga tena mkia wake ule kichwani maraa tatu na kunizunguka.
Hapo akili ilirudi na niliweza kujitambua nilikurupuka na kumuangalia alice alininyoshea kidole na kusema usiropoke chochote kwa Dada yako au kwa mtu yeyote nitakuua Mara moja aliongea hivo macho yake yalikuwa yamebadilika na kuwa kama ya paka yaani yalibadirikabad
irika na kuwa rangi tofauti tofauti!
Aliweza kufungua mlango wake kwa nguvu zake za giza ulifunguka na nilitoka nakimbia kuelekea chumbani kwangu nilimuogopa sana alice kuanzia siku hio maana alikuwa sio binadam wa kawaida nilanza kukaa nae mbali.
Lakini yeye aliona kawaida sana hapo nyumbani nilwaza hivi dada yangu anajua hii hali ya alice kuwa sio mtu mzuri niliwaza kumwambi lakini nilihofia usalama wangu maana bibi yule kule tulikoenda alisema nikisema tu nitakufa .
Na Alice nae hivyohivyo nilibakia tu kuwa mpole na kuacha afanye anavyojua yeye vituko vilianza pale nyumbani alice alianza vituko kuna Siku alikuwa anatenga chakula akiwa uchi wa mnyama na mimi tu ndiye nilikuwa namuona wengine walikuwa hawaoni hali ile
Siku moja ilikuwa asubuhi sana Dada yangu alikuja kuniamsha na kunitaka niende ubungo kwa ajili ya kukata tiketi ya bus ambapo shemeji alikuwa akitaka kusafiri kuelekea Mwanza
Niliamka na kujianda kwa ajili ya kwenda ubungo nilienda kupanda gari na kuelekea ubungo huku nyumbani alice alibakia peke yake na kazi zilikuwa nyingi kidogo maana maji yalikata hivyo ikabidi achote kwa jirani yetu wakati anachota yale maji huku nyumbani kulikuwa kazi ya kuosha vyombo na kudeki ndani mimi nilienda nikakata tiketi nivyorudi niliona maajabu sana kusema ukweli.
Nilingia ndani nikamkuta alice anadeki nikamsalimia ,nilivyotoka nje nikamkuta anaosha vyombo wakati bado nazubaa na kushangaa nikamuona amebeba ndoo ya maji hapo mimi nilichanganyikiwa maana alikuwa amejigawa Mara tatu na wote walikuwa wanafanya kazi!…..
ITAENDELEA Hapa Hapa Usikose
by Ahmad Mdowe
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni