HABARI YA MABINTI WANAOTEGEMEA KUDANGA

Baadhi ya mabint wanategemea kudanga ili kukidhi mahitaji yao yakiuchumi

Ww umeaga kijijini kwenu unaenda mjini. Kutafuta maisha hatimae unafika mjini badala yakufanya kazi hata za ndani ww unadanga
Umeishia darsa la saba kama mwenzangu na mie halafu unasema sitaki kuwa housegirl fanya basi bihashara utimize kile ulichokifata ww unaona kudanga ni bora zaidi kuliko kuwa housegirl

My friend umepotea siku zote kichwa kisicho na Akili sehem za siri ndizo zinazo umia

Hao unao wadharau kwa kufanya kazi za ndani wamejenga na wakastaff kuwa housegirl na sasa wanaitwa maboss mwenzangu na mie toka uanze kudanga una hata kakiwanja?? Hiyo nyumba unayo??, sana sana ulicho ambulia ni. Jina baya lakiudhalili zaidi kuitwa kahaba na utakacho ambulia ni maradhi ambayo hayana tiba na umeambulia madhambi kwasababu ya uzinzi

Kwasababu Uzinzi ni haram si maneno. Yangu bali ni maneno ya Allah Tabaraq wataala

Kasema Allah subhana wataala wala msikaribie zinaa hakika huo ni uchafu na njia mbaya [17.32]

Acha kudanga bora ukachome hata mahindi utaheshimika kuliko kwenda kudanga ukajidhalilisha dunian na Akhera.

Isiyomfaa akili yake utamdhuru ujinga. Wake
HABARI YA MABINTI WANAOTEGEMEA KUDANGA Bongo Life 5 of 5
Baadhi ya mabint wanategemea kudanga ili kukidhi mahitaji yao yakiuchumi Ww umeaga kijijini kwenu unaenda mjini. Kutafuta maisha hatimae u...
HABARI YA MABINTI WANAOTEGEMEA KUDANGA

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : HABARI YA MABINTI WANAOTEGEMEA KUDANGA
HABARI YA MABINTI WANAOTEGEMEA KUDANGA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/08/habari-ya-mabinti-wanaotegemea-kudanga.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/08/habari-ya-mabinti-wanaotegemea-kudanga.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy