SOMA MPAKA MWISHO KUNA KITU UTAFAIDIKA NACHO.INSHAALLAH KAWAIDA YA DR.UAGA ANAJIFUNZIA MAMBO MENGI KUHUSU AFYA YA BINADAMU.
KATIKA MAMBO YENYE FAIDA SANA NI KUFANYA TENDO LA JIMAI AU TENDO LA NDOA LAKINI HILI UFUALAHIE TENDO LA NDOA SHARTI UJUE MBINU AU UJUZI (maufundi) ya KUFANYA TENDO LA JIMAI
SOMO LA LEO ZIJUE SABABU NA SULUHISHO LA MWANAMKE KUFIKA KILELENI SOMO HILI.LITAGUSA PANDE ZOTE MBILI KWA MWANAUME NA MWANAMKE👇🏻
Karibu👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Kutokana na kufanya tendo la ndoa ni wazi kwamba mwanamke na mwanaume anahitaji kutosheka _
Hata ni ivyo ni kweli kwamba kwa kawaida mwana ume huwa rahisi kutosheka kimapenzi kuliko mwanamke . Hali hii ndio inapelekea niweze kujadili hii dhana ya kufika kilele cha mapenzi kwa upana na kwa uzito pekee.
Naaam. Kuna matarajio matatu katika kufanya tendo la ndoa.
1)mke anaweza kufika kileleni kwanza.
2)au mume anaweza kufika kileleni kabla ya mkewe hafika.
3)au wote wanaweza kufika kileleni kwa wakati mmoja.
SABABU ZA WANAWAKE KUTOFIKA KILELENI.
Zipo sababu kadhaa za wanawake kushindwa kutoshelezwa kimapenzi (kutofika kileleni)
👉🏻kutojua mfumo wa mwili wao unavyo fanya kazi_
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wengi wanaweza kuwa na ufahamu mkubwa wa jinsi mashine ya DVD inavyofanya kazi kuliko miili yao_
Inavyofanya kazi na kwa wanaume hali ni hivyo hivyo . Ni wanaume wachache sana wanaojua jinsi miili ya wanawake inavyofanya kazi_
Hali hii hupelekea wanaume wengi kutokuwa na ujuzi wa kuwatosheleza wanawake wakati wa kufanya tendo la jimai.
JAMBO LA KUFANYA,👉🏻SI kila mwanaume ana ujuzi wa masuala ya mapenzi ni vizuri mwanamke kuwa muwazi kwa mwenza wako na muelezee akufanyie nini hili usisimke au akushike wapi ili usisimke._
Hata kama utagundua mume wako sio mjuzi usimdhihaki kwa kumuambia hujui kitu bali unachopaswa ni kumueleza kwa upendo nini akufanyie hili aweze kukutoleza.
UHASAMA NA CHUKI👉🏻chuki ni uhasama au makasriko, ugomvi , mambo hayo huchangia katika kumfanya mwanamke asiweze kufika kileleni.
JAMBO LA KUFANYA👉🏻Hakikisha kwamba mmesuluisha tofauti zenu kabla ya kufanya mapenzi husifanye tendo la ndoa huku mkiwa na chuki , manung'uniko na hasira.
HOFU👉🏻HII inaweza kuwa moja wapo ya sababu za wanawake kutoweza kufika kileleni hofu hii inaweza kuletwa na mambo mbalimbali hofu ya kuambukizwa magonjwa na hofu ya kupata mimba.
JAMBO LA KUFANYA👉🏻Mwanamke anapokua na hofu ni vigumu sana kwa yeye kuweza kufika kileleni . Ni vyema husiwe na hofu ili uweze kufulahia tendo la ndoa.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
KUTOJITUMA👉🏻baadhi ya wanawake wanajua kwamba kujituma kitandani ni kazi ya mwanaume peke yake na kwamba wao wanachopaswa ni kusubri tu_
Kadri mwanamke anavyojituma katika tendo la ndoa ndipo kuna uwezekano mkubwa wa yeye kufika kileleni na kufulahia tendo la ndoa.
Kwa kawaida wanaume wana kiwango cha juu cha kufika kileleni kwa sababu wao ndio wenye kushughulika zaidi katika tendo la ndoa . Ikiwa wanawake nao wanajituma kama ambavyo wanaume wanavyofanya wanawake nao wangejiweka katika nafasi nzuri kabsa ya kufulahia tendo la kufika kileleni.
Somo litaendelea kesho cha kufanya kama umelipenda somo like. comment neno nimelipenda.
hili kesho nikumalizia kipande kilichobaki_
Bila shaka utajifunza mambo mengi tena mazuri.
Inshaallah

Uhali gani wapenzi wafuatiaji wa page hii.
JibuFutaKaribu kwenye somo letu. Sehemu ya pili.
Ilipoishia...
KATIKA SWALA ZIMA LA KUMLIZISHA MKEO /MUMEO VITU VINAVYOCHANGIA TATIZO ILO NI👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
#MAANDALIZI HAFIFU👉🏻maandalizi hafifu katika tendo la ndoa huchangia sana katika kumfanya mwanamke ashindwe kufikia kilele.
JAMBO LA KUFANYA 👉🏻unapaswa kutambua kwamba si kila mwanaume ana ujuzi wa mapenzi , hivyo ni vyema ukawa mwenye kumuelewesha kistaarabu kitu gani akufanyie kinachoweza kukusisimua ivyo ni vyema uwe na ukaribu na mwenza wako.
#MUDA WA KUFANYA TENDO LA JIMAI👉🏻Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya muda unaotumika katika kufanya tendo la jimai na kufanikiwa kwa mke kufika kilele chake. Watafti wengi wanaonyesha kwamba katika hali nzuri sana ya kimapenzi kama mwanamke amesisimuliwa vya kutosha kwa kawaida mwanamke huhitaji dakika 10 au 15 ili afike kileleni.
NINI CHA KUFANYA👉🏻 Maandalizi ni jambo lisilo kwepeka ili kukufanya wewe mwanamke uweze kufika kileleni.👉🏻mwambie mume wako ili aweze kukuandaa unavyotaka hupaswi kumuonea aibu bali mueleze kila kitu unachotaka akufanyie wakati wa maandalizi , vile vile hakikisha kwamba unajifunza mbinu_
Za kumfanya mume wako achelewe kutoa manii apate muda wa kutosha wa kukusisimua.
JINSI YA KUMSAIDIA👉🏻Mwanaume mwenye matatizo ya kuwahi kutoa manii.
#MBINU_YA KWANZA👉🏻Iwapo ndio tatizo la mumeo kuwahi kufika kileleni. Mtie moyo Epuka kuzungumza neno lolote linaweza kumjengea hisia ya kwamba una mdharau.
#MBINU YA PILI👉🏻njia hii imependekezwa na daktar Johnson katika njia hii mke anatakiwa ashikeshike sehemu za siri za mume wake mpaka dhakari isimame.
MBINU YA TATU👉🏻kuchomoa na kuminya👉🏻baada ya kufanya mazoezi ya kumshika shika na kumchezea dhakari mumeo , mke anatakiwa kumpanda mume na kuingiza dhakari kwenye uke bila kufanya chochote , kaa dakika 2 au 5 👉🏻hii itamsaidia mumeo aweze kujitawala , kisha mwambie aendelee na kuingiza na kutoa dhakari_
Mwambie akikaribiwa kumwaga akuambie . Ikiwa anakaribia kumwaga atoe dhakari yake nje haraka kaa dakika moja kisha anza kuminya dhakari kwenye kichwa taraatibu mpaka msisimko wake utakapopanda tena.
MBINU YA NNE👉🏻dhakari inapokua ndani ya uke ule mwendo wa kuingiza na kutoa ndio unasababisha hamasa_
Hamasa hiyo ndiyo inayoleta kumwaga kwa manii ni kuachana na mwendo wa kuingia kwa muda ili hamasa (msisimko) unapoona msisimko wa mumeo umepanda mwambie apumzike mpaka msisimko wake uishe kabisa. Au unaweza kubadilisha mikao (styles) mara kwa mara .
MBINU YA 5👉🏻wakati mumeo anapo karibia kukojoa mvute taraatibu makende yake 👉🏻ukimfanya hivi itamsaidia kutokumwaga mapema. Inaendelea...
JE UNAJUA NAFASI YA NYWELE ZAKO KATIKA KUMFULAHIA MUMEO.
TAMBUA MAENEO YENYE MSISIMKO KWENYE MWILI WA MUMEO. Tukutane sehemu ya 3 itakua ndo mwisho wa somo hili.