Dodoso la kumpokea dada au kijana, msaidizi wa kazi za nyumbani

1. Majina kamili
2. Umri
3. Historia ya familia
4. Historia ya elimu
5. Historia ya Afya
6. Historia ya kazi na kwanini aliacha.
7. Ratiba yake ya siku
8. Kazi anazoweza kufanya
9. Kazi asizoweza kufanya na kwanini.
10. Aina ya vyakula asivyoweza kula na kwanini
11. Tambua Dini yake na imani zake.

*Zingatia*

●Baada ya kumdodosa dada, andika majibu yake na utumie hayo kumpangia majukumu yake na kanuni za kazi hapo kwako.

●Ni muhimu dada kupima afya yake pindi anapoingia kwako.

●Ni muhimu dada kuwa na barua ya utambulisho kutoka kijiji alipotoka iliyosainiwa na yenye muhuri na saini ya mwenyekiti wake

●Ni muhimu dada kuja na kithibitisho cha wazazi au walezi wake kuridhia kufanya kazi hapo na uwe na mawasiliano nao.

●Ni muhimu kuweka wazi ratiba za likizo 

●Ni muhimu kuweka wazi matumizi yatakayokua juu yako na atakayojitegemea

●Ni muhimu kumuandalia ratiba ya kazi itakayomuongoza kwa siku nzima.

●Ikiwezekana binti akaguliwe vitu alivyokuwa navyo anapofika.

●Msisitize binti kuhusu usafi wa mwili wake na wa mazingira pamoja na chakula wakati anandaa

●Muajiri jitahidi kuishi na binti kwa mapenzi mpe motisha na kumpongeza anapofanya vizuri na kumuelekeza vizuri pale anapokosea ili ajifunze na si kumkaripia kila mara au hata kumpiga.

Angalizo: Iwapo utamnunulia binti zawadi mf. Nguo fanya kwa kiasi ili azowee, wengi hufurahi kupitiliza na kutaka kurudi kwao kuringishia nguo zao na hii sio nzuri kwa muajiri

●Binti aelekezwe kupokea wageni na ndugu kwa ukarimu, lakini pia muajiri usiseme siri za familia au kumsema mtu wa familia mbele ya binti.

●kama una watoto waelekeze kujitegemea na kushiriki baadhi ya kazi, usijisahau ukaharibu watoto sababu wanafanyiwa kila kitu.

●Binti asaini mkataba unaoelekeza majukumu yake na kanuni za kazi na malipo yake.

●Binti asaini kila anapopokea mshahara


```Lengo ni kujenga mipaka,heshima na usalama wa kazi.```

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Dodoso la kumpokea dada au kijana, msaidizi wa kazi za nyumbani
Dodoso la kumpokea dada au kijana, msaidizi wa kazi za nyumbani
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/08/dodoso-la-kumpokea-dada-au-kijana.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/08/dodoso-la-kumpokea-dada-au-kijana.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content