CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu) SEHEMU YA TISA (09)

CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu)

MTUNZI: Minnah De Embaccas

SEHEMU YA TISA (09)

Whatsapp :0656282898

ILIPOISHIA SEHEMU YA NANE: Mama vicent alikuwa sebuleni, alikuwa amekaa na mama wa makamo kama yeye kwakweli walionekana ,kama wapo kwenye maongezi mazito, maana vilisikika vicheko vya hali ya juu. Ila gafla wakaacha kucheka macho yote yakageuka kutazama...endelea.....
Wote waligeuka kutazama mlangoni. Wakaona super hadsome anaingia, alikuwa ni vicent alipita mpaka walipokuwa wamekaa akawasalimia. "shikamoo mama, shikamoo aunt". Alisalimia vicent. Wote waliitikia " vipi mbona leo mapema baba".aliuza mama yake. "hamna mama leo sijisikii vizuri ".alijibu vicent huku akijiandaa kuingia ndani. "oooh pole baba nenda kapumnzike mwanangu".alisema mama vicent kwasauti ya upole na ya huruma, mwenyewe mtoto ndo alikuwa huyohuyo mmoja. "sawa mama".alijibu wakati huo alikuwa anamalizikia kuingia ndani kwake. Wote walimtazama ila mgeni alivunja ukimya. "mmmh! Shoga una mtoto mzuri hivi mbona wanawake watakoma".aliongea yule mgeni wa mama vicent. Vikafuata vicheko vya kufa mtu. "mmmh!! Huyu mtoto na hivyo alivyo sijawahi hata kuona ana mazoea na mabinti, anajichunga kweli mwanangu".aliongea mama vicent kwa umakini wa hali ya juu. "mmh! Hongera shoga angu maana kwa u hb ule lazima wajigongegonge".vikafuata vicheko tena vya nguvu. Basi waliongea mengi mgeni aliaga na kuondoka zake.
**********
Suma alijiona mkosefu sana kumkosea rafiki yake. Alijiona mkosaji kwa upumbavu Wake wa kuongea habari zá ajabu wakati alijua fika kuwa apendi Ujinga au stori zá kuwazalilisha wanawake. "duuh! Sasa mboma awarudi?".alijiuliza mwenyewe na asilipate jibu. "au watakuwa nje kule kwenye uwanja? "alijiuliza sana mwishoe akaamua aende huko akawatazame. Alitoka class moja kwa moja mpka uwanjan,akaangaza weeeh wapiii akuwaona. Ila gafla akamwona vanessa haraka sana akamfuata, "hey Vanessa mambo vipi?".alisalimia suma. "safi cjui wewe mela wake"alijibu Vanessa huku akiangaza huku na huko bila kuwaona wakina vicent. "vipi wenzio wako wapi? ".aliuliza Vanessa "hicho ndicho kilichonileta kwako nikajua umewaona ".aliongea suma kwa kukata tamaa. Mara vuuup akaja rafiki wa Vanessa akawasalimia na kukaa chini. "eti mamy umewaona wakina vicent?".aliuliza vanessa "ndio nimewaona ila mda mrefu sana wametoka nje ya geti yeye na rafi
rafiki yake mmoja"alijibu rafiki yake Vanessa . "suma umesikia? ".alisema vanessa "nimesikia haya basi poa ngoja nisepe"alijibu suma huku akianza kuondoka. Ila vanessa akapachika swali "sasa kwanini hawajakuaga wakati wote lenu moja?".aliuliza vanessa huku anamkazia macho. "hamna alikuwepo darasani nilitoka nilivyorudi sikuwakuta ".aliongea suma akificha ukweli. "aaah!! Basi haya poa shemela ".aliongea Vanessa suma akajibu poa huyo Akasepa akiwaacha vanessa na rafiki yake wakiendelea kuongea

*******
Vicent alikuwa amejikalia ndani kimya huku anajifikiria mambo mengi kuhusu maisha yake. Alijikuta akiwa kwenye mawazo makubwa alimfikiria niram kiukweli alitokea kumpenda sana. Alichukua simu yake akamtext alijua muda huo alikuwa ajarudi ila akirudi ataikuta msg. "mambo mpendwa nahisi u mzima mi nasumbuliwa na kichwa vibaya".alivyoona kashaituma akaizima pembeni yani kuzuia usiwake then akalala. 

********
Suma hakuwa na raha alipooza sana alikuwa anatamani muda ukimbie arudi nyumbani. Atafute rafiki yake kwenye simu ili amuombe msamaha kiukweli akujisikia poa. Basi baada ya masaa kadhaa, kengele iligongwa na wanafunzi walikuwa wameshaanza kutoka madarasani. 
Suma yeye ndo alikuwa wa kwanza kwanza kutoka shuleni nia na dhumuni lake nikuwahi kufika nyumbani ampigie rafiki yake. Akitoka mojakwamoja akaelekea stendi ya mabasi kusubiria usafiri. 

**********
Niramu alifika nyumbani mojakwamoja akafungua mlango alimkuta mama yake anaangalia tv .akamsalimu na kuanza kuingia ndani. Ila mama yake akamdaka kwa maneno. "wewe mtoto wewe sikuhizi upendo huna na mama yako, yani sasahivi siku mbili tatu hizi ukinikuta kukaa ukai we moja kwa moja ndani".alilalamika mama yake niram."hamna mama si unajua sasa hivi tunakabiliwa na masomo mengi "alijitetea niram "basi haya mwanangu kabadilishe nguo uje ule".aliongea mama niram kwa huruma huku akimuangalia mwanae. 
"sawa mama"alijibu niram huku anaingia chumbani, Niram aliingia chumbani, moja kwa moja hakafikia kwenye kochi akawasha simu yake, alafu akasimama huku akivua nguo zake. Macho yake yalikuwa kwenye kioo yakiusanifu mwili wake uliotengea vizuri yani hadi ye mwenyewe alijiogopa. Alijiona kama siyo yeye yani alibaki kumtupia sifa Mungu aliemuumba. 
Ila akiwa katika kusadifu mwili wake akasikia mlio wa msg kwenye simu yake. Alienda taratibu kuenda kuichukua ila moyo ulipiga paah!! Baada ya kuona mtu alietuma msg.akatabasamu kidogo kisha akaifungua. Alikuta ujumbe umeandikwa hivi. "mambo mpendwa wangu nahisi uko poa, mi najisikia hovyo kichwa kinauma sana". Niram alizidi kutabasamu huku vijishavu vyake vilivyobonyea na kuweka vishimo vikizidi kuipamba sura yake na kuonekana nzuri maradufu. Niram akajibu msg. "niko poa kipenzi jamani! Pole umekunywa dawa? ".alijibu msg niram kisha akaweka simu yeye akanyanyuka kwenda kuvaa nguo. Aikupita muda ujumbe ukajibiwa "nimekunywa mpendwa vipi imeshakuwa? ".aliuliza vicent. "hapana bado ila ndo nataka nikale, maana ndo kwanza nimerudi shule".alijibu niram. "oooh basi kula ukimaliza ntakupigia".alituma tena msg vicent. "ooh sawa ntafanya hivyo".alijibu niram na huo ndo ukawa mwisho wa chatingi kwa muda huo. 

***********
Suma hakuwa na raha hata kidogo. Aliwaza jinsi majibishano yaliyotokea na haikuwai kutokea kwa wao kugombana. Sasa alijiuliza ilikuwa mpaka shetani akapita katikati yao.kiukweli alijilaumu sana alijuta kwa alichokifanya "daah mshikaji yupo poa sana yule hanaga tabu na mtu mzungu sana yule sijui hata ntaanzaje kumtafuta ili nimuombe msamaha".alijiwazia suma ila wakati anawaza sana mara simu yake ikawa inaita akaichukua ile kutazama kwenye kioo akajikuta anaachia tabasamu pana usoni...... Itaendelea

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu) SEHEMU YA TISA (09)
CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu) SEHEMU YA TISA (09)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/08/choice-of-my-heart-chaguo-la-moyo-wangu_4.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/08/choice-of-my-heart-chaguo-la-moyo-wangu_4.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content