Simu ya Mkristo iliita kwa sauti wakati wa ibada

Simu 📱 ya Mkristo✝ iliita kwa sauti wakati wa ibada, *"ilikuwa bahati mbaya"* 


1⃣Kiongozi wa ibada alitoa karipio akimwelezea jamaa huyo kama mfano wa waumini wazembe.


2⃣Waumini wengine walimlaumu baada ya ibada kwa kuwasababishia usumbufu katika ibada💒 kanisani.


3⃣Mkewe naye hakubaki nyuma, wakati wakirudi nyumbani aliendelea kumpa maneno kuhusu uzembe wake mpaka wanaingia nyumbani.


4⃣Ndugu wengine walitikisa vichwa vyao kuonesha kukerwa sana na jambo alilolifanya.


Alionekana 

🔅kufedheheka, 

🔅kuaibika na

🔅 kudhalilika sana. 


Hilo lilijionesha usoni mwake.


*Hakukanyaga tena Kanisani.* ⛔


Jioni ile aliona bora akajinywee Pombe🍻 huko Baa.


Kwa kuwa hakuwa mlevi mzoefu

alimwaga kinywaji chake mezani, chupa ilidondoka kwa bahati mbaya na kuwamwagikia baadhi ya walevi pale Bar.


Wale waliomwagikiwa na kinywaji chake walimkimbilia

Alifumba macho akitarajia kuzabwa vibao au kuambiwa maneno makali.


Badala yake walimuuliza kama ameumizwa na kipande cha chupa iliyovunjika.


Mhudumu alimpa pole na kumpa tishu ajisafishe.


Alimwona Dada mzuri mfanyakazi wa usafi alisafisha sakafu 


Meneji wa Bar ile alifika na alimpa kinywaji kingine kufidia kinywaji chake kilichomwagika.

Mwanamama huyo meneja alimkumbatia na kumpiga busu😘 shavuni huku akimwambia: *"Usihofu, Nobody is perfect"*


Tangu wakati huo hajaacha kwenda baa🍺🍻🥂🍷🥃🍸


*#FUNZO*


Wakati mwingine tabia zetu japo tunajiita  waumini huwakimbiza watu wazuri na kuwasukumia motoni.


 *Tuko kidini zaidi kuliko kimatendo* 


Unaweza kubadilisha hali ya mambo kutokana na unavyovumiliana/kuchukuliana na watu, hasa pale wanapofanya makosa.


*Kama huwezi kuwa daraja la kuunganisha watu, basi usiwe ukuta wa kuwatenganisha.*


Kama huwezi kuwa taa ya kuyaangazia mema ya watu, basi usiwe giza la kuzifunika juhudi zao.


Kama huwezi kuwa maji yanayosaidia kustawisha mazao ya watu, basi usiwe mdudu anayeharibu mazao yao. 


Kama huwezi kuwa chanzo cha uhai wa kumcha Mungu, basi usigeuke kuwa kirusi cha kukatisha uhai wa Imani.


Kama huwezi kuwa penseli ya kuandikia furaha ya mtu, basi jaribu kuwa ufutio mzuri wa kuondosha huzuni yake.


Daima tunaweza kuwa walinzi kwa wenzetu, tuwe na azma ya kuiponya dunia na kuifanya kuwa sehemu bora.

Naam, tunaweza.


*Mungu na atuwezeshe kuwa baraka kwa wengine*

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : Simu ya Mkristo iliita kwa sauti wakati wa ibada
Simu ya Mkristo iliita kwa sauti wakati wa ibada
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/07/simu-ya-mkristo-iliita-kwa-sauti-wakati.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/07/simu-ya-mkristo-iliita-kwa-sauti-wakati.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy