SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA SITA (06) | BongoLife

SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA SITA (06)

SAFARI YA KUZIMU
NA ZUBERI MARUMA
06
Whatsupp: 076743310
"chukua hiki si unaitaji kugundua ukweli juu ya mama yako? usiku kabla ujalala kitafune kisha ulale kesho utanifata mwenyewe na utanambia na utakacho ona plzzz usipige kelele kwani kufanya ivyo watajua umewagundua kitakachofuata ni wewe uwe mchawi au ugeuzwe msukule"
IRENE bila kusema kitu akakiweka katika begi lake na kuondokaa akipania kuujua ukweli!,ambao wa watu wengi akiwemo mpz wake walimwambia aujuhi!....
USIKU
Giza lilitawala nje! mwanga wote ulimezwa...
hali ya utulivu ilishika hatamu...
chumbani IRINE alikuwa akitembea tembea kwa wazo kuu...
'hivi kweli mama angu anaweza kuwa mchawi au wanamsingizia?'
akaongea mwenyewe! na kujijibu mwenyewe
'Huu ndo muda muafaka wa kuujua ukweli! mbivu na mbichi...'
akachukua kale kamzizi na kukatazama kwa sekunde kadhaa kabla ajakatupia mdomoni! akaukunja mdogo kwa uchungu mdogo wa kakipande kale.
Akajitupa kitandani na kuusaka usingizi.
kwa mbali kausingizi kakampitia!
Ilianza kama ndoto alikuwa akikimbizwa na majinamizi! ,watu warefu walojichora usoni mikononi walishika vyungu ambao akujua ni vya nini!
alikimbia lakini cha kushangaza akuwa na mbio kabisa akadondoka watu wale walokuwa wamejifunga kaniki wakamfikia na kumkabidhi vyungu vile akawa anapokea huku akitetemeka!
mtetemeko huo ukampelekea hadondoshe chungu kile kikagawanyika...
ghafla akashtuka! woga ulimtawala ghafla akasikia mlio wa paka wakipokezana kulia
"nyau nyau! nyau! nyau!!"
paka wale walilia vilio kama vya mtoto mshtuko ukamvaa Irene kwani hakuwai kusikia paka wakilia katika nyumba yao hata wa kawaida tu kwa usiku,
Nywele zikamsisimka, ila baada ya kuikumbuka dhamira yake ujasiri ukamvaa akanuia 'kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu amin' akiweka na ishara ya msalaba na taratibu akashuka na kunyata mkononi akiwa kabeba chemli yake na kuufungua mlango akapokelewa na giza torororo akabaki ameduwaa...
Sauti zile za paka zilisikika kutoka chumbani kwa mama yake!
Akashtuka zaidi akatafakari kwa sekunde kadhaa na kukata shauri la kuzidi kusonga kwenda kushughudia kulikoni?
akaufikia mlango wa chumba cha mama yake akapeleka jicho lake katika tundu la mlango ASALALEEE!!!
Akapokewa na paka walokuwa katika pembe za chumba kile paka walolia na kuleta kero katika masikio yake paka weusi tiii!
wakubwa wenye macho yalozungukiwa na unjano ulokolea na kusababisha mtisho kwa ambaye akuzoea kuwaangalia.
kwa haraka akayatoa macho yake mpaka katikati ya chumba kile.
Kulikuwa kuna watu kama sita walojifunga kaniki nyeusi na vitambaa vyekundu katika vichwa vyao wakiunda umbo la duara katikati ya duara ilo kulikuwa na mishumaa ilokuwa mbele ya kila mmoja! aikujulikana walikuwa wakifanyeje!
"mamaaa"
MOURINE akajikuta akipiga kelele pasina kukumbuka kuwa anavunja sharti alilopewa na mpz wake Chriss kwamba pindi akishughudia kitu asipige kelele kwani kwa kufanya ivyo wachawi wale wangegundua wamegunduliwa na pona yake ajiunge au atolewe kafara kama angetaa kuwa mwenzao
Mwili wote ulimtetemeka! katikati ya wachawi wale alipokaza macho akamuona mama yake kipenzi! bila kujielewa akajikuta akiita kwa nguvu
"mamaaa"
sauti yake ikapenya mpaka katikati ya masikio ya wachawi wale
"si! IRINE huyo?"
"ndo yeye!"
"katugundua tumfate lazima afe au auridhi huu mkoba!"
IRENE aliposikia maneno hayo akukubali akaanza kukimbia akiwa pekupeku...
alichomwa na miiba, changarawe alizozikanyaga lakini akujali alizidi kukimbia bila kujua anaelekea wapi!
ghafla akakipamia kitu kilichomfanya adondoke! ikamlazimu akaze macho kukiangalia
ilikuwa ni sura ya mama yake akiwa kashika kibuyu kikubwa kilichokuwa kimezungushiwa shanga nyingi nyeusi na nyekundu mwilin akiwa uchi wa mnyama akimwangalia mwanaye yule kwa jicho baya!
"mama kumbe watu awakukusingizia kumbe kweli wewe mchawi?"
"paaaaa!" kibao kikali kikatua katika uso wake
"umeshaujua ukweli! lazima ufe? au nawe upokee hiki kibuyu uwe mchawi!"
"siwezi mamaa na wala sitaki!"
"utake usitake utapokea tu"
mama yule akaanza kusugua matako yake katika ardhi chungu kile kikiwa kichwani mwake bila kuonesha jitahada yoyote ya kudondoka.
"katika jina la yesu shindwa!!"
IRENE akajikuta amekemea,ghafla akashtukia mama yake akianguka na kupoteza fahamu.
binti yule akutaka kusimama aliendelea kukimbia bila kujua ndo kaianza rasmi safari ya vita itakayo tishia maisha yake.
Safari ya vita na kundi kubwa la wachawi! waloko katika ukanda ule...
Wachawi wa himaya ya nzungu!
akakimbia akiwa hana sehemu maalumu ya kwelekea,katu,akuwa na fikra za kurejea nyumbani! alienda asipopajua huku kundi kubwa la kichawi likiwa nyuma yake kwa vitisho vikuu.
ghafla alijikuta anaifikia barabara na kuvuka bila kuchukua tahadhari bila kuona fuso lililokuwa likija kwa kasi usawa wake,
PREEEEEEE!
Ile gari ilipiga breki ikaserereka miguuni kwa msichana yule,
Hakika dereva alitumia nguvu nyingi
"we...kum...unapitaje kwenye barabara kama ya baba yako"
alikoroma dereva yule huku akishuka kwa jazba akipania kwenda kumfundisha adabu binti yule
Dereva yule alokuwa na mwili ulojengeka kimazoezi akashuka kwa jazba! mpaka mahali aliposimama IRINE na kuinua mkono wake kwa dhumuni la kumpiga kibao,
akapokewa na chemchem ya machozi yalotiririka katika paji la uso la msichana yule ikambidi kijana yule asitishe mkono wake!
uso wote wa hasira uliyeyuka na kutengeneza uso wa kulikoni?!
"kaka yangu usinipige naomba msaada wako!"
"Msaada gani?" Dereva yule akajibu sasa akirudi katika hali yake ya kawaida!
"Wakuelekea mjini!"
"wewe ni nani? na kwa nini unasafiri usiku wote huu?"
"naitwa IRINE ni historia ndefu sana kaka yangu"
"Huko mjini kuna unayemfahamu?"
"hapana!"
"ok panda twende"
Baada ya mahojiano ya dakika chache IRINE akapanda fuso lile na safari ya kwenda mjini ikaanza.
Wakiwa ndani ya gari yule kijana alionesha kumtamani sana irine kwa uzuri alokuwa nao, akuweza kuzizuia hisia zake kupeleka mikono yake katika mapaja ya IRENE,binti yule akashtuka na kuanza kutetemeka!
"unasura nzur sana binti!"
Aliongea jamaa huku moyo ukimuenda mbio damu ikimchemka ghafla wakiwa katikati ya msitu kijana yule akasimamisha gari!
Macho yalikuwa mekundu ishara ya kuzidiwa kwa hisia katikati ya suruali yake kulituna
IRINE akuwa mdogo kugundua alichoitaji kaka yule alitetemeka aku
wah kufanya kitendo kile,machozi yakaanza kumtoka ili hata aonewe huruma lakini hayakusitisha kufanyiwa kitendo kichafu na mkaka yule!
"usijali binti mrembo! tukifika mjini ntakupa kazi nzuri utalipwa vizuri,ntakufanyia tarratibu utoumia dada yangu!"
alisema kaka yule huku akishika maeneo tofauti tofaut katika mwili wa IRINE....
Irine alikataa kijana yule akamchukua kwa nguvu na kumtupia katika kitanda kidogo nyuma ya viti vya fuso lile akamvua nguo zake kwa kumchania chania.
Akaanza kumwingilia bila huruma akimchana katika maungo yake binti alitoa kilio kikali kilichomezwa na mvua ilokuwa ikiandamana na radi kali vilivyoshabiana na kuleta mafuriko nje ya gari lile!
Mvua ilizidi kupiga na wanyama mbalimbali walionekana wakitafuta ifadhi kichocheo cha mvua hiyo kilizidi kumpa nguvu kijana kuendelea kupampu bila huruma bila kujali damu za msichana yule.
Baada ya dereva yule kumaliza haja zake zilizopelekea kuondoka na ufahamu wa binti yule akafungua mlango na kushuka akaenda upande wa pili alipolala binti yule akamvuta na kumtoa nje!
akamtupa katikati ya vichaka! bila kujali mvua inyeshayo,radi lipigalo wala wanyama wakali waliopo eneo lile akawasha gari na kuondoka kwa mwendo wa kasi!
Akimwacha Irene katika hatari kubwa!...
"Haaaaaa haaaaaaa haaaaaaaaa umefanya vibaya sana kijana"
Wakati akiendelea na safari ghafla dereva yule akasikia sauti ile katika maskio yake,akapiga breki kwa ghafla na kutazama kila upande pasina kuona kitu
'Ndo maana napendaga kuwa na tandboy mambo kama haya huwa yanapungua'
Akawaza akijaribu kuwasha gari ila ghafla akahisi anaguswa began,akageuka kwa woga!
Mwili ulimsisimka kwa kile alichokiona,akaanza kutetemeka akataka kusema kitu mdomo ukawa mzito!,
'Huu sasa ndo mwisho wangu'
Wazo lile likapita katika kichwa chake akizidi kutazama kile kilichomuibukia mule ndani ya gari!....
NI KITU GANI ICHO?!
DEREVA ATAPONA, VIPI IRENE MULE MSITUNI WANYAMA NA KUNDI LA WACHAWI WATAMUWACHA MKUMBUKE WARUVAA NDO KAMFANYA MALKIA WAKE NINI KITAENDELEA?!
TUONANE KESHO KWA MWENDELEZO

COMMENTS

BLOGGER

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA SITA (06)
SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA SITA (06)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-sita-06.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-sita-06.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content