$hide=mobile

SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA PILI (02)

NJIA YA KUZIMU NA ZUBERI MARUMA 02 Whatsupp: 076743310 "Selina john!" Bibi yule akaita,akimwangalia mama mmoja katika kundi lile M...

NJIA YA KUZIMU
NA ZUBERI MARUMA
02
Whatsupp: 076743310
"Selina john!"
Bibi yule akaita,akimwangalia mama mmoja katika kundi lile
Mama yule aliye angaliwa akiwa ana ruka ruka akasogea mpaka mbele ya mvule ule akasimama mbele ya bibi yule na mama kidawa akainama kidogo kutoa heshima!
"Juma tano hii kafara ipo kwako ivyo na dhani unajua unapaswa umuandaye nani kama sadaka kwa mzimu wa mti huu na shukrani kwa mungu wetu lusifa na chakula chetu kwa nyama yake"
Mama yule akainama kukubali huku machozi yakimtoka,ni mama alojaliwa watoto kumi lakini amekula wote na sasa wamebakia watatu nako jumatano anatakiwa atoe mmoja kwa nini asilie!?
Taratibu mama yule akarudi eneo lake huku bado akiendelea kulia
Wenzake wakishangilia ngoma zile zikaanza kulia tena wakaanza kucheza kama kawaida yao
Na baada ya hapo wakatoweka kwa lengo la kwenda sasa kuwanga!....
****
Hakika ilikuwa ni familia ya wachaMungu ,katika familia ile waliishi watu watatu tu!,mama na watoto wake wawili!
Siku ya jumapili hawakukosa kwenda kanisani ,Yesu alikuwa chaguo lao la pekee
Nje familia ile ilionekana ivyo ila ndani kiualisia haikuwa hivyo
Japo watoto walikuwa kweli ni wacha MUNGU ila si kwa mama,mama wa familia ile alikuwa ni mchawi alokubuhu
Selina ndo jina lake!
Mama ambaye alikuwa na watoto kumi ila aliwauwa wote pamoja na mume wake kwa kuwatoa sadaka kila zamu yake ilipofika!
Sasa alibakia na watoto wawili IRENE alokuwa kidato cha tatu na mdogo wake Samson alokuwa darasa la saba!
Siku hiyo ilikuwa ni Juma nne ikiwa katikati ya usiku katika msitu pande wakiwa katika vikao vyao kama kawaida!,bibi yule alozeeka akaanza kwa salamu
"Kinzungu uvinza nzae" ( hudumu utawala wa kizungu)
"Nzaeeeeeee" ( hudumuuuuuuuu)
"Kinzungu uvinza nzaeeeeee"
"Nzaeeeeeeeeee"
"Ahsanteni wana kinzungu kwa kuwa pamoja tena katika usiku huu na kama mjuavyo kesho ndo ile siku tuisubirihayo kwa hamu!,
siku ya kutoa sadaka ambapo kesho bi Selina atampoteza mwanaye mwingine na jumamosi baada ya kuzikwa usiku mida kama hii nikimaanisha jumapili tutamla nyama!, kinzungu uvinza nzaeeeeee!"
"Nzaeeeeeeee"
Wachawi wale wakaitika kama kawaida ngoma zika anza kulia pasina mpigaji wala ngoma zenyewe kuonekana wachawi wale wakaingia kati na kuanza kucheza
Kasoro Selina halokuwa katika uchungu usio simulika!,baada ya kucheza takribani si chini ya dakika tatu kiongozi wao akawapa ishara ya kutulia!,nao wakatii na utulivu ukachukua hatamu!
"Kinzungu uvinza nzae" ( udumu utawala wa kizungu)
"Nzaeeeeeee" ( udumuuuuuuuu)
"Kinzungu uvinza nzaeeeeee"
"Nzaeeeeeeeeee"
"Ahsanteni wana kinzungu sasa nimkaribishe Bi Selina hatutajie jina la binti yake ambaye kesho itakuwa ndo mwisho wa kuivuta pumzi karibu mwana kinzungu"
Selina kwa mwendo ule ule wa kuruka ruka akaenda mpaka mbele ya mvule ule akakabidhiwa kibuyu kimoja kilichovalishwa shanga za rangi tofauti tofauti nyekundu, nyeusi na nyeupe
Hakukuwa na haja ya kuelekezwa afanyeje kwani yeye alijua alichopaswa kufanya!,akakiw
eka chini na kuchukua usinga ulokuwa pale chini aka uelekezea mbele yake
"Cheche kuvisa"
Akafatia kushoto "cheche kuvisa"
Kulia kwake "cheche kuvisa"
Na hatimaye nyuma yake
"Cheche kuvisa"
Baada ya kumaliza akaurudisha ule usinga chini na kukichukua kile kibuyu akakipuliza kuelekea zile pande nne za dunia!
Baada ya kumaliza akakirudisha mahala pake na kuwa angalia sasa wenzake....
"Kinzungu uvinza nzae" ( hudumu utawala wa kizungu)
"Nzaeeeeeee" (hudumuuuuuuuu)
"Kinzungu uvinza nzaeeeeee"
"Nzaeeeeeeeeee"
"Ahsanteni wana kinzungu sasa ningependa kuitaja kafara ya kesho ni mwanangu kipenzi....
Selina akashindwa kuendelea aka angua kilio!.....
Minong'ino ikatawala!,mpaka pale bibi yule kikongwe alipo nyoosha usinga wake watu wote wakatulia! Na kumwacha mama Yule aendelee...
" sadaka yetu ni mwanangu Irine"
Wakati Selina alipotaja jina lile ghafla hali ya hewa ilibadilika, kimbunga kikali kikavuma miti ika anguka vumbi likashamiri!
Viumbe vyote vile vikapigwa na butwaa kwa dhoruba lile!
Alikuwa jambo la kawaida ghafla manyunyu ya mvua yakaanza kama utani na ghafla mvua kubwa ikaanza kupiga!
Sasa viumbe vile vikaanza kutoweka kila mmoja kwa njia yake!
Eneo lile alikukalika tena!....
***
Siku ile ikapita na kuacha historia ya ajabu katika maisha yao!,
Siku ya pili yake ambaye ndo jumatano wakakutana kama kawaida tayari kwa kafara yao!....
Wengi wao wakionekana kuwa na hamu kutokana na kile kilicho onekana kama kikwazo kilichotokea Jana yake na kusababisha tofani tafrani lililo waondosha pale!
Kama kawaida wakaendelea na shughuli zao za kawaida! Mpaka zamu ya Selina akaitwa mbele!
Mwili wote ulimloa jasho kwa kuogopa,kile kilichotokea Jana hata yeye kilimtisha!
Akakisogelea kisu kilichopo katika ungo na kukichukua!....
Akayasogeleamaji yaliyopo katika beseni jekundu na kunyanyua kisu juu!
"Natoa sadaka ya Irine kwenu mizimu ya kinzungu ipokeeni muendelee kudumu milele na milele kinzungu uvinza nzaeeee"
"Nzaeeeeee"
Akakishusha kwa kasi kile kisu kuelekea katika beseni lile!
Ghafla akatetemeshwa na kisu kikarushwa,hali ya hewa ika anza kubadilika kama Jana yake!
Ila siku hii ya Leo hata kupotea awakuweza,mvua akazidi kuwa nyeshea wakiwa uchi vile vile,upepo mkali ukivuma!
Kelele likashamiri!!!....
"Ni nini kinachoendelea hapa?!"
Yule bibi ambaye ndo kiongozi wao akamuuliza mama aliyoko pembeni yake alotambulika kama bi Mwadawa!
"Haaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaa"
Ghafla wakashtushwa na kicheko kikali!,muda ule ule mvua ikikata na pakirudi kama mwanzo!
Kama akukunyesha mvua!
Wachawi wale wakiwa katika taharuki kwa hali ile ambayo aikuwahi kutokea kabla katika himaya yao wakatoa heshima pasina kuamini kile wakionacho katika macho yao!....
Lusifa alikuwa mbele yao....
Nini kiliendelea?!
Je Irine hatakuwa ni kafara na nini kinacholeta gharika?!
Ujio wa lusifar eneo lile utakuwa na nanufaa kwa wachawi wale au utazidi kuwadidimiza

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA PILI (02)
SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA PILI (02)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-pili-02.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-pili-02.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content