$hide=mobile

SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA NNE (04)

SAFARI YA KUZIMU NA ZUBERI MARUMA 04 Whatsupp: 076743310 "Sam mdogo Angu amka!," Akapeleka kichwa chake kusikiliza mapigo ghafla a...

SAFARI YA KUZIMU
NA ZUBERI MARUMA
04
Whatsupp: 076743310
"Sam mdogo Angu amka!,"
Akapeleka kichwa chake kusikiliza mapigo ghafla akaangua kilio baada ya kugundua mdogo wake AMEKUFA!
Selina na mwenzake wakapeana ishara,Selina naye akaanza kulia!...
Majirani usiku ule ule wakaanza kuwasili!....
Bado Sam kule nyuma ya mlango alibaki akishangaa!, Dada yake na mama yake wakilitaja jina lake kwa uchungu kwamba amekufa wakati yu hai...
Akaunyanyua mguu kwa lengo la kutaka kutoka pale akajue kinachowaliza mama yake na Dada yake mguu ukawa mzito!
Akataka kupiga kelele pia akashindwa,macho yake ya utoto akayakaza kuangalia katika kitanda kile akashtuka baada ya kuiona sura inayofanana na yake!
"Mwanangu kwa nini umeniacha!,nitaishi na nani Mimi hiiiii hiiiiiii hiiiiiiiiiiii"
Aliwaonea huruma mama yake na dada yake wakilia!
'Ina maana Mimi nimekufa?!, haiwezekani , embu kwanza subiri!"
Akawaza akitaka kumwambia mama yake asilie yupo hai lakini kila alipojaribu kutoa sauti au kunyanyua mguu atoke kule nyuma ya mlango alishindwa!
Akajikalisha chini na kulalia miguu magotini aka angua kilio
Katu akujua mama yake ndo chanzo cha mambo yote yale,pia akuiona sindano ndogo ilokuwa katika fundo la nguo yake ndiyo ilomzuia kuondoka pale!
Akalia bahati nzuri akapitiwa na usingizi mzito
KESHO YAKE SAA NANE MCHANA
Watu walikuwa wamejaa katika nyumba ile ya kina Selina,wote walikuwa nje wakiendelea na harakati za msiba! ,
Maiti ilitakiwa izikwe saa Tisa siku hiyo hiyo hapo hapo nyumbani ,baadhi ya wanaume walikuwa nyuma ya nyumba ile w akiendelea kuchimba kaburi!
Vilio pia vilisikika,ila ghafla wamama watatu wakiwa uchi wakatokea katikati ya uwa wa nyumba ile!,
Hakuna aliyewaona zaidi ya Selina wakaanza kurudi kinyume nyume mpaka katika ukuta wa nyumba ile!
Wakatowekea ndani ya nyumba ile
Awakukaa muda mrefu wakatokea pale pale katika ukuta walotowekea wakiwa wameubeba mwili wa Sam na kutoweka nao!
Wanaume wakaingia ndani na kuutoa mgomba ule wakijua ndo mwili wa kijana yule waka elekea upande wa mazishi!
Wakamalizia kuzika!
Selina akavunja matanga siku hiyo hiyo!
****
KATIKATI YA USIKU!
Aliyafumbua macho yake na kupokelewa na joto Kali!,kwanza Alishtuka kusikia ngoma zile zilizo kuwa zikipigwa na mwanga ule alo uona katika pembe ya macho yake!
Sam akaitaji kujinyanyua akae kitako akashindwa baadaye akagundua amefungwa kwa kamba! Katika mwili wake!
Kwa pembe ya macho yake alifanikiwa kuona moto mkubwa ulowashwa ukiwa unezungukwa na watu walovaa nguo nyeusi walokuwa wakicheza ngoma ile pia mikononi mwao watu wale walishika vigingi vya moto!
Mapigo ya moyo wake yaka anza kumwenda mbio SAM alitetemeka!
Ilikuwa ni siku ya jumatano siku maalumu ya yeye kutolewa kafara Maskini yeye akujua hilo,japo alijua yupo katika hatari,
Alisikia maumivu makali ya kichwa yalotokana na kulia muda mrefu,meno yaligongana kwa wasiwasi alokuwa nao ghafla akashtushwa na sauti Kali ya kukata kata
"Kinzungu uvinza nzae" ( udumu utawala wa kizungu)
"Nzaeeeeeee" ( udumuuuuuuuu)
"Kinzungu uvinza nzaeeeeee"
"Nzaeeeeeeeeee"
"Ahsanteni wana kinzungu kwa kuwa pamoja tena katika usiku huu,usiku huu wa Leo ukiwa ni usiku mtakatifu kwa kuitoa sadaka ya mwisho kwa mama wa malkia wetu bi Selina mwanaye alokwepo katikati yetu"
Japo Sam alikuwa ni mtoto mdogo lakini alielewa kila kilicho zungumzwa!
'Ina maana ni ukweli mama ni mchawi?!'
Akajiwazia pasina kujua mawazo yake yamenaswa na wachawi wale waloangua vicheko!
Mchawi ni mtu wa ajabu sana!, yeye bi nafsi apendi kuitwa jina ilo la mchawi ni kama jini huwa apendi umwite jini au shetani umwite shetani japo ni jina lake atapenda umuite lusifar jini atapenda umuite jina lake la asili labda Maimuna, Zena Kureysh, Zenaysh, Swalhaty, Zuluwalad ,Zwalad n.k
Vivyo hivyo pale Seli alipoyanasa mawazo ya mwanae na wachawi wenzake kuangua kicheko alichukulia kama mwanaye kamdhalilisha!
Na ghafla akaijenga chuki juu yake na uchungu wote ukayeyuka,akatamani muda ule ule aitafune nyama yake
Lakini aikuwezekana ilipaswa afate taratibu za ibada yao ile ya kutoa sadaka!
"Bi Selina utachukua kisu utamchoma mwanao tumboni sisi tutaikinga damu yake baada ya hapo utampasua ubongo ambapo waruvaa tutampatia damu ya ubongo na utosini kama sadaka yake"
"Ewaaaaaa" Selina akaitika akikishika kisu na kumsogelea mwanaye akakinyanyua juu na kukishusha kwa kasi kuelekea kifuani kwa mwanaye!
"Mama unaniua?!"
Ghafla akashtushwa na sauti ya mwanaye akasita na kuyatoa macho kwa mshangao, ilipaswa mwanaye asiwe na uwezo wa kufumbua mdomo iweje aweze kuitoa sauti tena kwa ukali kiasi kile!....
Si Selina tu pekee aloshtushwa kwa jambo lile hata wachawi wenzake wote walikuwa katika taharuki!
"Watu walikuwa wanasema wewe umeua ndugu zetu kumbe ni kweli mama na Leo una niua na Mimi mwanao!"
Maneno Yale yakamchoma moyo wake Selina!, ghafla akakiachia kile kisu kwa uoga na kuanza kurudi nyuma mikono akielekeza mbele akikataa
"Hapana! Hapana! Hapana!..."
"Nimekukosea nini mama yangu mpaka unataka kuniua?!"
Sam akazidi kulalamika kwa uchungu huku sasa akilia
"hapanaaaaaaaaaaaaaa!!!!"
Selina aka achia sauti Kali,ilochanganyikana na mwangwi!....
JE SELI ATAMUUA MWANAYE?!
NINI KITAENDELEA NA KWA NINI SAM AWE KATIKA HALI ILE?!
ITAENDELEA

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA NNE (04)
SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA NNE (04)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-nne-04.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-nne-04.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content