SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA KUMI NA TATU (13)

SAFARI
SEHEMU YA 13
whatsApp 0655585220
Vijana nao walifanya kile alicho sema kiongozi wao YOROBI, kwa kuchochea chombo kile na kuanza safari, huku binti BERALITA akimsihi YOROBI japo amwonyeshe yule binti NGUVA aliye wasaidia, ishala ya kumuomba samahani kwa kile kilichotokea, lakini YOROBI hakuwa tayri kufanya hivyo kwani alijihisi yupo sahii kumtandika risasi, binti NGUVA, ndipo binti BERALITA yeye pekee ndie aliye inuwa mkono wake nakuupunga kwa binti NGUVA, kumuaga na kumpa ishara nzuri ambayo hata NGUVA yule nae alijibu kwakunyoosha mkono juu ana kuupunga.
binti NGUVA alishindwa kuwatahadhalisha juu ya huko waendako, alibaki akitazama mabaki yalio salia kwani alihisi kazi bado ya kupambana na PAPA wale, lakini alipoona hali iko shwali wala hakutaka kuangaika, na ndipo alipo jitizama kidonda chake, ambaacho kilianza kuhuma kwanguvu akashikilia jelaha, na kuangalia JAHAZI kwa machungu, kwani alipata tabu ya kupambana nao lakini hawakuona kazi aliyokuwa kafanya, na kumzawadia kidonda ambacho hakusitahiri kukipata, basi nae hakutaka kuonesha kinyongo kwao, alibaki akijisemea moyoni, "hawa ndiyo binaadamu, nilikuwa nawasikia tu," alimkumbuka sana binti BERALITA kwani ndie aliye onesha kuwa anafahamu mchango wake alioutoa wakati huo.
kwenye jahadhi nako, BERALITA alibaki akimlaumu sana YOROBI, kwa kitendo alichofanya kwa binti NGUVA, alimkumbusha kuwa ndiye aliye wasaidia yeye pamoja na MWAIPAMBA, na kumuelezea vizuri juu ya alichofanya, mpaka sasa wao ni wazima, YOROBI alichoshwa na kelele za binti huyu, akamtazama kwa mcho makali sana, hakutaka kuongea mengi, zaidi ya kumuomba asirudie tena kuobgea upuuzi wake, akidai yeye anaamini vipi kuwa yule bint alikuwa nimwema kwao, "mtu akikusaidia japo na wewe muoneshe shukrani" maneno hayo aliyatamka binti BERALITA, kwasauti ya upole yenye hisia kali, huku akimtaka sana YOROBI kuacha visa na pindi aonapo msahada, asitie jeuri zake maana alionekana kuwa kama BEPARI, kumzidi mpaka kiongozi wao chifu.
waliendelea na safari yao huku ikionekana kuwa yenye mikosi, sana licha ya kila mmoja wao kujipa matumaini juu ya kufika, lakini kukweli hali ilikuwa mbaya kwao, safari ya kurudi kwenye makazi yao ilipo kuwa ikiendelea,lakini akuna ata mmoja aliekuwa anajuwa, wanapo pelekwa na mfalme huyo, maana siunajuwa kwenye maji ataukigeuka ulipo toa wewe uelewi labda uwe na compas,ndipo kijana MWAIPAMBA nae alipo changia juu ya swala alilokuwa akipewa somo YOROBI na binti BERALITA, huku akimwambia kile kilichotokea ndani ya maji, na msaada mkubwa alikuwa ni huyo NGUVA, nae MWAIPAMBA alimlaumu, pia huku akimsihii asije fanya tena hayo, kamaita watokea tena mbele ya safari, basi nae alipoona hayo nae YOROBI alikubaliana nao, na kuwaomba radhi juu ya kile kilicho tokea, basi nao hawakutaka kujibizana basi yaliisha na kila mmoja wao kuelekea kwneye sehemu yake ya kukaa, safari ilikuwa imepambamoto, hivi huko wanakokwenda kuna nini? ebu somak kisha nijulishe alfu tuone walicho kikuta mbele ya safari, siyo pendine ni hapahapa kwa mdau wako wa story Ahmad Mdowe

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA KUMI NA TATU (13)
SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA KUMI NA TATU (13)
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-kumi-na-tatu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/07/safari-ya-kuzimu-sehemu-ya-kumi-na-tatu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy