$hide=mobile

Young Paster Sehemu ya kumi na nane (18)

Young Paster EP 18 Ilipoishia ………. MCHUNGAJI MCHANGA “unasema kweli mchungaji” “haswaaaa…. Yaani utaamua hata kwenda popote ndani ...

Young Paster EP 18Ilipoishia ……….

MCHUNGAJI MCHANGA

“unasema kweli mchungaji”
“haswaaaa…. Yaani utaamua hata kwenda popote ndani ya nyumba hio lakini hatokaa kukugusa,.. Ila kwa kuongea ataongea sana… Lakini kukugusa hawezi”

Sasa Catherine alipokumbuka hivyo, alinyanyuka na kuelekea chumbani kwa adam… Na kweli adam alikuwa ni wa kuongea tu,
“Catherine unanivunjia miko ya utumishi wangu, tafadhali sana naomba uende Catherine”
Catherine hakutaka kusikia badala yake akaingia, adam hataki hata kuingia huko chumbani…

Sasa adam akakaa katika sofa na kuwaza sana…. Sasa akakumbuka kuna siku alimkuta baba yake anaongea na simu kule nyumbani kwao, na ile simu alikuwa akiongea na baba yake Catherine ambaye ni mr yohana…. Sasa mr jacob kuna swali alimuuliza baba yake Catherine.. Sasa adam ndio anakumbuka siku ile baba yake akamuuliza mr Yohana kuwa….

ENDELEA NAYO…….

Katika maisha furaha ya ndoa na hata kwa familia zote kwa ujumla ni msichana akutwe na bikra yake.. Yaani toka kuzaliwa kwake hajaguswa na mwanaume yeyote yule,… Na mpaka sasa zipo familia ambazo zina uwezo kiasi fulani au ni wacha mungu sana, hua hawataki mtoto wao wa kiume aoe mwanamke ambaye tayari alishachezewa na wanaume wengi, mpaka sasa hizo familia zipo… Sana sana ni wale wacha mungu, haijalishi ni muislamu au Mkristo, hua wanapenda watoto wao kuoa wasichana mabikra na sii vinginevyo,…

Pamoja na ubaya au ushetani wa mr jacob lakini pia katika swala la moto wake adam kutaka kuoa, pia hatki mtoto wake aoe mwanamke ambaye hana bikra,.. Licha ya kwamba hampendi mtoto wake katika roho ambayo ako nayo adam, mana hawa wana roho tofauti,.. Mmoja ana roho ya kishetani na imani yake kwa ujumla, na adam ana roho ya kimungu na wokovu ndani yake, na anapingana na shetani vilivyo… Sasa baba pamoja na ushetani wake lakini hataki adam aoe mwanamke aliochezewa…. Sasa siku ile ilikuwa hivi
___________
“ondoa shaka, hapo watakutana, mana hata Catherine hana mchezo mchezo kabisa”

Lakini mr Jacob kuna swali alimuuliza bwana Yohana kuhusu binti yake, na wakati huo huo adam ndio anakuja sebuleni kwa ajili ya chakula… Lakini adam aliposikia hilo swali alisita kuja sebuleni kwanza ili asikie vizuri, mana lilikuwa ni swali la siri… Na hata sisi wasomaji hatutakiwi kulijua…. Adam alisikiliza umakini mzee wake akimuuliza bwana yohana kuwa…..
“lakini bwana Yohana, nadhani unajua taratibu na sheria za dini yatu.. Kuwa mtoto wa kike anatakiwa awe na uzito gani,.. Eee? Nadhani unanielewa, tusitake kuongea saana.. Hivyo una uhakika mtoto wako ana uzito (Bikra), mana sintopenda mtoto wangu aingie pabaya”
Aliuliza bwana jacob huku mr yohana akijibu kwa kujiamini sana…
“mr Jacob, mimi nimelea.. Na nalifahamu hilo na ndio mana nimemzibiti mapema ili asije kunitia aibu,.. Kila mwezi namuulizaga mama yake, anasema mtoto yupo sawa na mbona anajielewa sana… Kwa hilo ondoa shaka bwana Jacob”
“nashukuru sana kwa kunidhibitishia hilo, mana sitotaka mtoto wangu aoe mschana ambae hana uzito, ni aibu kwangu”
“ondoa shaka”
“sawa… Tuwape tu nafasi yao… Tuwaachie wenyewe”
“sawa mr Jacob, tutaonana kwenye kikao”
Hapo ndio ilikuwa mwisho wa mazungumzo yao… Ilikuwa ni sehemu ya 7, kama Umesahau kajikumbushie…. Sasa hapo adam aliposikia, alitikisa kichwa kama vile mtu aliotaka kufanya jambo fulani..
_____________

Hio ni kumbukumbu aliokuwa akikumbuka adam baada ya Catherine kuingia chumbani kwake,… Sasa ona akili ya adam, akili anayoifanya huenda ikasaidia lakini haijulikani…..
“bwana yesu nilinde kwa hili”
Adam aliomba kisha akauangalia ule mlango wa chumbani ambako Catherine kaingia,….
“kumbe baba yangu hapendi nioe msichana ambaye hana bikra si ndio eeee?. Sasa dawa ni kuitoa bikra ya huyu mschana, ili kiherehere kimuishe, na najua baba akisikia Catherine hana bikra, hatotaka nimuoe…..”
Adam alizima jiko alilokuwa kaliwasha kwa ajili ya kupika… Lakini sasa wazo analolitumia ni wazo ambalo hata mr jehova ndio kataka lifanyike, sasa haijulikani baada ya hapo itakiwaje…. Mana nia ya adam ni kutoa hicho kibikra cha Catherine ili baba yake aachane na mawazo ya adam kumuoa Catherine, kwasababu hana bikra…. Adam anampenda sana eva na wana miaka mingi hawajuani kimwili, leo umletee swaga za mschana wa kidigitali kama huyu atamueza wapi… Adam alisukuma mlango,.. Ila sasa adam mwenyewe nae ni muoga, hajawahi afu ukizingatia ni mtumishi wa mungu, yaani ile hofu ya Mungu na ile hofu ya uongozi alionao na heshima alionayo,.. Mbaya zaidi anaogopa kwakuwa hajawahi kufanya, yaani wamekutana wote mabikra….
“mtumishi, nataka kwenda kuoga, naomba utoke nibadili nguo”
Catherine alishangaa adam anavua shati, Catherine mwenyewe pia ni Mshamba mshamba wa mapenzi sema tu mavazi yake ndio yanamwonyesha kuwa kama mjanja sana lakini, ni bogazi sana kama alivyo adam,….
“mtumishi unafanya nini”
Aliongea Catherine huku akifumba macho na hapo alikuwa anamalizia kuvua gauni lake ili akaoge… Sasa adam kutupa macho kitandani, alifanikiwa kuona chupi ya Catherine, kumbe alitanguliza kuvua chupi.. Sasa adam hisia zikampanda, kana kwamba hapo alipo Catherine hana chupi, ni hilo gauni aliloshikilia tu
Adam alijikaza kiume na uoga wake hivyo hivyo..
“we si unanipenda.. Sasa Unaogopa nini”
Aliongea adam huku akimsukumia kitandani
“nooo mtumishi. Kweli nakuoendasana tena sana… Lakini naomba uniache kwa sasa mtumishi”
“Catherine, hata mimi nakupenda… Sasa kwanini nitedeke hivi… Achana na eva hana lolote yule”
Catherine kusikia hayo maneno, hakuamini maskio yake
“unasema”
“nakupenda cathe”
Wakati huo adam anamshika Catherine mapaja yake, adam anatetemeka, mana hajawahi kufanya, yaani leo ndio anaaza… Na uzuri ni kwamba hata Catherine kweli ni bikra mana hata zile dalili za adam, hazijui… Na kama angalikuwa mwanamke mzoefu basi angemjua adam kuwa hajawahi kufanya…
“adam, kama unanipenda, basi tuvumilie kesho tufunge ndoa… Mimi ni wako tu”
“kesho mbali sana Catherine… Nimezidiwa eti”
Wakati adam kabakiwa na boxer ya ndani, tena ilionekana kuwa ndogo kwa Zakaria wa adam kuvimba kwa hasira,.. Adam alianza kuyashika mapaja ya Catherine, huku akikataa kataa, lakini hisia za mwanamke bikra na mwanamke asie bikra ni tofauti kabisa… Mwanamke Bikra hisia zake zipo karibu sana,…
“aa… A… Aa… Ad… Adam,… To… Toa mkono wako bwana”
Sauti ya Catherine ilisha anza kubadirika kwa kiasi kikubwa mno,.. Alijikuta mpaka anaachia lile gauni liliokuwa kalishikilia kifuania mana alikuwa keshalifungua kila kitu kasolo kulivua tu… Macho ya Catherine yalionyesha dhahiri kuwa kakubali, na adam alivyo hampendi, wala hakutaka hata kumfanyia maandalizi, adam alilivuta gauli lile Catherine kakubali,… Adam kwa mara ya kwanza anaiona siri ya mwanamke,.. Hajawahi kuona live toka kuzaliwa kwake… Yaani hapo ndio mara ya kwanza…. Adam alimshika Catherine kiuno, kitendo cha kushikwa kiuno Catherine alilia milio hata adam haelewi ina maana gani,.. Catherine alikuwa kabana mapaja yake, adam alisukuma paja moja kwa kidole tu, mambo yakakaa sawa….. Adam anavua Boxer yake taratibu lakini Catherine hakutaka aivue mwenyewe, mana aliskiaga stori kuwa kila mtu anamvua mwenzie,… Sasa Catherine yeye hajui kama mwenzie wala hana mapenzi ya kweli, mana akimwambia hampendi kwa maneno hasikiii, sasa ngoja amwambie hampendi kwa vitendo labda atasikia…. Siri ya Catherine ilikuwa kama ya mtoto mdogo, na vile alivyo mweupe mmmhh, sasa Catherine anakuja kushangaa pasta adam alikuwa katunukiwa sehemu za haja ndogo,.. Yaani alipewa vitu vya uhakika..
“haaaaaaaaaa adam mpenzi wangu… Ina mana yote hii inaingia kwangu au”
Aliongea Catherine huku akisitisha zoezi la kuivua hio Boxer…
“Catherine… Mbona ya kawaida tu”
Aliongea adam huku akimalizia kuvua mwenyewe,….
“Please utanianza na kichwa afu kesho tutaendelea mpaka katikati, afu keshokutwa utaingiza baba mchungaji”
Catherine aliongea hivyo akidhani hata wengine hufanya hivyo, kumbe siku moja tu linaingia lote tena bila hata huruma…
“aaaaaaa, vumilia Catherine, mbona ni dakika chache…”
“sawa…lakini, niahidi kuwa utanioa.. Mana staki kuitia aibu familia yangu, ujue hapa unanitoa bikra yangu mtumishi”
“jiamini,.. Wewe ndio mama mchungaji”
Aliongea adam huku akipanua mapaja ya Catherine yalio meupeeee, kisha akaishika Zakaria yake vizuri na kuanza kuingiza kichwa taratibu.. Lakin ghafla Catherine aliruka na kusema
“hapana hapana, mchungaji… Naomba ushike Biblia hii na uapie kama kweli utanioa, nikuachie bikra yangu… Shika baba mchungaji”
Aliongea Catherine huku akimpa adam Biblia takatifu, kitabu cha mungu.. Sasa kwa mtu anaejua dini kuapia kitu cha uongo kwa kutumia kitabu cha mungu ni ngumu…
“Catherine, basi sintoitoa bikra yako ili uamini nitakuoa… Nipe nichovye chovye juu tu”
Aliongea adam, lakini Catherine akiangalia hio Zakaria ya adam, sio ya kuchovya chovya juu juu tu kama anavyodai yeye…
“adam, nakupenda toka moyoni,.. Natamani uwe mume wangu,.. Bikra ni yako hii, kwanini usivumilie mana saa yoyote tutaoana mtumishi”
Aliongea Catherine huku akilia, na ni jimama kubwa tu lakini anaogopa dudu,…
“Catherine, nia ya kufanya kabla ya ndoa… Niijue radha ya viuno vyako… Je nikioa mke gogo hajui hata kukatika… Hapa ni kama nakufanyia intaviuu, ukishindwa na kiuno chako kizito basi teba”
Aliongea adam kisha akamfuata taratibu na kulipanua paja tena… Catherine kakubali, tena kajisogeza karibu zidi
“usiingize yote lakini baby please”
“Usijali…”
Adam alishika Zakaria tena na kuichomeka… Lakini Catherine karuka tena, na kusema
“No, No, shika Biblia hii apia kuwa utanioa adam, tafadhali sana.. Shika na unihakikishie kwa kutumia kitabu cha mungu”

Je? Nini kitaendelea?? Adam atafanya nini?? Na je Catherine atakubali bikra yake itoke… USIKOSE

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster Sehemu ya kumi na nane (18)
Young Paster Sehemu ya kumi na nane (18)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-kumi-na-nane-18.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-kumi-na-nane-18.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content