Young Paster sehemu ya ishirini ya tano (25)

YOUNG PASTER EP 25Ilipoishia ……….

MCHUNGAJI MCHANGA

Adam aliongea kwa sauti huku akiweka Biblia zake katika kibegi…
Mara rose akanyanyuka kabisa,.. Mercy alifurahi kimoyomoyo kwa kumuona rose kunyanyuka aondoke zake…. Lakini ghafla rose akasema
“mtumishi,… Nionyeshe jikoni kwako nikuoshee vyombo ndio niondoke”
Daaaahhhh mercy alichola,….. Huku akijisemea kimoyomoyo kuwa
“we rose, si uondoke, kama ni hivyo vyombo nitaosha tu”
Aliongea mercy lakini ni katika moyo wake,… Na yeye akaona wala sio mjinga… Hapa hakuja kufanya maombi kamfuata adam….
“mtumishi… Nguo zako chafu ziko wapi… Nikusaidie kufua”
Huyo ni mercy nae anataka nguo chafu za kufua….. Adam alioa hii sasa kali ya mwaka…. Atafanyeje… Na nani ataondoka wa kwanza???….
Hajakaa vizuri, mara simu ya adam ikaita, kuangalia jina alikuwa ni wini,
“hallo, tumsifu yesu Kristo”
Alianza adam kusema hivyo kisha wini akapokelea
“milele amina… Baby? Nipo getini kwako hapa nimekuja kuchukua chupi yangu”

SONGA NAYOOOOO………


Siku ya balaa ni balaa tu,.. Walisema kuwa siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza, ingali mwanzo haikuwa hivyo,… Wakati Adam anadiskasi wasichana wawili waliokutana kwenye nyumba moja na wote wamefata kitu kimoja,…. Sema hakuna anaejua mwenzake kaja kwa niaba gani zaidi ya kuja kuombewa.. Hivyo kila mtu anajua mwenzie kaja kuombewa, hivyo kila mmoja wao anajua fulani aki anya hio kazi ataondoka kisha atabaki na adam,

Lakini wakati wasichana hao wanajichagulia kazi za kufanya, ghafla simu ya adam ikaita, kuangalia alikuwa ni wini… Alichoka kuskia wini yupo katika geti lake kaja kuchukuwa chupi, na anajua sio kuwa kaja chukua chupi, bali kaja kulala na adam, na hapo ni mchana wa saa nane…
Adam hakutaka kumjibu lolote badala yake alikata simu kisha akaelekea gari yake na kuichukua ile chupi ya wini kisha akatoka nje ya geti,… Wakati huo kule ndani, kweli kila mmoja kashika nafasi alio itaka,.. Rose alikuwa yupo jikoni,…. Na Mercedes alikuwa katika chumba maalum kwa ajili ya kufulia,… Kwahio hapo kila mmoja yupo bize na kitengo chake….

“niambie wini….. Shika nguo yako”
Aliongea adam huku akimpa wini nguo yake
“mbona hutaki niingie ndani… Nina hamu na wewe”
Aliongea wini huku akilazimisha kuingia ndani… Lakini adam alimzuia huku akisema
“winiiiii,… Dada yupo ndani,… Tena asije akashtuka kuwa naongea na mwanamke huku nje… Chukuwa utakuja kesho”
“dada yako kaja saa ngapi nae”
“si unajua tena… We nenda uje kesho”
“mtumishi, nakupenda eti… Nioe”
“sawa, we nenda basi jamani wini”
Wini alikufa na kufia moja kwa moja kwa adam yaani kasahau kuwa adam ni mchumba wa rafiki yake….
“Nakupenda eeeee”
“sawaaaaaa”
Wini alitamani kuolewa hata siku hio mana kapewa penzi siku moja tu lakini kanasa mazima…

Adam alipumua kwa nguvu, kwani kaua soo lingine ambalo lilikuwa linajitokeza,… Sasa anarudi ndani kupambana na waumini wake,.. Adam aliingia chumbani kwake kisha kuingia bafuni ili akoge maji…

“huyu rose hajamaliza tu hivyo vyombo aondoke… Hajui mi nataka nimpe raha mtumishi”
Aliongea mercy huku akiwa anasuuza nguo ambazo alikuwa kataka kuzifua na yote hio wamejipa kazi ili kumfanya mmoja wao awahi kuondoka, lakini sasa wote wanaviziana nani aondoke japo kila mmoja hamuwazii mwenzie kuwa kamfuata adam… Kila mmoja anajua mwenzie kaja kimaombi hivyo anamseidia tu mchungaji.. Kumbe wote lengo lao moja, sema hawajijui tu…

“mtumishi nipe hizo ulizovua ili nimalizie”
Aliongea mercy huku rose kasikia
“huyu mercy nae,.. Si amalize aondoke anadai nguo zingine za nini tena”
Aliongea rose ila wakati huo alikuwa akipika, yaani kamaliza kuosha vyomba, sasa kuliko akae akaanza kupika… Kazi nyingine hio, mana kule kwa mercy alichukuwa suti mbili tu ili kupoteza muda,.. Sasa kaona rose bado hajamaliza kaongeza nguo za kufua…
“sawa hizi hapa”
Mercy aliangalia huku na kule kisha kaingia chumbani kwa adam… Alipofika sio kuchukuwa nguo tena
Alimrukia adam huku akisema
“hili likondoo lako mbona limeganda.. Msaada gani hatoki huko jikoni”
Aliongea mercy bila kujua kuwa hata yeye anatamaniwa aondoke, kama anavyotamani mwenzie aondoke…
“hana shida… Kapenda kunisaidia”
“najua…. Ila naona hapa nafasi hakuna, naomba unionjeshe hata bao moja tu, niondoke, mana kondoo wako kaganda hatoi hata nafasi”
“kwanini usije kesho…. ”
“mmmhhhh… Mchungaji… Kesho, yaani nikuache na mschana humu”
“kwaio mi malaya sio”
“mmmhh basi baba mtumishi… Nitaondoka, lakini nataka nionje uume wako”
Sasa kabla adam hajajibu, Mercedes kavuta taulo la adam…. Laaaaa haulaaa, kakuta uume wa adam unaangalia juu… Kana kwamba ulishanasa network saa mingi…
Mercy hajavua hata nguo… Kamsukuma adam kitandani kisha akapandisha sketi yake,… Aliivua  hupi yake kisha akaiweka kwenye kifua chake, yaani pale wanawake wanapoweka simu au hela… Akaiweka pale kisha akamparamia adam,… Hata maandalizi hayajafanyika,… Dhakari imeingia mahala pageni,.. Mercedes anaizuia isiingie yote, mana itamuumiza au hata kumsogeza kizazi…
“mtumishi…. Mmmmhhhh sio kwa naniii hii jamani”
“vumilia tu”
“hili likondooo lako limenikera kweli”
Aliongea mercy huku viuno vikichukua nafasi yake, adam hakuchelewa kufika mshindo, mana alikuwa akikatikiwa kwa haraka sana

Baada ya muda mercy aliaga anakwenda zake,… Aaahh rose haamini kama mercy anaondoka, na wanajuana vizuri mana husali kanisa moja, na hata kabla ya kanisa la adam kufunguliwa walikuwa wakisali katika kanisa la mr Jacob,.. Hivyo wanajuana vizuri tu… Basi rose aliivisha chakula kisha wakaanza kula wakati huo adam anashika shila mipaja ya rose iliofunga tena ilikuwa minene, mana rose sio mrefu sana.. Ni kibuushuti mfupi wa wastani na mnene kiasi hivyo mipaja yake sasa Uuuuuuuuuwiiiiiiii, kama hujawahi kusex miezi kadhaa.. Ukiiona yu unaweza kujiachia… Walimaliza kula kisha rose bila wasiwasi wowote akaosha vyombo mana anajua wapo peke yao tu,…

Huku nyumbani kwa akina eva,.. Wakati eva katulia zake ndani anasoma Biblia, wini alikuja kumtembelea, sasa ilikuwa ni saa tisa inakwenda saa kumi, hivyo wini kaja kumchukua waende kwenye ibada ya maunganiko,.. Yaani cahin player…
“weeeeee wini jamani karibu”
“Ahsante,.. Za masaa mawili matatu”
“aahhh safi tu”
“leo Nimekuja kukupitia, ikifika saa kumi tuondoke”
“sawa… Nami nilikuwa napitia baadhi ya mistari hapa… Ili nikifika tu naanza nayo”
Aliongea eva huku wini akaanzisha mada
“ivi adam atakuja leo chain player”
Aliuliza wini huku eva akijibu kiwa
“pasta adam hajagi chain player,.. Labda kuja kuangalia waumini wake, lakini hua hajagi”
“oooohhh… Sawa.. Ivi, kweli una nia ya kuolewa nae kweli”
“heeeeee, leo wewe ndio unauliza hilo swali au jibu”
“yule ana hela, atakutesa bure tu”
“winiiiiiii… Mbona leo sikuelewi jamani”
“achana na adam… Matajiri hawana dogo…. Mimi nikikutana nae, namwambia eva hakupendi”
“wini… Wini.. Naomba uishie hapo hapo.. Sitaki ugomvi na wewe”
“hata mimi staki ugomvi na wewe ila naona unapotea…. Kwanza adam anataka mwanamke kwa masharti”
Aliongea wini huku akitaka eva ajibu
“masharti yote, nimesha yatimiza.. Hapa nimebakiwa kuolewa tu”
“sawa ila pasta adam… Anataka msichana bikra”
“mama wewe…. Mimi hata harufu ya mwanaume siijui… Yaani hio bikra ataikuta nene kama kidole… Mana imejaaa kwa kutunzwa”
“eeeeti eeeeeee…. Bikra hio”
“ndio…. Ila wini… Mbona leo umekuja koutofauti sana”
“nimeamua kukuchemsha tu”
Aliongea wini lakini hapo alipo kakasirika kwa kulingishiwa bikra… Wini alikuja ili waondoke na eva kwenda kanisani kwenye ibada ya miunganiko,… Lakini wini aliaga hapo hapo kuwa anatoka na atakuja tena ili waondoke… Eva akakubali na wini akaondoka zake… Sasa alipofika njia alikumbuka maneno ya adam,… Sasa kumbe pale alipokwenda kuchukua chupi.. Kumbe waliongea hivi…

“dada yako kaja saa ngapi nae”
“si unajua tena… We nenda uje kesho”
“mtumishi, nakupenda eti… Nioe”
Adam aliposkia wini anasema amuoe, adam hua ni msema kweli, na hataki amjenge mtu akae akijua kuwa ataolewa na adam,.. Hivyo ampe ukweli….
“wini, nisitake kukudanganya… Mchungaji kama mchungaji, hatakiwi kuoa mwanamke ambae hana bikra… Hata kama kafanya mara ya kwanza na ndio hio hio, haturuhusiwi…”
“kwahio mimi unanichezea tu”
“sina maana hio…. Lakini ujue kuwa nampenda eva”
“haya na huyo eva akiwa hana bikra”
“siwezi kumuoa…. Nitajikuta tu sasa naoa yeyote, hata wewe naweza kukuoa japo nitapata aibu kuwa nimeoa mwanamke aliewahi kutembea na mtu mwingine”
“kwahio kama eva hana bikra… Kuna uwezekano wa kunioa”
“ndio,… Kwanza we mweupe mweupe”
Adam alimwambia hivyo wini ili tu aridhike,…. Na ni kweli mchungaji hatakiwi kuoa mwanamke ambae atakuja kuaibishwa na waumini kuwa mbona kabla ya kuolewa na fulani, alishawahi kutembea na fulani.. Hilo ndio jambo linalokwepa, mana mke wa mchungaji ni mchungaji wa pili, hivyo anaweza kusimama mazabahuni badala ya mchungaji… Hivyo mke wa mchungaji hatakiwi kiwa na kashfa yeyote ile ya kidunia..
“sawa, we nenda basi jamani wini”
“Nakupenda eeeee”
“sawaaaaaa”
Adam aliitikia tu lakini sio kuwa kweli atamuoa wini, sasa wini yeye kuskia kuwa adam akikosa mwanamke bikra ataoa yeyote yule…. Wini akajua hio ndio nafasi…. Alipofika mahali akasimama kwanza na kujiuliza
“niende kwa eva, nimpeleleze ni kweli ana bikra au laaa… Mana ndio kiherehere yule”
Aliongea hivyo kisha akapitia kwao kuweka ile nguo aliokwenda kuichukua kwa adam kisha akaenda kwa akina eva….

Sasa baada ya kuongea na eva wini alitoka kwa akina eva… Hapa sasa kumbukumbu imeisha,… Sasa wini kaenda kwenye vijiwe vya wahuni… Kaita vijana wawili kwanza kawapa elfu kumi ya maongezi…. Haikujulikana waliongea nini na wale jamaa wawili…

“Samahanini vijana wenzangu.. Siwajui hamnijui si kweli”
Aliongea wini, na wini ni bonge la toto haswa
“kweli sista hatukujui”
“sasa skieni.. Nina kazi moja… Nina rafiki yangu… Nataka mumfanyie vitu”
Aliongea wini, lakini jamaa wale walishtuka sana…
“tumfanyie vitu,.. Vitu gani sasa sista wangu”
“mumbake…. ”
“Heeeeeeee…. We sista vipi… Hutupendi eee”
“laki moja nawapa”
Wale vijana ni wavuta bangi, wapo vijiweni tu hawana kazi… Leo wanasikia laki moja na usawa huu wa vyuma Vimekaza….
“utani wa kazi sista sisi hatutaki…”
“mkimaliza kazi nawapa pesa yenu”
“advansi kwanza sista”
“saw… Elfu 50 hii hapa…. Mkimaliza kazi, nawamalizia hela yenu”
“ok tupe mpangilio wa kazi”
Jamaa wamekubali kazi, na sasa wanataka wapewe mpango mzima
“hua tunakwenda kanisani kwenye ibada ya chain player, tunaingia saa kumi jioni”
Jamaa kuskia saa kumi jioni walitaka kugombana na wini
“sasa saa kumi jioni kama saa hizi utambakaje mwanamke… Au wataka tuishie jela… Acha ujinga we sista”
“sikilizeni basi wakaka….”
“saa kumi jioni haifai.. Bora iwe saa moja usiku”
“sasa.. Sisi tunaingia kanisani, saa kumi jioni ila tunatoka saa nne usiku”
Jamaa kuskia wanatoka saa nne usiku, waliona mbona ni muda muafaka huo….
“hapo sasa safi… Enheee, tutakaa wapi”
“kuna muembe flani kama mita 500 kutoka kanisani.. Huo muembe kuna giza sana… Mtakaa hapo mkimsubiri”
“sasa sisi hatumjui, tutajuaje kuwa anakuja yeye, ili tusije kufanya makosa kwa mtu mwingine”
Jamaa waliongea hivyo lakini wini akawajibu kuwa…
“ili mjue kuwa anakuja,… Nitawahi kupita mimi pale chini ya muembe afu nitawaambia, anakuja…. Hakikisheni kila mmoja anaridhika kimapenzi sawa”
“hilo ondoa hofu… Huyo tunampiga mitungo ya kutosha….. Saa tatu tutakuwa pale sawa”
“sawa…. Ila kuweni makini, mana sio ishu ya mchezo hii”
“ondoa shaka… ”

Wini aliwapa maelekezo kanisa lilipo kisha akaondoka zake, hapo alikwenda tena kwa akina eva kumchukua ili waende kanisani kwenye ibada ya maunganiko,… Maskini eva bila kujua tena alikuwa na furaha leo kaongozana na rafiki yake kwenda kanisani, mana hua wanakutana kule kanisani tu….

Baada ya masaa kadhaa huku ndani kwa adam, ikiwa ni mida ya saa nne usiku adam alikuwa kashikilia kiuno cha rose,.. Rose hakutaka kurudi kwao, mana kanogewa na utamu wa pasta adam,… Wakati huo adam anajiandaa na raundi ya tatu, hapo bado kama mpya, rose mwenyewe ndio anaona kama wanaanza vile,… Yaani utamu ndio unazidi kunoga, mana rose alikuwa mtamu na anasisimua kitu ambacho adam hakutaka kiende mbali mana siku zote huonjeshwa tu.. Sasa leo analala na rose mpaka asubuhi,… Lakini wakati adam anampanga rose staili fulani ili aendelee na mzigo,.. Ghafla simu yake inaita…. Rose akaikata ile simu ya adam,… Lakini adam hajaona aliopiga usiku huo alikuwa ni nani,… Saa hio ni saa nne na dakika kama 10 hivi,… Mara ikapigwa tena, sasa adam akaichukua kwa nia ya kuizima, lakini alipoangalia jina alikuwa ni eva ndie aliekuwa akipiga usiku huo…
“hallo… Habari yako”
“salama…. Mtumishi, njoo unichukue hapa kanisani,… Naona kuna watu pale kwenye muembe na sijawahi kiwaona, afu wanavuta sigara”
“ahahahahahahahaha… We eva muoga wewe… Hao ni sungusungu (walinzi wa usiku)… We rudi nyumbani”
“mmmhhh sawa… Mana nilikuwa namtegemea wini, sasa nae sjui kapitia wapi”
“wala hakuna shida, hao ni walinzi tu… We pita tu sawa”
“sawa… Samahani kwa kukuharibia usingizi baba mtumishi”
“Usijali”
Simu ilikata kisha adam akatupa simu kitandani,…. Laiti angejua wale sio sungusungu, sijui adam angachukua jukumu gani,… Eva bila woga ndio anatoka kanisani mwenyewe mana wengi wao walikuwa na usafiri wao… Kasoro eva na wini, ila wini hakuepo hapo… Eva alimpigia simu wini
“haloo wini,.. Sasa mbona umeniacha”
“ooohhh pole.. Niliwahi kununua vocha, ila nipo hapa mbele ya muembe, wahi utanikuta hapo mbele”
“sawa”
Eva alikata simu kisha akaianza safari, na hata mbala mwezi hakuna
“sasa skieni,… Uyo malaya anakuja… Mfanyeni haswa… Mana ana bikra.. Hakikisheni damu zinamtoka mimi naondoka zangu”
Aliongea wini kisha akageuka na kupiga hatua
“sista… Huyo sista ndio yuleee anaeanza kuja”
“yes… Ndio yule… Mimi staki ushahidi… Tena mkiona vipi, rukeni hata upande wa pili kabisa”
“nenda sasa, we tuachie kazi yetu”

ITAENDELEA…

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu ya ishirini ya tano (25)
Young Paster sehemu ya ishirini ya tano (25)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-ya-tano.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-ya-tano.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content