$hide=mobile

Young Paster sehemu ya ishirini na tisa (29)

YOUNG PASTER EP 29 Ilipoishia ……….. MCHUNGAJI MCHANGA chaaaaa, yaani bado tu…. No, no, no, please adam, fanya hapo hapo ilipofikia”...

YOUNG PASTER EP 29Ilipoishia ………..

MCHUNGAJI MCHANGA

chaaaaa, yaani bado tu…. No, no, no, please adam, fanya hapo hapo ilipofikia”
“lakini kiwango ulichokiweka bado”
“adam… Yaani hapo ukiendelea naumia…”
Mercedes alitamani hata kulia, kweli kawazoea baadhi ya wanaume lakini sio adam, mana khaaa, haendani na hali hio… Basi adam alianza kuingia na kutoka lakini anaona kabisa ipo juu juu sana… Adam akaongeza kidogo
“ooohhh pasta… Usinifanyie hivyo mtoto wa mwanaume mwenzio… Nipe raha,. Ukiingiza yote ni karaha na huenda ukanipa kilema cha uzazi.. Tafadhali sana,.. Afu ukifikia kufika mshindo usimwagie ndani… Mana utaiminya ndani mwisho utaingiza yote”
Aliongea mercy lakini Adam alikasirika kwa masharti ya Mercedes yalivyo makubwa, adam kwa hasira aliamka kitandani kisha akaivua ile kondom na kuitupa huko..
“amka uende zako…. ”

SONGA NAYO……..


Katika maisha ya kawaida, huwa wanawake wana kanuni moja, hua wanapenda sana kitu kukiona lakini kukifanyia kazi hua hawawezi,… Tukija katika swala la mapenzi, hua wanawake wanapenda sana kuona uume mkubwa,… Lakini hicho ni kipendo cha macho yao tu, mwanamke akiona mwanaume ana uume mkubwa anafurahi sana, utafikiri ni kitu alichokuwa akikisubiria kwa muda mrefu, lakini sasa cha ajabu unapoingiza uume huo, anakushika tumbo, kama vile anakuzuia… Sasa zile furaha za mwanzo kuona uume mkubwa zilikuwa ni za nini… Tabia hii imewafanya wanaume wenye maumbo madogo, kujiskia vibaya na kukata tamaa ya mapenzi, wakati kumbe hilo hilo umbo dogo ndio starehe kubwa kwao… Lakini wanakazania umbo kubwa ingali kwenye kazi hawataki litumike… Acheni hizo wanawake….

Sasa huku kwa mr adam au mchungaji adam…
Alikasirika na kuivua kondomu kisha akaitupa huko na kumtaka Mercedes aondoke zake
“amka uende zako….”
Aliongea adam huku Mercedes akiwa haamini kama kweli adam anamfukuza nyumbani kwake kisa kushindwa kuhimili maumbile yake,..
“Nisamehe adam mpenzi wangu… Basi fanya uwezavyo, lakini angalia usiniumize”
Aliongea mercy huku akipiga magoti mbele ya adam, mana kweli adam hakuwa na utani juu ya mercy kuondoka zake,…
Adam aliposkia hivyo alimshika mercy na kumtupia kitandani, wakati huo sasa hakuna cha kipimo cha kondomu wala nini, yaani itakapo ingia ndio hapo hapo,… Mercy kajipanua lakini alikuwa ni muoga mno, adam bila kupoteza muda kamshika mtoto wa kike na kuunyanyua mguu mmoja begani, sasa hivi adam ni ticha wa haya mambo, yaani hakosei….
“uuuuuuwiiiiiiiiiii addddddddiiiiiii apo apo mtumishi”
Mercedes alipiga kelele huku akimtaka adam aishie hapo hapo ilipofikia,.. Sasa hapo adam akaanza ile ingia toka, ingia toka….

Huku nyumbani kwa akina eva, ikiwa eva karudi kanisani misa ya mchana katika ibada ya chain player, mana sasa kabadilisha misa badala ya usiku sasa ni mchana…
“bite,.. Apa wifi Jessica kuniambia niende kwao”
Eva alikuwa akimwambia mdogo wake kuwa Jessica, dada yake na adam amemtumia meseji, mana si karudi misa ya mchana hivyo saa kumi hio hakuwa na kazi zaidi ya kujisomea Biblia yake,…
“unasema kweli dada”
“ndio”
Mara mama yao kawasikia mwanzo mwisho, alikuja na kukaa nao kitako
“hivi eva mwanangu, ni kweli jana usiku hujananii wewe”
Mama alimuuliza mtoto wake kuwa jana usiku kwenye lile pori hajabakwa kweli, mana mama haamini kabisa kuwa eva alizimia lakini hajabakwa
“mamaaa…. Naapa kwa jina la mungu, sijaguswa mama”
“kwahio, nitarajie mahari hapo sio”
Aliongea mama kama utani huku akicheka
“mmmhhh mama, mi sitaki mahari kwangu… Mi nataka aninunulie Biblia kubwa inatosha”
“Biblia si unayo we mtoto”
“ndio, ila sijanunuliwa na mume wangu,.. Na hii sio kubwa, mi nataka ile kubwa ambayo ina AGANO JIPYA NA AGANO LA KALE humo humo”
“mmmmhhh, haya mwaya watu na waume zetu”
“mama jamani… Kwani hupendi”
“heeeeee mimi tena…. Siku unaolewa sijui nitafurahi vipi”
“afu mama nachelewa ujue… Naenda kwa akina mtumishi adam”
Mama kuskia eva anakwenda kwa akina mtumishi adam alishtuka
“wewe una kichaaa… Hujui kuwa mwenzio ana masharti ya kutoishi na mwanamke mpaka atakapo oa”
“sio kwake mama…. Kwao”
“aaaaaAAAAAAhhh kumbe kwao”
“ndio, wifi kanitumia meseji hapa kasema niende”
“sawa lakini usichelewe kurudi… Na upande bodaboda usitembee kwa mguu”
“sawa mama…. Bite twende”
Eva alitamani kuondoka na bite mdogo wake lakini mama kaingilia kati
“hapana,.. Mkienda wote nani atafanya kazi za humu ndani.. Au kuna ndugu yenu mwingine”
Aliongea mama huku eva akijibu
“basi mama…”
“nenda huko, usichelewe mama sawa”
“lakini mama, kwani hata nikilala huko kuna nini”
“weeeeeee, utachokwa mapema mwanangu usifanye hivyo… Tena hata hio kwenda kwenda mara kwa mara haifai kwasababu watakuchoka… Hutakiwi kuzoewa kwa wakwe… Inatakiwa wakuone hamu kila siku”
“sawa mama angu, nimekuelewa… Saa 12 mbili kamili nipo hapa”
“ole wako uje saa mbili hapa”
Mama na watoto wana furaha japo maisha yao ni magumu na ya kumtegemea adam,.. Kwasababu mr Joseph ambae ni baba yake eva, alikuwa ni mzee wa kanisa la baba yake adam… Lakini cha ajabu baada ya kufariki mzee huyo mr Jacob aliitupa mbali familia hio,.. Mana walikuwa wakiifanya kazi ya mungu na walilishwa na waumini wa kanisa hilo mana kanisa ni kubwa hivyo hata sadaka inapo toka, mafungu hugawanywa… Kuna fungu kwa ajili ya kusaidia watoto yatima, walemavu, na wengine wengi, lakini hapo hapo kuna fungu la viongozi wa kanisa kwa wale waliojitolea kuacha kazi zao na kuja kufanya kazi ya mungu.. Hawa nao wana fungu lao.. Lakini mr Jacob hakua mwangalifu katika familia ya mr Joseph ingali alikuwa ni mzee wa kanisa lake,.. Ndipo adam akalichukuwa hilo jukumu la kuiangalia familia hio baada ya baba yake kuitelekeza… Hivyo licha ya kwamba adam ni mchumba wa eva, lakini bado pia ni kama baba wa familia hio,… Na uchumba wao ulianza kabla ya mr Joseph kufariki dunia,.. Hivyo mr Joseph anajua kuwa mtoto wake ana mahusiano na mtoto wa mr Jacob,..

Huku kanisani sasa wapo akina wini, Angel, Miriam, Veronica, na rose.. Hawa ndio wasichana wanaolisumbua kanisa bila kumsahau Mercedes ambaye yupo na adam kule kitandani, na hawa wanajuana kama waumini wa pamoja.. Sasa kumbe sababu ya wini kutokuja misa ya mchana na mwenzie eva, kumbe alitaka aje kumtangazia eva kwa kile kilichomkuta, mana eva hayupo hapo kanisani
“iv jamani, mama mtumishi mbona simuoni”
Aliongea wini kinafiki wakati anajua kabisa eva kaja misa ya mchana na keshaondoka zake,..
“hata sisi tunashangaa hatumuoni leo”
Alijibu Angel, huku wengine wakitaka kujua kulikoni,…
“sasa sikieni… Ivi mnajua kuwa eva jana alibakwa”
Kila mmoja wao aliokuwepo hapo alitoa macho kwa mshangao wa hali ya juu,..
“unasemaje we wini”
“ayaaaa… Eva jana kakutana na midume miwili usiku pale muembeni”
“wini unasema kweli”
“leo ulipokuwa unakuja hujaona simu iliokanyagwa kanyagwa na gari pale kabla ya kufika muembeni”
“aaaahhhh sawaaa… Ina maana ni simu ya eva ile”
“ndio… Sasa kama huamini twendeni niwapeleke mpaka mahali utakuta chupi, sio sketi, yaani chupi kabisaaa.. Twendeni”
Kutoka hapo mpaka mahali alipobakwa eva sio mbali ni jirani sana na kanisani,… Akina vero na Angel na miriam waliamua kwenda kushuhudia, si unajua mambo ya umbea yalivyo… Ili kila mtu ashuhudie
“haaaaaaa jamani, kweli hii ni chupi yake… Hata sketi yake ile pale”
Aliongea vero baada ya kweli kukuta nguo zote zipo kwenye majani majani huko…
“niliwaambia mimi eva kabakwa mwenzangu…. Kale kabikra kake anakoringia kumpatisha mama yake mahari kubwa hakapo tena.. Na mtu anaetarajia kumuoa hawezi oa mwanamke aliobakwa”
Aliongea wini huku kila mmoja akiangalia nguo za eva,… Lakini wini hajui kuwa eva alikuja chukuliwa na nani, na alibakwa au laaa… Jamani bora mchawi kuliko mbea,.. Basi wasichana wote walirudi kanisani kuendelea na ibada kama kawaida yao kutoka saa nne, na saa nne hio kuna wengine wanakuja kukesha mpaka asubuhi,…. Sasa karibia kanisa zima likaanza kujua kiwa eva jana alibakwa, eva jana alibakwa… Sasa kuna huyu miriam huyu ana urafiki na Jessica, saa ngapi hajapiga simu kwa Jessica.. Ambae ndio dada yake na adam
“heeeeeeee best kuna kipele kinaniwasha na kinawahusu nyie mkijue”
Aliongea miriam huku akikaa vizuri katika gadeni ya hapo kanisani,…
“kuna nini tena miriam”
“wifi yako huyo”
“nani tena”
“humjui wifi yako”
“kiukweli nina mawifi wengi sasa sijui nani mmoja wapo”
Aliongea Jessica mana anajua umbea wa akina miriam ulivyo…
“namuongelea eva… ”
“aaaaa… Wifi eva… Mbona hana shida na leo nimemwita hapa nyumbani tupige stori…. Mana baba keshakubali amuoe eva”
“sasa sikia jiwe zito hilo…. Mwambie baba yako kuwa… Eva hana bikra tena”
Aliongea miriam huku Jessica akishangaa maneno gani hayo anaongea miriam
“we miriam, unaongelea nini”
“heeeeeeeeee… Ivi huna taatifa zozote kumbe…. Heheeeee haloooooo, kaka yako anaoa kopo bibie”
“miriam, kama huna cha kuongea kata simu tafadhali sana”
Jessica alikasirika baada ya miriam kucheka kishangingi..
“sikiliza wewe wifi mtu…. Eva jana kabakwa tena kwa hiari yake, eti ili amkomoe kaka yako kwasababu anataka kumuoa yule mtoto wa mr Yohana,… Jana.. Na kama huamini fungua wasapu nikutumie nguo zake zilivyochanwa jana mpaka chupi imechanwa chanwa… Fungua wasapu uone”
Sasa ile Jessica anapata taarifa hizo, mara eva nae ndio anaingia kwenye geti la wakwe zake… Yaani taarifa zake zinafika na yeye ndio anaingia
“hebu kata simu kwanza na utume hizo picha kama ushahidi nimuonyeshe mama……”
Simu ilikatwa, sasa eva alijua atakimbiliwa na Jessica kwenda kumpokea japo hakuwa na chochote alichobeba… Jessica kwa hasira aligeuka na kuingia ndani kwa mama yake…. Kabla hajafika kwa mama yake, ghafla picha zikaingia kwenye simu ya Jessica,…
“mamaaaaa”
“Abeee, kuna nini”
Mama aliitikia huku akija kama kumfuata Jessica…
“kuna nini”
“angalia”
Jessica alimpa simu mama yake na kuanza kuangalia picha…
“hii sketi si ile ambayo, tulishoneshaga kwa ajili ya kwaya”
“ndio hio hio”
“sasa nani kaitupa huku….. Khaaaa hii si nguo ya ndani hiii”
“ndio”
“sasa mbona husemi unaitikia tu”
“mwali wako huyo.. Kabakwa jana”
“whattttttttt?? Una maanisha eva au nani”
“kwani kuna nani mwingine…. Na inasemekana kuwa, alibakwa kwa hiari yake ili amkomoe kaka adam kwasababu anataka kumuoa Catherine”
“Whaaaaaat,… Ina maana huyu mtoto ni mchafu kiasi hiki…. Ngoja kesho kanisani tutaonana tu”
Mama hakujua kama eva keshafika hapo nyumbani…
“kanisani gani sasa na wakati eva mwenyewe yupo hapo sebuleni kaja sasa hivi”
“kaletwa na nini nyumbani kwangu”

ITAENDELEA…..

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu ya ishirini na tisa (29)
Young Paster sehemu ya ishirini na tisa (29)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-tisa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-tisa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content