Young Paster sehemu ya ishirini na tatu (23) | BongoLife

$hide=mobile

Young Paster sehemu ya ishirini na tatu (23)

YOUNG PASTER EP 23



Ilipoishia….

MCHUNGAJI MCHANGA

“mtumishi, naomba uvute subra, nije kwako”
“no, bwana nina hamu”
Sasa huku nje kuna mama mtu mzima anakuja chooni kupata haja, afu adam ndio yupo kwenye korido ambayo imeunganisha vyoo vyote.. Maskini mama huyo alikuwa apidi kweli,… Mpaka akafika kwenye hio kordo,.. Saa hio adam anapekenyua chupi ya rose, hana habari kama kuna mtu anakuja, tena mama mtu mzima na heshima zake… Na adam ana heshimiwa na kila lika… Leo anakutwa chooni tena akiwa na mwanamke….. Rose alikuwa anakataa, lakini alijikuta anakubali,.. Mana kaambiwa anapiga kimoja tu… Adam aliipekenyua chupi ya rose, mpaka akaishusha kidogo,.. Wakati huo mama mtu mzima ndio anapanda ngazi ya kwanza kufika korodoni ili aingie chooni, na hapo korodoni ndipo walipo akina adam.. Sketi ya rose ipo chini,.. Kashawishiwa mpaka kakubali, sasa alikuwa anainama ilo adam afanye huduma zake…… Mungu wangu, mama anamalizia ngazi za kuingilia korodoni…

SHUKA NAYO…….

Mama huyo aliokuwa kabanwa na haja ndogo, alikuwa na haraka sana ya kuingia chooni hapo, bila kujua kuna watu wanajiandaa kufanya yao,. Wakati mama huyo anamaliza ngazi ya mwisho kufika koridoni, rose alihisi mkanyago wa viatu hivyo haraka haraka akaipandisha chupi yake na kuurudishia uume wa adam kwenye suruali yake, mana adam alikuwa hataki hivyo rose Alitumia nguvu,… Lakini sketi bado iko chini, afu mama huyo ndio anaingia…
“haaaaaaa mtumishi, ni wewe kweli”
Alitahamaki mama huyo baada ya kumuona adam akiwa kashika kiuno cha rose na sketi yake ipo chini,… Haja ya mama huyo ilikata ghafla na kutoka mbio mbio, adam sasa ndio anajiskia ujinga sasa baada ya kukutwa,… Sasa adam akaona ngoja amuwahi yule mama kabla hajaanza kwenda kuyatapika kwa watu,… Lakini alipotoka nje hakujua mama huyo kapitia njia gani, mana ilikuwa ni mida ya watu wanaanza kutoka kanisani, sasa adam akaachana na swala la kumuangalia mama huyo akachepuka kwenda kukaa mahali ili asije onekana na mtu mwingine huko kwenye vyoo vya kike….

Adam alikwenda kukaa mahali huku akijuta kwa kile alichokua akikifanya kule chooni, japo hajafanya mapenzi lakini ndio alikuwa kwenye harakati za kutaka mpenzi tena pale pale chooni… Rose alitoka na wala hakumfuata pale alipo man anajua tayari adam kesha chefukwa kwa fumanizi,….
Sasa mama aliingia kanisani kule na kuchukuwa watoto wake wote mkuku mkuku, anatoka nao,… Na ilikuwa ibada inaendea mwisho watu wanatoka mmoja mmoja, sasa mama huyo aliona hilo sio kanisa, kama kiongozi wa kanisa mwenyewe ni wa aina ile je hilo kanisa litakuwaje, sasa waumini wengine walishangaa sana kuona muumini huyo akiwa na hasira huku akitoka mbio na watoto wake wakubwa tu, wakiume na wakike,… Baadhi ya waumini walimfuata na kutaka kujua nini sababu za kutoka mbio kanisani ingali ibada inakwenda kuisha sasa…
“mama, jems… Hili sio kanisa mama… Mimi sitaki hata kulisikia”
Aliongea mama Monica alio onekana mkali na mwenye hasira,
“lakini mama Monica, tuna muda gani kwenye kanisa hili…”
Wakati huo wanaongea hivyo, baadhi ya wamama watu wazima wanazidi kujaa ili kujua nini kimemsibu mwanamke mwenzao na kuondoka kwa kasi hivyo…
“ni kweli mama jems, lakini hili kanisa halina ubaya, ila uongozi wake ndio mbaya”
Wamama walishangaa, na hapo hakukuwa na mschana mana kila mschana akija hutimuliwa ili wasije kumtangazia mabaya mchungaji adam
“una maanisha mtumishi adam ndio mbaya”
Aliuliza mama jems huku mama monika akiitikia kwa msisitizo
“ndio…”
Lakini kabla hajasema ubaya wake, kuna mama mwengine alidakia
“lakini mimi nilishawahi kusema, hili jukumu analopewa huyu mtoto ni zito mno,.. Angetakiwa angalau awe na miaka 30…. Haya wewe mama monica umeona nini”
“kweli mama vero uliosema ni kweli,.. Huyu kijana ni mdogo…. Haifai kukabidhiwa kanisa…”
“mama jems tuambie basi ila kama ni kudhurika tusidhurike wote”
“mama jems….. Nilio yaona chooni,.. Mungu anajua na kama nawaongopea, mungu anihukumu kwa namna yeyote ile…. Sasa hivi hata robo saa haijapita nimemkuta mtumishi adam kule kwenye vyoo vya kike”
Mama Monica aliishia hapo, sasa kitendo hicho tu cha adam kuwepo kwenye vyoo vya kike, wamama wengi walishangaa mana hata kama ni kupanga usafi hatakiwi apange yeye mana kuna wafanyakazi wa kanisa, na pia wapo waumini wanaojitolea kufanya usafi…
“haaaaaaa. Sasa huko chooni… Ina maana ana tabia ya kuchungulia wanawake”
Aliongea mama jems huku mama vero akidakia kuwa…
“lazima atakuwa na tabia hio… Kweli hapa hatuna mchungaji.. Basi inaonekana kutuona sana sisi mama zake”
Aliongea mama vero lakini mama Monica akamalizia maneno yake
“Afadhali hata angelikuwa anatuchungulia, mana huenda ni tiba kwake…. Nimemkuta kashika… Yesu wangu mpaka naogopa kusema jamani”
Sasa wamama wanazidi kujaa ili kujua nini….
“yaani nimemkuta kashika kiuno cha binti mmoja, na alikuwa keshamvua nguo,… Yaani kama sio walikuwa wanaanza basi walikuwa wanamaliza… Mana nimeona binti anapandisha chupi yake… Kisha akamfunga zipu mchungaji adam…Hivyo ndivyo nilivyo ona jamani.. Sitaki hata kusogelea hili kanisa”
“yesu wangu jamani…. Mbona ni laana hii. Tena chooni… Na hao walikuwa wanamaliza”
Sasa hapo kila mwanamke kashika mdomo na kutahamaki, rose alishaona kwa mbali kikundi cha wanawake na yule mama aliowafumania ndio alikuwepo pale akitoa stori… Rose alijua tu heshima ya adam itashuka kwa kasi sana… Sasa wale wamama nao kuskia hivyo hakuna mtu aliotaka kubaki hapo, tena waliondoka na watoto wao bila kuaga, hivyo aliejua kajua na siejua abaki na kitokujua kwake,… Wakati huo adam hajui hili wala lile mana kakaa kando ya kanisa, kwenye miti miti huko, hivyo hajui kuwa kuna baadhi ya waumini wake wamesha anza kusambaratika,….

Baada ya muda adam akiwa anaelekea katika gari yake tayari kwa kuondoka, na hapo waumini wengine walishaondoka ila sio wote wanajua hizo habari.. Rose alimfuata adam pale kabla hajaingia katika gari
“mtumishi, mtumishi”
Rose aliita, na adam alikuwa katika mawazo afu mbaya zaidi kasahau taswira ya yule mwanamke…
“yes… Aahh sorry nilikuwa mbali kidogo kimawazo”
“najua utakuwa mbali kimawazo…. Ila ile ishu imeshaanza kuvuja… Robo ya waumini wako wanajua ulichokifanya leo… Na waliondoka mapemaaaaa”
“Unasemaje rose?”
“Ndio hivyo…. Kwa sasa kuwa makini, mi mwenyewe najuta kwanini nilikubali kukuvulia chupi yangu”
Aliongea rose lakini Adam alizidi kuumiza kichwa ivi hao waumini wakipotea itakuwaje….
“ivi hii tabia nimeanzaje jamani… Mbona siielewi mimi”
Aliongea adam huku akipiga gari yake teke kwenye tairi,… Yaani hajui ushetani huo umeanzaje katika mwili wake,….
“mtumishi, mi naona suluhisho uoe tu”
Aliongea rose kuwa anaona bora aoe
“hilo ndio jambo la msingi”
“mtumishi,… Naomba hio nafasi… Nitakutumikia kama mume wangu”
Rose nae anajiingia kwenye orodha, yaani wanazidi kujaaa tu… Adam akaona sasa hio kali, aliingia kwenye gari bila hata kumjibu rose,..
“mbona hunijibu… Utanipigia tuongee vizuri”
“namba yako sina baba mtumishi”
Aliongea hivyo Rose huku adam akitoa Bizness kadi na kumpa rose… Adam aliondoka zake…

Lakini akiwa njiani, alipata ujumbe toka kwa wini,… Aliupuuzia ujumbe huo mana ulikuwa na mawazo sana na hakutaka asumbuliwe na mwanamke yeyote yule kwa wakati huo,.. Akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake alikutana na muaminifu wake mmoja wa kike.. Alipungia gari mkono kisha akaingia
“tumsifu Yesu Kristo”
“milele amina”
“naitwa mercy, ni kondoo wako, sjui kama unanifaham”
Alijitambulisha mdada huyo, mana kanisa lina watu wengi kuanzia mia tatu (300) sasa kuwajua wote ni ngumu, ila wote wanamjua pasta adam… Lakini sasa mercy alikuwa kavaa gauni fupi sana, hivyo alipokuwa anakaa kwenye gari, lile gauni lilipanda juu, mapaja yote wazi mpaka taiti ya mercy ikaoneka katika macho ya adam… Adam ugonjwa wake ni kuona nguo za ndani,… Adam aliitolea macho huku akisem
“umevaa nguo nzuri, nimeipenda”
Sasa mercy kumbe alikua hajajua kiwa taiti yake iko wazi lile gauni limepanda juu… Sasa kuja kuangalia, duuuu… Yaani kama sio taiti kuwepo basi hata utamu wake leo ungeonekana live..
“ehehehehehehe… Ahsante”
Mercy alijichekesha kisha akawa anavuta vuta kale kagauni kake ili angalau ifunike… Lakini pia hakufunika yote, ikabidi achukue mtandio ulio kwenye mkoba wake, kisha akajifunika kwenye mapaja..
“mmmhhhh pasta adam kanipenda nini, mbona kantolea macho hivyo”
Mercy alijiongelea kimoyo moyo huku akiangalia mbele kwa aibu ya kuonwa taiti yake ya ndani… Na mercy sio haba.. Toto rangai ya chokleti afu limejazia kiaina aina mzuri wa wastani, ila linavutia na umbo lake, kidume yeyote lazima atokwe na udenda,….
“ila aio mbaya… Kwanza ni saizi yangu, na napenda mwanaume mwenye mzuka wa mapenzi,.. Pasta adam anao mana naona suruali yake imetuna tayari”
Mercy aliongea huku akimwangalia adam kwa jicho la wizi mpaka akajua dhakari ya adam imesha anza kusumbua wahudumu wa ndani… Wakati huo adam anaendesha gari lakini nia yake aende akam bwage nyumbani kwake ajishindie…
“Unaelekea wapi mama”
Adam aliuliza kwa heshima ili asionekane kuwa tayari kwa sasa keshaharibikiwa…
“naenda nyumbani kulala tu”
Na mercy nae kazua uchokozi wa kusema anakwenda nyumbani kulala tu, kana kwamba hana kazi yeyote hivyo popote anaweza kwenda, na ana maana kusema hivyo, kwa mwanaume mwenye akili atajua tu
“kwahio hata nikisema twende  nyumbani upo free”
Aliongea adam huku akimkata jicho la chinichini,
“lakini wewe si una masharti, kwasababu bado hujaoa”
“hapana…. Kwani si kwenda kunisalimia tu”
“sawa…. Ila nitaishia sebuleni tu”
Mercy alizidi kuongea maneno ya mitego
“hata pale sebuleni kuna kitanda wala Usijali”
Mercy alishtuka kuskia hata pale sebuleni kuna kitanda…
“una maana gani mtumishi”
Adam hakutaka kusema kwa mdomo, mercy alishangaa gari imesimamishwa mahari, kisha adam akauvuta ule mtandio…
“mercy una mapaja mkubwa… ”
“mtumishiiiiiiii…. Bwana usiutoe mtandio nitabaki uchi”
“mimi ndio nautaka huo uchi”
“haaaaaaaaaaa mtumishi wewe si una mchumba”
“kwani mchumba kuachwa lazima talaka”
Mercy kuskia hivyo, alihisi bahati ya kuolewa humdondokea yeye….
“usiuvute wote, ona kidoo tu”
Aliongea mercy kuwa adam asiuvute mtandio wote, anatakiwa aone kidogo tu… Saa ngapo adam hajarukia upande wa pili,… Kaanza kumshika shika mapaja yake, huku mercy akijitahidi kufunika mana kioo cha mbele sio cheusi (tinted) lakini vingine vyote vya pembeni ni vyeusi..
“pastaaaaaaaaa, nimekubali twende kwako nitaingia mpaka chumbani”
Aliongea mercy huku akiushika mkono wa adam uliokuwa unakwenda ndani zaidi kama vile mchimba madini…. Dhakari ya adam ilisimama mpaka ikawa inamuuma…

Lakini akiwa hapo ghafla simu yake iliita, kuangalia alikuwa ni mfanyakazi wake kule kwenye kampuni yake….
“hallo”
“tumsifu yesu Kristo mtumishi wa mungu”
“milele amina… Kuna nini”
“kuna tatizo… Watu wa TRA wamekuja wanasema kuna mapato hayajalipwa”
“aahhhh ok… Nakuja kuyamaliza hapo sasa hivi”
“ok boss”
Simu ilikata, hapo mzuka wote ukamuisha… Mana TRA ni noma ukileta mchezo wanakomba kampuni yote… Sasa hata dhakari ililala ghafla na mzuka ukaisha….
“mercy, utanitafuta… Chukuwa namba zangu… Kuna dharura nimepata hapa sasa hivi”
“bwana… Basi nipeleke kwako nikapumzike, ili ukirudi ukute chakula tayari”
“hapana mercy… Nitakuita Usijali… Kule anakwenda dada yangu kunipikiaga, sasa ukikutana nae itakuwaje”
“mmmhh sawa mpenzi wangu,.. Nakupenda baba mtumishi”
Mercy tayari keshakua mpenzi wa pasta adam..
Mercy alitaka kuupandisha mzuka wa adam tena… Alipokuwa anataka kushuka, aliivuta sketi yake… Mtaiti wote ukaonekana,.. Adam alichanganyikiwa… Na vile Mercy alikuwa na tako.. Daahhhh adam alitamani hata kujikojolea,… Mana mpaka chupi aliiona kwa mbali ile taiti ilionyesha…
“mercy, please naomba unitafute”
“sawa baby wangu….”
“usisahau tafadhali”
“nasahauje sasa kwa mfano… Siku zote ninavyokutamani sasa nimepata nafasi ulizani nitaichezea”
“eeeti eeee”
“sasa je”
“mercy una tako, khaaaaa”
“kwa ajili yako… Ushindwe kulitumia tu”
Sasa mercy anavyozidi kuongea, adam anatamani hata ambinue hapo hapo ampakue….
“hebu nenda tu mercy… Ila usikose”
Mercedes au mercy, kwa makusudi aliipekenyua ile taiti na kumwonyesha adam chupi ya ndani… Adam alijinyonga nyonga kwa hamu,.. Mercy hapati picha pale atakapo kutana na adam kitandani…. Mana anapenda wanaume wenye mizuka kama adam… Na adam alikuwa na mzuka utafikiri ana mwaka… Kumbe jana tu alikuwa na wini….

Basi Mercedes aliondoka zake,… Na mtoto ana mtako, kama sio kuvaa taiti na chupi… Basi mtetemo ungekuwa wa hatari sana, kwani hata alipokuwa anaondoka alikuwa akitetemesha utafikiri hajavaa nguo za ndani,…. Adam aliwasha gari na kuwahi kwenye kampuni yake, tena kampuni ambayo karithishwa na baba yake,… Ilo ajitegemee,…. Adam alifika katika ofisi zake na kukuta kundi la watu wa TRA, shirika la mapato Tanzania,…
“aaahhh habari yako mheshimiwa”
Alisalimia bwana mmoja huku adam akiitikia lakini hakusimama… Moja kwa moja mpaka kwa mhasibu wake
“Jackson…. Vipi kuhusu hawa watu”
Alimwambia mhasibu wake, ambae ndio anaejua maingizo na mahesabu ya kampuni na yeye ndio alitakiwa kupeleka mapato ya watu,…
“Samahani boss, nilichelewa kidogo kuwasilisha fedha zao”
“hebu njoo huku mapokezi”
Adam alitoka na mhasibu wake kisha akamuita fetty
“fetty, siku nyingine wakija watu wanaodai mapato yao… Kuhusu kampuni… Naomba uongee na mhasibu.. Sawa”
“sawa boss”
“aisee waheshimiwa, samahanini sana.. Nadhani ni kasoro kidogo ya kazi imetokea lakini kila kitu kipo sawa…… Jackson?”
“yes boss”
“maliza kila kitu na kazi iendelee sawa”
“sawa boss”
Adam alikasirika sana, yaani kamuacha mercy kule, anakuja huku, kumbe ni kitu kidogo tu….
“pumbavu sana… Sasa nampataje tena mercy….”
Aliongea adam mana namba yake hana, ila mercy ndio mwenye namba ya adam, hivyo hana budi kumsubiri apige…

Basi adam alirudi zake nyumbani, geti lake hufunguka kwa rimote hivyo hakuna haja ya kuwa na mlinzi wa kufungua geti…. Aliingia mpaka ndani, lakini aliona viatu vya kike pale nje ya mlango wa kuingilia ndani.. Alikuwa ni dada yake… Adam alipaki gari lake kisha akawa anaingia ndani, lakini sasa alipofika hapo sebuleni, macho yake yalitua kwenye meza ndogo ya kioo,… Na dada yake ambaye ni Jessica, kakaa kwa pembeni, sasa adam kuangalia ile meza ya kioo… Aliikumbuka meseji aliotumiwa na wini mchana akiwa anatoka kanisani… Aliifungua ile mesuna kuisoma tena….. Laaaaa haulaaaaaaa, adam kachelewa kuijibu meseji hio

Je? Meza ndogo ina nini? Na hio meseji imeandikwa nini?… USIKOSE

ITAENDELEA..

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,146,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,192,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,13,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu ya ishirini na tatu (23)
Young Paster sehemu ya ishirini na tatu (23)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-tatu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-tatu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy