Young Paster sehemu ya ishirini na saba (27)

YOUNG PASTER EP 27


Ilipoishia …….

MCHUNGAJI MCHANGA

Adam alimbeba eva na zile nguo mpya… Kisha akamuingiza chumba kingine kabisa… Hio ndio nia yake adam, amlete eva kisiri siri hata rose asijue,… Kweli alifanikiwa adam alimlaza kisha akawa anampepea pea,… Alimwacha apumzike huenda kaunganisha na usingizi…. Sasa adam alitaka kuchukua jukumu la kumvalisha chupi… Eva ni mschana mrembo, mwenye rangi ya maji ya kunde, ana umbo la kipekee… Mabaya zaidi amavutia kwa kila upande,… Saaa ngapi adam hajaanza kutokwa na udenda, na hapo ni mchumba wake,…. Lakini wana kiapo cha kutogusana…
Adam aliitupa ile chupi kisha akaamka kitandani na kuanza kuvua shati lake… Traki yake ilikuwa imetuna haswa… Alimaliza kuvua shati kisha akasogea pale kitandani na kuanza kumtomasa tomasa chuchu zake zilizo ngumu kwa ubikira wake… Adam aliamka pale kitandani na kwenda kubana mlango kabisaaaa….. Kisha akaanza kuivua traki yake akabakiwa na boxer pekee

SONGA NAYOOO……..


Adam kwa sasa ni mtu wa kawaida sana, mana heshima yake tayari keshaivunja, kwani matendo yake kwa sasa ni tofauti na awali,.. Adam amekuwa mtu wa wanawake tu,..

Adam alibana mlango kabisa ili aanze kufanya mapenzi na eva, wakati huo eva kazimia takribani nusu saa toka azimie kitu ambacho ni hatari sana kwa mtu kuzimia kwa muda wote huo japo wapo wanaozimia hata siku nzima… Adam alishamtamani eva kufanya nae mapenzi mana eva hapo alipo yupo kama alivyozaliwa hana hata uzi wa nguo… Na hajitambui adam alivua traki yake kisha akasogea kitandani tayari kwa shughuli,… Alianza kumtomasa tomasa, wakati huo eva hajitambui yaani kazimia toka kule kwenye majani… Adam alivua boxer yake kisha akamueka eva vizuri,.. Laaaa haulaaaaa, eva alikuwa ana siri ndogo sana… Yaani ana sehemu ya siri ndogo kitu ambacho hata adam aseme aingize uume wake itachukuwa muda kuingia,… Yaani eva hata akiingiliwa na mtoto wa miaka 7, lazima atalia kutokana na siri yakw ilivyo ndogo, hii ni dhahiri kwamba bikra anayo…. Lakini mbali na hilo adam hakukata tamaa, kampanua mapaja vizuri kisha akaanza kuingiza nanii yake…. Aliingiza kichwa tu, yaani kile kichwa tu

“eva,… Naapa kwa jina la yesu na mungu wake,… Sintokaa kukugusa mpaka nitakapo kuoa… Siku nikikugusa, nilaani na usikubali…. Nina malengo na wewe, nataka uje kuwa mke wangu eva…. Nakwenda masomoni lakini jua kuwa naacha mke nyumbani…. Jichunge na hasia zako”

Hio ni sauti ya adam akiwa kashika Biblia kwa kiapo hicho… Kwahio hio ni kumbukumbu ya mwaka mmoja uliopita kabla hajaenda masomoni,…

Adam alichomoa nanii yake baada ya kukumbuka kiapo alicho apa juu ya eva,… Huezi amini adam alimwacha eva, hajaendelea tena,… Aliingiza kichwa tu,… Adam alimfunika eva mana anajua atakuja kuzinduka tu.. Wakati huo adam ameshapata hamu ya ngono, na nia yake ni kukaa na eva hapo ndani mpaka azinduke, lakini kapata hamu ya mapenzi hivyo anakwenda kwa rose….. Adam alibana mlango kabisa na ufunguo ili hata akizinduka ashindwe kwenda popote ili asije kwenda kwenye chumba walichokuwa wamelala adam na rose…

Rose aliskia mlango wa chumbani alipo ukifunguliwa, kuangalia alikuwa ni mpenzi wake adam…
“baby, umetoka wapi mpenzi wangu”
“ahhh kulikuwa na dharura tu kidogo”
“oooohhhh pumzika basi”
“sasa rose… Kesho daamka asubuhi sana, mana dada kasema atawahi kuja kunipikia chai… Sasa hatakiwi akukute humu”
“sawa nimekuelewa mpenzi wangu”
Rose alijibu huku akiwa kalala kifudifudi, Adam akaingia ndani ya shuka na kuanza kumng’ata ng’ata rose Mgongoni,… Rose hachelewi kupandisha hisia zake,… Alijitega vizuri na kumuachia adam afanye atakalo,… Rose alimpenda adam sana….

Asubuhi na mapema huku nyumbani kwa akina eva,… Mama eva roho juu juu…
“bite mwanangu, dada yako hajarudi kweli jana”
Aliongea mama huyo mana bite na dada yake wanalala chumba kimoja, sasa labda eva alikuja usiku sana na kuingia kimya kimya
“mama, hajarudi na simu haipatikani tena…”
Aliongea bite mana jana simu ya eva ilikuwa ikipatikana lakini haipokelewi, unaambiwa jana mama hajalala kabisa mpaka asubuhi hio…
“jamani sjui twende polisi”
“mama subiri kwanza…. Mana bado asubuhi sana labda atakuwa kwa akina wini, au atakuwa kaunganisha chain player”

Sasa huku ndani alipo eva alikuwa anajikagua uchi wake kama aliingiliwa au vipi… Na hapo alipo ana usingizi mana kuzinduka usiku sana afu kakosa usingizi kabisa mana hapo alipo hajui ni wapi, japo mazingira ni ya kitajiri lakini hapajui..
Eva alikuwa akichungulia kwenye dirisha lakini bado haelewi tu… Anaona gadeni nzuri miti ya kupandwa lakini hajui ni wapi,.. Akiangalia nje, anaangalia na uchi wake
“nini kilitokea, nia ya wale walikuwa wanibake… Sasa mbona sijabakwa… Na mbaya zaidi nipo hapa… Ni kwa nani na wale ni nani”
Eva alijiuliza katika moyo wake na asipate jibu,….

Wakati huo huku sebuleni, rose ndio anaondoka zake baada ya kuoga vizuri kabisa… Adam alihakikisha rose keshaondoka kisha akaja kumfungulia eva… Wakati huo eva anazidi kuwa na wasiwasi, mana kama ni kubakwa hapo ni lazima abakwe mana hakuna hata utetezi, alikuwa akiskia milio ya funguo ikifungua mlango huo ambo yeye yupo ndani… Na hapo hajavaa hata nguo mana hata hio raha ya kuvaa nguo hana japo nguo zipo mezani na kaziona, lakini hakujua kama ni zake mana kazinduka yupo humo ndani bila kujua ni kwa nani na kwa niaba ya nani…. Mana unaweza kuishi mahali kwa niaba ya mtu

“yesu wangu…. Mtumishi?”
Eva alimuona adam,… Yaani hakujali yupo uchi au laaa… Alimkimbilia na kumkumbatia, huku machozi yakimtoka, haamini kama yupo mikononi mwa mtumishi tena mchumba wake kabisa,.. Yaani hapo alikuwa anajua kama hajabakwa kule basi hapa lazima abakwe…
Eva alikuwa analia kabisa kwa machozi, haamini kuwa hajabakwa na yupo mikononi mwa usalama wa mchumba wake, japo nae jana alitaka kumtusua akakumbuka viapo akaacha…
“Nyamaza basi eva”
Aliongea adam huku eva akimuachia na kumwangalia adam mara mbili mbili….
“ivi ilikuwaje baba mtumishi, mana mpaka sasa siamini”
“ebu vaa nguo kwanza”
Eva kwa furaha alisahau hata kuvaa nguo,… Kuangalia chupi mpyaa, taiti mpyaa… Gauni jipyaa tena la thamani ubwa, chupi haikuwa moja, zikuwa zipo 12….yaa dazeni nzima, na hizo nguo zimenunuliwa kwenye duka la kifahari sio mchezo mchezo.. Japo ilikuwa usiku lakini adam aliweza kuchagua…
“ina maana hizi nguo kumbe zilikuwa zangu”
“ndio…. ”
“Ahsante baba mtumishi…. Kwanza nashukuru japo hata sijui imekuwaje”

“saa ile umenipigia simu sikua nimeangalia saa,.. Sasa nilipoangalia, nikagundua kweli huo usiku sio usiku wa wewe kutembea… Ikabidi nije spidi spidi kanisani…. Lakini kuna mahari nikaskia sauti ya mtu anapiga kelele, nikashika breki kwa nguvu… Ili nimsaidie huyo mtu, mana zilikuwa ni kelele za mwanamke aliekamatwa, lakini sikua najua kama ni wewe… Wale jamaa waliogopa na kujua labda mimi ni polisi… Hivyo wakakuacha nami nikakuona na kukupeleka hospitalini… Walikupa huduma wakagundua hujaumia popote,… Ila hawakuwa na nafasi ya kumlaza mgonjwa, nikaona kuliko nikupeleke gest, bora nivunje kanuni za kiuchungaji… Kukuingiza nyumbani kwangu…. Hapa ni kwangu, jiskie huru… Bafu hilo hapo unaweza kuoga”

Adam alipomaliza kuongea, eva haamini na maskio yake… Alimkumbatia tena, kwa furaha kisha akaenda kuoga ili akirudi ndio avae hizo nguo… Adam alikwenda zake sebuleni na kuanza kuandaa mambo ya chai, hana hofu mana keshayazoea maisha ya ubachela..

Haikupita muda eva alikuja mpaka jikoni, alimkuta adam anapika chai, eva akamvizia adam na kumkumbatia kwa nyuma,… Eva alianza kuyatamani maisha ya hapo ndani, yaani anatamani aolewe hata wakati huo…
“kumbe ndio mana hutaki kuoa,.. Umeshazoea kupika mwenyewe”
Aliongea eva wakati huo kamkumbatia adam, mana ni haki yake japo kuna kosa la yeye kuja hapo ndani kwasababu ya ubachelor alio nao adam…
“ulizani sitaki eva wangu…. Wazazi wananichanganya sana eti”
“Usijali, vipi kuhusu Catherine”
“sina mpango nae, na yeye ndio chanzo cha kuchelewa kwa ndoa yetu”
“adam mpenzi wangu…. Naomba uwasikilize wazazi wako”
Adam alishtuka kuskia hivyo…
“una maana gani”
“watakacho kisema uwasikilize… Mana kama sio riziki kuoana mimi na wewe usiwachukize”
“sawa… Basi nimekubali kumuoa Catherine”
Adam aliongea hivyo huku akimtoa eva mbavuni kwake…
“wewe mtumishi mimi sipp Siriasi… Nimekudanganya jamani… Nitaishi na nini ingali moyo wangu upo kwako…. Ebu sogea nipike usije ukanipikia chai mbichi”
“we uliona wapi chai mbichi”
Utani wa hapa na pale ulianza juu yao mazoea ya ukaribu yalianza, eva hajui kama adam sasa sio adam yule wa zamani, sasa hivi hata eva akikaa vizuri haachwi…

Walikunywa chai pamoja… Eva leo kanywa chai nzito, mayai yai na kadhalika,… Walipomaliza walipanda gari kuelekea nyumbani kumpeleka eva, adam hakutaka eva aende mwenyewe nyumbani….. Bite aliona gari ya shemeji yake, lakini hakuwa na uhakika kama eva nae yupo ndani
“mama… Mama… Mtumishi adam anakuja”
Mama kuskia mtumishi adam anakuja, aliingia ndani na kujitanda vizuri mana ni baba mkwe huyo anakuja….
“yesu wangu tutamjibu nini eva hajarudi toka jana… Na hata polisi hatujatoa taarifa”
Aliongea mama yake eva, lakini kadri gari inavyozidi kuja.. Bite aliona kushoto kuna mtu….
“mama, dada yule pale”
Aliongea bite huku mama akija mbio na kusahau kuwa mkwe anakuja….
“yesu wangu…. Ina maan jana kalala kwa mtumishi”
Aliongea mama na kutia shaka,… Mana kama eva kalala kwa mtumishi basi kesha kobolewa bikra tayari… Mama alisubiri eva ashuke aangalie hatua zake kama atachechemea,….

Kwa upendo mzito adam alishuka kisha akaenda kumfungulia eva mlango,… Eva alipendeza mpaka mama akashangaa,… Lakini alimwona eva anatembea kawaida tu kama vile haumwi… Adam aliingia mpaka ndani,…. Sasa walipoingia ndani, wini nae ndio alikua anakuja kwa akina eva ile kinafiki…. Lakini alipokuta gari ya adam hapo nje alitabasam na kupitiliza, hakuingia ila yeye kahisi baada ya kuona gari ya adam, hapo akajua kuwa adam kaitwa kuja kumjulia hali eva baada ya matatizo yalio mkuta jana usiku,.. Eva moja kwa moja alienda kijiweni kwa masela,…. Wale aliowapa kazi,

“oyaaaa….. Yule sista yuleeeee”
“sasa skia… Tumdanganye kuwa tayari… Ili atoe hela”
Aliongea njemba mmoja huku wini akikaribia
“mambozenu wakaka”
“safi tu sista”
“nina furaha kuwa kazi itakuwa imekwenda vyema”
“aaahhhh… Yaan hapa tunajua unatuletea taarifa ya yeye kujiua”
“ahahahahahaha sio rahisi…. Sasa chukueni pesa yenu iliobaki”
“Ahsante sana sista, kazi kama hizi ukiwa nazo… Tushtue tu”
“poa poa”

Wini alitoka hapo kwa haraka ili awahi mongezi pale kwa akina eva,.. Mana anajua fika eva hana bikra… Keshabakwa jana kumbe hajabakwa wala nini… Sasa alipofika alikuta adam keshaondoka, hivyo akaingia ndani na kujifanya kama hajui kilichotokea…
“heeeee eva umependeza…”
Aliongea wini baada ya kumkuta eva kakaa hapo sebuleni na mama yake..
“Ahsante…. Hali yako lakini”
“safi tu…. Jana Nakusubiri pale dukani hutokei…. Nikaamua kuondoka”
Aliongea eva, sasa hapo anaanza kujichomesha moto mwenyewe…
Mara mama akaondoka zake mana ana furaha mtoto wake karudi ila haamini kama kaachwa salama.. Ulale na mwanaume nyumba moja tena mchumba wako, akuache kweli,.. Mama haamini kma kweli imekuwa hivyo… Basi aliawaacha marafiki waongee
“mwenzangu wini…. Jana mimi si nimebakwa pale kwenye muembe”
Eva aliongea hivyo kama kumtania wini, lakini sasa wini akaanza kumcheka mwenzake….
“hehehehehehheheh…. Kale kauzi unakolingia kuolewa nako veeepe, kapo au?…. Adam akijua kuna ndoa tena hapo”
“wini unaongea nini mbona sikuelewi”
“ww si umebakwa wewe.. Bikra ipo wapi… Kiherehere cha kuolewa na adam chote kwisha…. Bibie upo kama sisi… Sasa tupo sawa…”
Sasa mama eva kasikia huko kuwa kweli eva hana bikra, yaani zile hisia za mama sasa anaziskia kwa wini… Mama akajua basi mtoto wake sii kitu tena,….
“lakini wini… ”
“lakini nini wewe… Tena ulivyokuwa unajisifia nayo… Sasa iko wapi”
Aliongea wini kwa madaha huku akinyoosha vidole juuuu
“sasa kwa taarifa yako… Bikra ninayo na aijabakwa… Na jana adam alikuja kunichukua…. Bado hatupo sawa mama, nipo juu zaidi yako… Wewe si mwanamke na unajua bikra.. Njoo huku chumbani nikuonyeshe ili umbea ukushuke”

ITAENDELEA..

Comments

Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment