Young Paster sehemu ya ishirini na nane (28) | BongoLife

$hide=mobile

Young Paster sehemu ya ishirini na nane (28)

YOUNG PASTER EP 28Ilipoishia …..

MCHUNGAJI MCHANGA

“mwenzangu wini…. Jana mimi si nimebakwa pale kwenye muembe”
Eva aliongea hivyo kama kumtania wini, lakini sasa wini akaanza kumcheka mwenzake….
“hehehehehehheheh…. Kale kauzi unakolingia kuolewa nako veeepe, kapo au?…. Adam akijua kuna ndoa tena hapo”
“wini unaongea nini mbona sikuelewi”
“ww si umebakwa wewe.. Bikra ipo wapi… Kiherehere cha kuolewa na adam chote kwisha…. Bibie upo kama sisi… Sasa tupo sawa…”
Sasa mama eva kasikia huko kuwa kweli eva hana bikra, yaani zile hisia za mama sasa anaziskia kwa wini… Mama akajua basi mtoto wake sii kitu tena,….
“lakini wini… ”
“lakini nini wewe… Tena ulivyokuwa unajisifia nayo… Sasa iko wapi”
Aliongea wini kwa madaha huku akinyoosha vidole juuuu
“sasa kwa taarifa yako… Bikra ninayo na aijabakwa… Na jana adam alikuja kunichukua…. Bado hatupo sawa mama, nipo juu zaidi yako… Wewe si mwanamke na unajua bikra.. Njoo huku chumbani nikuonyeshe ili umbea ukushuke”

SONGA NAYO……..

Hakuna kitu kibaya duniani kama umbea,.. Mana kuna siku yako ya kusutwa,…. Lakini kwa upande wa wini yeye sio kuwa alikuwa ni mbea bali kamtendea vibaya mwenzake, sasa kaja kuhakikisha kama kweli kafanyiwa ubaya alio ukusudia,… Wini hakuwa na la kusema zaidi ya kunyamaza tu

“heeee eva jamani utani tuuuu… Tuyaache hayo,.. Wacha niende nyumbani, afu jioni tutakutana kanisani”
Aliongea wini baada ya kuona eva anamwita chumbani kwenda kumwonyesha kipapa kuwa ni kizima tena cha afya,.. Lakini wini akaona kwenda kufunuana uko ndio nini sasa, akabidi aage japo alitamani kuwepo hapo zaidi ya ya hata masaa matano kupiga stori na rafiki yake…
“sawa, ila wini huu utani mimi siupendi, jana ulikuja na utani wako… Leo yena umekuja na utani mwingine, mimi sipendi wini”
“basi eva jamani.. Ina maana hujanizoea tu”
“sio kwa matani hayo wini”
“Usijali eva…. Badae basi”
Aliaga wini lakini eva akamtaarifu jambo fulani kuwa
“sawa…. Ila kwa sasa siendi chain player ya usiku…. Sasa nakwenda saa saba, ili nirudi saa kumi”
Wini alishtuka kuskia eva kubadilisha misa ya ibada
“kwanini unafanya hivyo eva?, na unajua misa ya usiku ina baraka tele”
“ni kweli, lakini kwa matatizo yalionikuta jana… Sina hamu tena na misa za usiku”
“mmmhhh sawa… Nitaangalia na mimi mana, waswahili walisema, mwenzako akinyolewa, tia maji nywele zako mana nawe utanyolewa… Ila pole sana eva”
Aliongea wini na kumpa pole rafiki yake eva…
“Ahsante, kama tutaenda wote uwahi basi… Mana saa kumi natakiwa kurudi”
“Usijali best”
Wini aliondoka zake kwenda kwao, wakati huo alikuwa akitabasamu sana sijui ni kwanini

“eti njoo huku chumbani nikuonyeshe…. Sasa angenionyesha shimo au?? Watu wengine bwana.. Afu huyu anaficha ficha ili asigundulike na mtumishi adam kuwa hana bikra.. Ndio mana anajifanya anayo… Midume miwili ishindwe kuitoa ile bikra, ni ngumu sana”
Aliongea wini huku kiguu na njia kwenda kwao

Ikiwa imefika nyakati za mchana tukiwa katika ofisi ya adam, leo adam alikuja kuzungukia miradi yake inakwendaje, mana unaruhusiwa mchungaji kufanya biashara zako mwenyewe lakini uhakikishe muda wa ibada unakuwepo, hivyo mchungaji kama mchungaji anaemiliki kanisa, hatakiwi kuajiriwa, mana atakosa muda wa kutoa huduma kwa waumini wake,… Hivyo hutakiwi kukosa ibada, ni dhambi… Mana hakuna kampuni itaweza kukuachia kazini kwake saa saba au saa nane uende kanisani… Hivyo tafuta kashughuli ili kuweza kujikimu

“boss kuna document zilikuja toka jana… Kuna kampuni inataka kuungana nasi”
Alikuwa ni Secretary wa kampuni hio,.. Mr jacob ana makampuni mengi sana, lkini kwanza kampa mtoto wake kampuni moja kwanza mana yeye ndio wa kiume peke yake,…

Adam alitoka hapo na kwenda nyumbani kwao kabisa, kule kwa mr Jacob, aaahh kwa bahati aliwakuta wanakula chakula cha mchana… Nae akiwa kama mwana familia aliingia mezani na kujipa msosi… Sasa hivi adam kasahau kuwa katika jumba hilo la baba yake kuna chumba ana mashaka nacho, lakini kwa sasa hilo wazo hana…
Sasa katika hali ya kumaliza kula, mama kaanzisha mada
“ivi adam mwanangu… Ndio Umesahau kuoa au”
Aliuliza mama yake adam huku adam akiwa katoa macho tu,….
“mtumishi si unaulizwa na mama lakini”
Aliongea Jessica ambae ni dada yake
“dada Jessica… Ulizani hawa hawajui.. Wanajua sababu ya mimi kuto oa”
Aliongea adam kama vile anamwambia Jessica, lakini wote wamefikiwa na ujumbe,….
“we adam mwanangu, haya mimi nimekuzuia nini kuoa”
“si wewe na baba…”
Mara baba yake kadakia….
“wewe… Yule binti keshakataa… Kilicho baki kwako wewe oa mwanamke umtakae bwana”
Mzee leo alikubali adam aoe mwanamke amtakae, mpaka adam haamini kama kweli baba yake amekubali aoe mwanamke yeyote, maana yake amuoe huyo alie mtarajia kumuoa,… Adam alifurahi sana kuskia hivyo

Huku kwa akina Catherine nae,… Mama alikuwa anamwimbisha mume wake mr yohana kuwa amwache mtoto wake aolewe na mtu ampendae
“baba Catherine… Mtoto wetu hana shida… Yule kijana ana mchumba wake,… Na hawezi kumuoa Catherine.. Tafadhali baba Cathy, tumpe nafasi mtoto”
Mr yohana yeye alikuwa akibofya simu yake na kuiweka sikioni,….
“haloo mr Jacob, hali yako bwana”
“aaahhhh swalama kabisa, hali yenu huko nyumbani”
“yesu anafanya miujiza…. Sasa bwana Jacob…. Mimi naona hawa watoto tuwaache tu sasa… Maa watakuja kuwa wahuni bure mwisho wa siku tukajuta… Mimi naona tuwaache tu”
Aliongea bwana yohana,.. Bwana yohana sasa ndio anaona vijana watakuwa wahuni mana hawapendani, sasa mwisho wa siku watakuja kutamani wanaume wengine…. Lakini mzee yohana keshachelewa mana kwa sasa Catherine hana bikra tena na yote ni kiherehere cha mzee yohana… Na hata Catherine nadhani kesharidhika sasa, mana aliambiwa kwa mdomo hakusikia,… Sasa kaambiwa kwa vitendo… Kidogo akawa muelewa, lakini mbali na hapo Catherine ana pesa kwa sasa alizopewa na mr Jacob…..
“tena bwana yohana kama vile ulikuwa unatuona hapa kifamilia… Yaani tulikuwa tukimwambia adam aoe mtu anae mjua yeye… Nawe tena unapiga aimu.. Basi inapendeza sasa”
“basi hakuna shida mimi naona tukutane kwenye vikao vidogo vidogo
Aliongea bwana yohana huku simu zikikatwa…


“haya baba kazi ni kwako sasa”
Aliongea mr Jacob huku adam akifurahia kauli hio kuwa aoe mwanamke ampendaye, lakini hapo mzee Jacob yeye anajua kuwa adam kwa sasa hana uwezo wala nguvu zozote za kiroho… Sasa  hivi katawaliwa na ibilisi,…..
“Ahsante sana mzee… Huu mwezi hauishi naoa”
Aliongea adam huku katika nafsi yake anamuwaza eva wake,… Japo alitamani kuyajua mapenzi kwa eva lakini kwa bahati mbaya alianza kwa Catherine, na yeye adam anajua ni kampeni yake yeye kutembea na Catherine, kumbe hio ni kampeni ilioandaliwa sema hajui tu,..

Ilifika mida ya jioni kama saa kumi hivi, eva akiwa anatoka zake chain player,… Lakini kwa wakati huo hakuwa na wini,… Hivyo kianzia leo eva atakuwa anakwenda ibada ya muunganiko ya saa saba za mchana, kwenda kuwapokea wale walioingia saa moja asubuhi,… Hio ilikuwa ni chain player ya mwezi mzima, ibada ambayo haikatiki,.
“heeeee eva, mbona unarudi saa hizi na nategemea ndio tunakwenda hivyo”
Alikuwa ni mercy ndie aliongea hivyo, ni wasichana wanaosali kanisa moja hivyo lazima wajuane kwa namna moja au nyingine,
“mmmmhh mwenzangu nimebadili misa”
“kwanini sasa”
“aahhhh nimeamua tu”
Eva hakutaka kila mmoja ajue usiku wa jana alipata kashkashi gani…
“mmmmhhh haya,.. Leo pasta adam kafika kanisani”
“hapana… Leo sio siku yake ya kuja.. Leo nadhani yupo nyumbani akifuatilia shughuli zake”
“ooohhh yesu amuongoze pasta wetu”
“milele amina”
“basi wacha mi niende chain ya usiku”
“sawa, bwana yesu awe nawe”
“amina”
Basi mercy aliondoka zake na eva nae aliondoka zake,…

Lakini mercy alipofika njia ya panda, hakuenda njia ya kanisani, badala yake alinyoosha njia inayokwenda kwa mchungaji adam
“kama leo hajaenda kanisani, basi yupo nyumbani”
Aliongea mercy huku akichukua bodaboda kabisa,

Wakati huo adam nae ndio anatoka kule kwao, leo adam kashinda kwao na familia yake, mana hana mahala pa kwenda na leo sio siku ya huduma kwa waumini, mana kuna siku maalum ambazo ni lazima awepo, sio ombi ni lazima awepo… Lakini siu ya leo ni siku ya kuangalia miradi yake inakwendaje…. Adam akiwa barabarani mawazo yake yote ni kwa wanawake tu yaani kwa sasa hawazi dini sana, amekuwa mchungaji wa ajabu sana, amekuwa shetani wa kutupwa…

Sasa adam anafika kwake, alishangaa kuona kuna mtu kakaa pembezoni mwa geti lake, na hapo kwenye geti kuna mti mkubwa hivyo akikaa mtu hapo huezi mzania kuwa anamsubiria adam…
Mercedes alipomwona mpenzi wake tu anaingia nae hakuchelewa mana hilo geti hua linajifunga lenyewe, hivyo ukichelewa unaweza baki nje.. Adam kaelekea kwenye parking, na mercy kaelekea mlango wa kuingia ndani,.. Adam alivyo na ham wala hamuulizi kafata nini… Adam kapaki gari kisha kaja kufungua mlango wa ndani,…
“tumsifu Yesu Kristo mchungaji”
“milele amina”
Mercedes alikuwa kavaa gauni fulani lepesi liliomfanya limchore umbo lake,… Yaani mpaka zile sindano za makalio unaziona jinsi zilivyo jichora, kiukweli alibarikiwa maungo…
“fungua bwana mtumishi, kwani si utaniona kwa undani”
Adam alikuwa anasita hata kufungua, kabaki kumuangalia tu kwa uzuri wa umbo lake….
Adam aliingia mpaka ndani.. Na mercy wake
“ivi muumini wako jana aliondoka saa ngapi”
Mercedes alimuuliza adam kuwa jana rose aliondoka saa ngapi
“hajakaa sana,… Alipomaliza kula tu akaondoka zake”
“kaniuzi sana jana… Yaani jana nilikuwa na hamu na wewe.. Halafu kagandaa… Kaniuzi sana yani”
“Usijali baby”
Mercedes haamini kama kaitwa baby na mtumishi
“mtumishi??… Natamani hii baby iwe mke,.. Kwanini usinipe nafasi, nitakuheshim mume wangu”
Aliongea mercy huku akimvua koti la suti alilokuwa kalivaa adam..

Adam alianza kumtomasa Mercedes mapajani mwake, Mercedes alianza kugeuza geuza macho huku akisema
“uuuuuunnnhhh, nijibu basi”
“Usijali… Mbona una haraka hivyo, mambo mazuri hayahitaji haraka”
Aliongea adam huku mkono wake ukiwa umefika kwenye kufuli la Mercedes,… Mercedes alishtuka mana adam alikuwa ni mwepesi mno, dakika chache tu alishangaa mkono umeshafika huko
“nini”
“hapana… Upo shapu… Nilitegemea utanishika mapaja.. Kumbe umepitiliza kabisa”
Adam alimbeba mercy kama katoto mpaka chumbani kwake na kumbwaga kitandani,..
“uuuuu”
Alilia mercy baada ya kutupwa kitandani,… Adam alianza kuzivua mwenyewe mana zilikuwa nyingi, wakati huo mercy nae kazi kivua zake za juu,… Adam alipomaliza aligeuka na kumkuta mtoto kabakiwa na chupi peke yake,
“waaaooooo, Mercedes, mbona umbo naliona kubwa hivi”
“macho yako tu… Ingia ule, hii ni mali yako”
“acha itani mercy”
Yaani adam akiona chupi kwake ni kama halua, mana ndio hisia zake zilipo.. Sasa hatujui kama pia akiiona kwenye kamba imeanikwa anasisimka au ni hivyo ikiwa mwilini tu,… Adam alianza kuitomasa ile chupi huku akisema
“hii nguo umeionea sana… Tako lote hili jamani mmmhh”
Sasa mercy alikuwa hajaona kwenye Boxer ya adam kuna uzito kiasi gani, akajifanya mbea, akapandisha boxer kwa chini mana alihisi limefika mpaka chini huku ya pindo la boxer,.. Alipofunua alikutana na kichwa na dhakari ya adam,…
“yesu wangu… Huyu mwanaume ni mtu au ni punda jamani. Heee siamini kama linaingia lote kwenye maungo yangu”
Mercedes alijisemea katika moyo wake huku akiogopa, kweli adam aijaaliwa na mungu katila maeneo ya dhakaria,…
Sasa mercy kumbe ni umalaya wa muonekano tu lakini sio malaya wa vitendo,… Hivyo amejikuta anaiogopa nanii ya adam

“skia shost… Ukikutana na mwanaume mwenye mguu wa mtoto… Mvalishe kondom, afu umwambie hapo kondom ilipoishia, nae aishie hapo”
Mercedes alikumbuka siku anapiga stori na rafiki yake, mmoja aitwaye Angel,..
“lakini kondomu si inavutika ile, sasa si lazima ifike hadi kwenye shina”
“hapana, haifika kule, kama ni saizi ya kondomu itafika lakini kama nanii ni kubwa, mvishe kondom.. Laa sivyo atakugeuza kizazi utakuwa huzai wewe”
. Mercedes alimaliza kukumbuka kisha akapumua kwa nguvu sana… Basi hakutaka kumwambia adam avae kondom kwa wakati huo,… Maandalizi yalianza, adam anananii vidole duuuuuuuuuu….. Yaani anataka ahakikishe mercy anafika mshindo kabla ya mechi,..
“adam. Unataka nifike mishindo mingapi… Nawashwa eti jamani baby”
“bado nataka ufike hata mitatu”
“nooo, ikifika mitatu huingizi”
“kwanini”
“nitakuwa siskii radha, mana radha umeshaitoa kabla”
Adam kuskia hivyo, akaacha kuandaa, sasa kaivua boxer, mercy alikuwa kaangalia tu chini yaani anaogopa hata kuiangalia… Mercedes alivuta mkoba wake, kisha akatoa pakiti ya kondom kuichana….
“ina maana huniamini au”
Aliongea adam, mana adam toka aanze ufuska hajui matumizi ya kondomu kitu ambacho ni hatari kwa afya…
“no nakuamini, lakini staki mimba”
“oooohhh apo sawa”
Lakini Mercedes sio kuwa kweli hataki mimba, bali anaipima urefu hio dhakari ya adam..
Kweli ile kondom iliishia njiani,… Yaani kuna inchi tatu hazijafikiwa na kondomu…. Mercedes alichoka..
“adam…. ”
“ndio”
“naomba uishie hapo kondom ilipoishia, nakuomba sana”
Aliongea Mercedes huku akitia huruma kwelikweli…
“Usijali”
Mercedes aliona wacha aingize mwenyewe mana anahisi akiingiza adam atapitiliza zaidi ya kondom ilipoishia,.. Sasa Mercedes aliingiza kisha akachungulia kama imefika kwenye kondom,…
“chaaaaa, yaani bado tu…. No, no, no, please adam, fanya hapo hapo ilipofikia”
“lakini kiwango ulichokiweka bado”
“adam… Yaani hapo ukiendelea naumia…”
Mercedes alitamani hata kulia, kweli kawazoea baadhi ya wanaume lakini sio adam, mana khaaa, haendani na hali hio… Basi adam alianza kuingia na kutoka lakini anaona kabisa ipo juu juu sana… Adam akaongeza kidogo
“ooohhh pasta… Usinifanyie hivyo mtoto wa mwanaume mwenzio… Nipe raha,. Ukiingiza yote ni karaha na huenda ukanipa kilema cha uzazi.. Tafadhali sana,.. Afu ukifikia kufika mshindo usimwagie ndani… Mana utaiminya ndani mwisho utaingiza yote”
Aliongea mercy lakini Adam alikasirika kwa masharti ya Mercedes yalivyo makubwa, adam kwa hasira aliamka kitandani kisha akaivua ile kondom na kuitupa huko..
“amka uende zako…. ”

ITAENDELEA…

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu ya ishirini na nane (28)
Young Paster sehemu ya ishirini na nane (28)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-nane.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-nane.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy