Young Paster sehemu ya ishirini na moja (21) | BongoLife

$hide=mobile

Young Paster sehemu ya ishirini na moja (21)

YOUNG PASTER EP 21Ilipoishia

MCHUNGAJI MCHANGA

“sawa bwana”
Lakini ghafla, chumbani kwa adam kulitoa sauti za kudondoka kitu… Jessica alishtuka…. Na kutaka kwenda, ila kasita kwasababu ni chumbani kwa kaka yake….
“kuna nini”
“yatakuwa ni mapanya hayo… ”
“ina maana hii nyumba ina panya”
“makubwa tuuuu… Panya kama paka”
Aliongea adam lakini kama vile hajiamini na maneno yake,…..

Sasa huku chumbani kumbe wini kachoka kukaa kwenye lile kabati, na wazo lake anajua dada yake adam keshaondoka… Sasa cha ajabu wini kavua nguo zake zote, afu akajifunga taulo la Adam,..
“ngoja nimsapraizi kwa kuvaa taulo lake… ”
Baada ya wini kuvaa taulo tu, akawa anauendea mlango ili atoke kumsapraiz adam kwa mapigo ya mitego… Na wakati huo huku sebuleni bado wanajadili kuhusiana na hayo mapanya… Wini kafika kwenye mlango na kushika kitasa

ENDELEA NAYO…….

Adam Haruhusiwi kuishi au kuwa na mwanamke hapo ndani, ispokuwa ndugu zake pekee ndio wanaruhusiwa hata kulala hapo hapo, lakini msichana ambaye hana mahusiano naye kindugu, Haruhusiwi kuishi hapo na kama ni kusalimia, mwisho iwe getini ila sio kuingia mpaka ndani,… Hio ndio sheria na kanuni za wachungaji ambao hawajaoa, ila akioa ni ruksa kwa yeyote kuingia katika nyumba yake hata kulala ruksa, mana ana mke, hivyo hakuna hofu juu ya kondoo wake,…

Dada yake adam aitwaye Jessica ndie aliechukuwa zamana ya kufanya usafi hapo na kumpikia kwa siku moja moja,… Lakini kabla ya dada yakw kufika hapo, kuna msichana aitwaye wini, alikuja kwa ajili ya maombezi, binafsi pia mchungaji ambaye hajaoa.. Yaani bachela, huruhusiwi kumuombea mwanamke ndani kwako, peke yenu… Labda wawe wengi lakini sio nyie wawili tu, hairuhusiwi, na adam anaifahamu vyema sheria hizo, lakini sasa adam alishaonja utamu wa mapenzi siku akiwa na Catherine, na haikua kusudio lake, yeye alitaka kumtoa uzito (bikra) yake ili ishindikane kumuoa Catherine, mana mwanamke ambaye hana bikra, adam Haruhusiwi kumuoa,… Hii ni kuepuka maneno ya watu kuwa pasta fulani kaoa malaya…. Na ndio mana mapasta wanatakiwa kuoa wanawake walio na heshima ili wasinyooshewe vidole na waumini,.. Mana hata yeye ni pasta wa pili baada ya mume, hivyo hatakiwi kuwa na sifa mbaya…..

Sasa kitendo cha adam kumtoa bikra Catherine,.. Kumbe kilimfanya nae kunogewa na kuanza kukiuka zile sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa, kama vile kumwombea muumini mmoja wa kike nyumbani kwako… Hio haitakiwi labda uwe umeshaoa,.. Yaani sheria zote hizi ni kwasababu hajaoa… Lakini akishaoa mana kila mmoja anajua pasta ana mke..

Sasa Jessica alifika nyumbani hapo na wakati huo adam keshamficha wini ndani, mana ni kosa hata kwa mungu kukiuka sheria hizo,… Na Jessica anaijua dini vilivyo,..

Wakati Jessica na adam wakiwa sebuleni, wanapiga stori, sasa kule chumbani wini kavua nguo zote na kuvalia taulo, ni yake ni kutoka sebuleni kumsapraizi adam… Mana wini ana umbo zuri, hivyo na hilo taulo lilivyo, duuuhhh… Wakati wote huo wini anajua dada yake adam keshaondoka mana adam hawezi kumwacha wakati wote ingali anajua ndani kuna mtu,… Wini alikwenda mpaka kwenye mlango na kushika kitasa cha mlango, lakini kabla hajakivuta, aliskia sauti….
“basi nitakuja kesho…. Hawa panya wako sjui wameingia lini”
Aliongea Jessica akiwa na adam, hapo ndipo wini akaacha kufungua mlango, mana dada yake adam bado yupo ila ndio kaaga anataka kuondoka….

“basi dada, nikutakie safari njema, Nisalimie mama huko na wadogo zangu”
Aliongea adam huku wakitoka nje
“baba je”
“aaahhh mchungaji naonana nae kila wakati”
“sawa…. Nitakuja kesho mapema sana mana sijafanya usafi muda”
“sawa dada, yesu akutumainie dada angu”
“amen”
Jessica alikuwa akiondoka lakini kama vile ana wasiwasi fulani hivi, mana harufu ya wanawake inajulikana na hata harufu ya kaka yake anaijua mana amemlea mwenyewe, sasa haelewi kama vile kuna kaharufu kapya mule ndani,… Jessica aliacha kudiskasi sana aliondoka zake.

Adam katoka huko kwa hasira anakwenda chumbani kumtoa wini aondoke zake,… Yaani adam kuna wakati shetani anamzidi kuna wakati anapambana nae…. Sasa hapo hataki ujinga,… Kafungua mlango wa chumbani huku akisema…
“we mwanamke tok…. Tok…. Toka… Toooook… To…. Tok… To… Tok.. Tokaaa. Us…. Tok.. Tok.. ”
Adam alijikuta hamalizi maneno kwa hali aliomkuta nayo wini,… Wini alikuwa kavua lile gauni lake,.. Kisha kajilaza kitandani afu kujifunika shuka jepesiiii, mlalo aliolala sasa ndio hatari ukilinganisha na umbo lake, adam alishikwa na kigugumizi,
“kwa mwanaume rijali kama wewe, sidhani kama utaniacha…. Nami staki uniache mtumishi wangu”
Adam haamini kama leo kaletewa utamu tena kwa mara nyingine, mana mara ya kwanza alikuwa na Catherine, na siku ile hakuridhika, Catherine alikataa tena alimpiga kibao,… Wini alikuwa kalalia tumbo (kifudifudi) afu mguu mmoja kaukunja, mwingine umenyooka, sasa adam macho yake yote ni kwenye wowowo,…. Wini alijaaliwa na mungu, traki ya adam haikuchelewa kuvutana,…. Winj aliona ile hali wakati huo adam kadua pale pale mlangoni,….
“sasa unateseka nini adam… Njoo”
Aliongea wini huku akishuka katika kitanda na shuka lake,….
“adam… ”
Wini aliita huku akipeleka mkono wake katika nanii ya adam ambayo tayari ilishaonyesha hasira juu ya vita,
Wini aliishika, kitendo cha kuishia tu alijikuta anafumba macho kwa ulaini wa nanii ya adam…
” siwezi kuamini kama utaniangalia tu”
Aliongea wini huku akiingiza mkono ndani ya traki ya adam,… Na adam katulia yaani kama mtu alioshikwa na bumbuazi fulani hivi… Wini aliona adam bado ni mgeni katika haya mambo, alimvuta mpaka kitandani kisha akamvua traki yeye mwenyewe… Wini alianza kumnyonya mate adam, adam nae kapokea na mikono yake kuanza kushambulia mwili wa wini,… Wini kidogo alikuwa na minyama uzembe katika kiuno, ile minyama adam ndio iliokuwa ikimpa ashki za mapenzi na vile ilikuwa na mistari stari, duuuhhhh… Wini alijifanya yeye ni mjuaji kumbe adam na ugeni wake lakini sio haba… Mdomo ulikuwa wazi, mihemo mingi tena kwa spidi kali… Wini anakiona cha moto, haamini mshamba mshamba wa mapenzi kama adam leo anamtoa udenda,… Sasa leo rasmi adam ndio anaijua raha ya mapenzi, mana kwa Catherine alishindwa kuifaidi mana alikataa kwakua alikuwa na maumivu ya bikra, wini aliitafuta dhakari mwenyewe bila kutafutiwa, mana hali alio nayo sio ya maandalizi tena bali ni kuliwa tu
“adam…. Nimeshaiva, niepue unile mtumishi wangu”
Wini Aliongea huku macho yake kama vile mlevi wa divai,… Wini aliishika dhakari ya adam na kuiongoza kuna njia sahihi ya mapito, kaiweka mwenyewe lakini anaiogopa mana ikiingia yote ataumia,…

Huku nyumbani kwa akina wini ikiwa mida imekwenda sana,.. Yapata saa mbili kwenda saa tatu hivi…. Alionekana Eva, mchumba wa adam akiwa nyumbani kwa akina wini…
“tumsifu yesu Kristo mama”
“milele amina.. Mwanangu… Rafiki yako yuko wapi”
Mama aliitikia kisha akamuuliza eva kuwa mqenzie yupo wapi…
“mimi ndio narudi chain player, sasa sijamuona ndio nimekuja kumuulizia kapatwa na nini mbona sijamuona”
Sasa mama ndio anashangaa, mana anajua mtoto wake kaenda kanisani ile mida ya saa 11 za jioni… Mana kuna ibada ya muunganiko, inaitwa chain player… Wanaingia waumini kadhaa mpaka saa muda fulani, na kabla ya kumaliza wanaingia wengine, hivyo hivyo mpaka siku, au wiki, au mwezi uishe.. Mana hizi ibada zina urefu wake…
“huyu mtoto ana nini, na kaenda wapi”
Aliongea mama yake wini, huku akiwa na wasiwasi juu ya binti yake,..
“sijui kaenda wapi, na nimempigia simu lakini hapokei”
“jamani mwanangu”
“wala usiwe na wasiwasi mama, itakuwa kaenda kanisa lingine”
Eva alipo ongea hivyo kidogo mama akapunguza presha japo sio kweli, huezi kwenda kufanya ibada ya chain player kwenye kanisa lingine,..
“lakini hii tabia ya kutofanya ibada kwa mtumishi adam kaitoa wapi… Ngoja aje”
Eva alikwenda kumuulizia rafiki yake kipenzi, mana wanakwendaga ibadani wote sasa leo hamuoni mwenzie,… Basi eva aliondoka zake

Tukija huku chumbani kwa adam, wakiwa wamelala kabisa, yaani, tena utafikiri ni kitu na mke wake, kumbe ni kitu na pasta wake,… Ghafla simu ya wini iliita, lakini mkoba wa wini ukumbuke upo uvunguni,.. Wakati adam anamficha wini, ule mkoba aliutupia uvunguni, sasa na simu ipo huko huko, wakati huo wini kalala kwa kuchoshwa na adam, ogopa mtu anae anza mapenzi hua hachoki mana kila kitu kwake ni kipya, sasa wini kapelekewa moto mkali mpaka akachoka na kudai pumziko, sasa kalala na simu yake inaita… Adam alishuka na kuinama pale uvunguni, simu ilikuwa inasumbua toka muda mrefu, sasa adam akakivuta kile kimkoba kwa hasira,… Kana kwamba hata kama kuna kitu cha kudondoka kinaweza kudondoka… Aliutoa mkoba ule na kutoa simu ya wini… Lakini alipoangalia mpigaji, ilikuwa ni naomba ya eva, adam anaijua namba ya eva… Sasa cha kufanya ni kumwamsha wini
“wini… We wini”
“abee baby”
Wini aliitikia kama vile mpenzi wake, yaani ndio keshaganda hivyo…
“simu yako inaita”
Adam alijua anaepiga ni eva, na anajua eva na wini ni marafiki…
“hallo eva? Shalom”
“shalom wini… Upp wapi rafiki yangu, sijakuona chain player… Afu mama yako ana wasiwasi wewe sjui upo wapi jamani saa tatu hii”
Wini ndio anastuka sasa kuskia ni saa tatu usiku, na haijawahi kutokea kukaa nje mpaka saa tatu za usiku.. Labda achelewe kanisani…
“eva, umeshakwenda nyumbani kwetu”
Aliuliza wini tena kwa wasiwasi mwingi tu
“ndio, mana sijakuona kanisani”
“yesu wangu jamani eeeeeva… Mimi nilitaka nidanganye nipo kwenu jamani”
“basi Nisamehe, lakini sikujua… Sasa upo wapi wini jamani rafki yangu umezua tabia mbaya wewe”
“amna eva… Nipo kwa rafiki yangu huku kuna Biblia tumekuja kuisoma”
“rudi sasa jamani wini… Mama yako atakufa kwa presha kitoto chenyewe ni wewe tu”
“sawa basi, kata simu basi niwahi kuja”
Simu ilipokatwa tu wini hakutaka hata kupoteza muda, na hapo alikua uchi wa mnyama,…
“kwaio ndio unaondoka”
“ndio mtumishi, mama ana wasiwasi”
“nipe basi hata cha mwisho”
“noo ntakuja kesho mapema”
“Weeeeee kuja kwako lazima ufanye mawasiliano na mimi mana dada kesho atawahi kuja kufanya usafi”
“sawa mpenzi wangu… Naomba nikukisi basi”
Wini aliinama na kumnyonya denda adam, kisha akachukuwa mkoba wake na kuondoka haraka haraka, mana muda umekwenda sana…

“dada, wini kasema yupo wapi”
Alikuwa ni bite mdogo wake eva, akiwa anamuuliza dada yake… Bite ni msichana mkubwa hakosi miaka 15 au 16…
“kasema yupo kwa rafiki yake”
“rafiki yake nani tena wakati rafiki yake ni wewe tu”
“mimi hata sijui….”
“dada,… Mchunguze kama keshaanza tabia mbaya acha nae dada, marafiki wa aina hii hawafai… Hebu ona saa tatu na robo hii msichana mno haonekani nyumbani kwenu”
“sijui kama ana arafiki mwingine… ”
“dada angalia sana… Marafiki wakianza kuchelewa kwao achana nao, kwanza wewe sasa hivi ni mchumba wa mtu, kuwa na heshima usije ukamuiga wini dada angu”
Aliongea bite kama kumshauri dada yake
“usijali mdogo wangu”
“najua dada yangu utaishi kwa wasiwasi kutokana yule tajiri”
Aliongea bite kuhusu ukorofi wa Catherine… Kwa kitendo cha kumwagia maji machafu na kutaka kumgonga… Ila kwa walio ona, wanajua kabisa Catherine alizamiria kumgonga eva, ila eva kaokolewa na jiwe ambalo alilikanyaga na kumpindua, kwahio kama aio jiwe, saa hizi eva asingelikuwa eva tena..

Huku kwa akina wini, mama yake akiwa kakaa hapo nje na wasiwasi juu ya mtoto wake, mara anamuona wini anakuja.. Wini aliogopa sana baada ya kumkuta mama yake yupo nje akimsubiria…
“mwanangu wini, ulikuwa wapi mpaka saa hivi”
Aliongea mama wini huku akimshika mtoto wake mkono
“mama, nilikuwa kwa rafiki yangu Jackie”
“kwanini hujaenda kanisani, yaani umeona kwenda kupoteza muda kwa rafiki yako ni sawa kuliko kwenda kanisani,.. Ivi wini mbona unabadirika kwa kasi namna hii mwanangu”
“mama, pia tulikwenda kanisani baada ya kuona kuwa nitachelewa kuja kanisani kwetu”
Mama kuskia hivyo, kidogo akapunguza hasira juu ya wini…
“siku zingine uwe unatoa taarifa mapema”
“sawa mama, Nisamehe kwa hilo”
“haya nenda kaoge uje tule”
Mama alimwambia mwanae hivyo huku wini akiwa haamini kama katoka salama kwenye mikono ya mama yake,… Lakini ile wini anapita tu, mama aliona makalio ya mtoto wake yanatikisika sana,… Na wanawake hua wanajuana wenyewe
“wini”
Mama aliita huku akimuangalia sana, yaani wini kasimama lakini bado kalio linatetemeka…
Wini akasimama kwa uoga na asijue mama yake kamuitia nini… Mama yake wini ni mama wa Kiswahili ana mambo ya Kiswahili wacha mchezo
“ngoja usigeuke, hapo hapo ulipo, mguu upande”
Mama kaanza mambo ya kijeshi jeshi ya mguu pande mguu sawa na ana maana yakw kumwambia afanye hivyo…
“mguu sawa”
Mama aligundua kitu,.. Wini hakuvaa chupi, ni lile gauni tu na ndivyo alivyokwenda kwa adam hivyo hivyo..
“utaniambia leo umetoka wapi na chupi umeiacha wapi…. ”
Mama aliongea hivyo huku akifunga mlango… Wini akajishika shika tako kama kujifanya ana chupi au hana.. Aligundua kweli hana chupi… Wakati huo mama wini ana hasira na mtoto wake, malezi yote aliompa mtoto wake wa pekee, afu leo anakuja nyumbani hana nguo ya ndani,. Yaani ni dhahiri kuwa anatoka kwa mwanaume….. Mama anapandisha mori wa kwao… Wini anajua mama akipandisha mori, patachimbika hapo, ilibidi wini aseme ukweli wote…
“mama, subiri kwanza… Nitakwambia ukweli mama”
Wini amekubali kusema ukweli, sasa ni ukweli gani,.. Na mama pia anamjua mtumishi adam, ana mchumba wake, leo wini aseme alikuwa kwa pasta adam… Inawezekana vipi
“na ndio nautaka huo ukweli…. Kaa pale haraka sana…. Haya niambie umetoka wapi, na kwanini huna nguo ya ndani… Shetani mkubwa wewe”
Aliongea mama kwa hasira…. Sasa wini anataka kusema ukweli kuwa alikuwa kwa adam.. Na ni hatari kwa adam pale siri itakapo vuja kuwa keshaanza kuwarudia kondoo wake

ITAENDELEA………….

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu ya ishirini na moja (21)
Young Paster sehemu ya ishirini na moja (21)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-moja.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-na-moja.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy